Kilio cha Maalim Seif chafikishwa UN

Kilio cha Maalim Seif chafikishwa UN

kumbe ndio maana mwenzake kikwete kakimbia waandishi wa habari huko kwenye mikutano..
 
Habari za Maalim tushazichoka hana jipya,namkubali Tundu Lissu tu kwa harakati zake zinazoendana na maisha ya mtanzania halisi.
Mtu toka 1995 anagombea yeye tu alafu mnataka kutuaminisha yupo smart.
Ni afadhali ya chadema kila uchaguzi wamesimamisha vichwa tofauti,tuache unafiki jamani tuwe tunachanganya na zetu.

Wakati unasema hivyo. Rais kikwete(mstaafu) amekimbia waandishi wa Habari kwenye ofisi moja huko U.S.A Marekani baada ya kuulizwa mustakbali wa Zanzibar baada ya suala hilo kupelekwa UN.

Nilishasema suala la Zanzibar lishughulikiwe kwa busara hali ndio hio sasa.
 
Soma vizuri nilichokiandika
 
Naanza kuiona zimbabwe ndani ya Tanzania , Mungu tunusuru maana wewe ndie ulisema ole wao wanaoshupaza shingo zao, na mtawala mwema aliomba hekima kwako, mweee, tutaumia sie maskini ambao tunatamkwa kutwa midomoni ila kiuhalisia hatuko mioyoni mwao. Janga la kukataliwa ni kubwa mno.
 
ZIARA ya kimataifa aliyoifanya Maalim Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Marekani, Ulaya, Canada na Umoja wa Mataifa kulalamikia uvurugaji wa uchaguzi mkuu wa 25 Oktoba mwaka jana, imeanza kuzaa matunda, anaandika Jabir Idrissa.............................

Hatua ya Maalim Seif na CUF imekuja baada ya CCM kumuamuru Jecha Salim Jecha, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kufuta uchaguzi mkuu wa Zanzibar, 28 Oktoba, baada ya kubaini kuwa chama hicho kimepoteza madaraka kupitia sanduku la kura.

Chanzo:
Mwanahalisi
Kumbe kuwekewa vikwazo ni kuzaa matunda? Kaazi kwelikweli, halafu ile nishani ya Jecha anakabidhiwa lini? Na nani??
 
Kumbe kuwekewa vikwazo ni kuzaa matunda? Kaazi kwelikweli, halafu ile nishani ya Jecha anakabidhiwa lini? Na nani??
Huoni kuwekewa vikwazo ni raha mnaishi kibishi

Na kale kamtindo kakunyonga haki za wenzenu mnakaongeza kwa spidi
Naanza kuiona zimbabwe ndani ya Tanzania , Mungu tunusuru maana wewe ndie ulisema ole wao wanaoshupaza shingo zao, na mtawala mwema aliomba hekima kwako, mweee, tutaumia sie maskini ambao tunatamkwa kutwa midomoni ila kiuhalisia hatuko mioyoni mwao. Janga la kukataliwa ni kubwa mno.
 
Hao ndo walizivuruga libya, Iraq, Congo, Syria na nk. Ndo mna waomba watuvuruge?
Halafu wakishamaliza kuwavuruga, wanaanza kujuta, eti ooh, tulifanya makosa, hawa watu ni wanafiki sana. Reffer to Tony Blair na kampani yake.
 
Habari za Maalim tushazichoka hana jipya,namkubali Tundu Lissu tu kwa harakati zake zinazoendana na maisha ya mtanzania halisi.
Mtu toka 1995 anagombea yeye tu alafu mnataka kutuaminisha yupo smart.
Ni afadhali ya chadema kila uchaguzi wamesimamisha vichwa tofauti,tuache unafiki jamani tuwe tunachanganya na zetu.
Maalim anakaribia 80 ila Bado anataka tu kwenda ikulu.
 
Vipi,USA yenyewe itawekewa lini vikwazo baada ya kuzishambulia kambi za jeshi la Syria na kuua wanajeshi 60+ kwa kinachodaiwa bahati mbaya?
 
Na hivi "Mimi" sina stadi za Diplomasia. Na UN "sijaenda" wala kwenye tetemeko "sijafika". "Naweza" kujikuta kwenye hali tete sana, ndani na nje ya nchi "yangu".

Sijui niwashushe au niwapandishie mizuka yangu??

Grrrrgrrrrrrrr,
Ila sinaga B52, Bahati yao.

Wenye upeo wamenielewa.
Jamani ndoto hawaoti MCHANA. Mtu kashindwa Urais Mara 5 bado anawaza kwenda Ikulu. Rais ni Dr Shein mpaka 2020. MTU akiamua kwenda kuzurura Ulaya na kurudi na fix za kuwafanya waliomlipa posho wasiumie sawa tu!!
 
Kwa hiyo haina impact?
Sio tuu haina impact bali pia ni empty words. Nilipitia kidogo some international law instruments, zinahitaji kwanza ku exhaust local remedies. CUF did nothing at home about hizo claimed gross human rights violation. Tuna Tume ya Haki za binaadamu CUF walipaswa kuanzia huku. Kwenda kumshitaki nchi kwenye NGO ni just attention seeking, but is is just wastage of time and resources!.

Pasco
 
You are misled Pasco.....impact ipo. Mind you these countries.....speak the same language....which means given the chance and a conducive environment....mtapewa za uso TU.....rejected in several international aspects. Kumbuka , intention ya Maalium na CUF sio military intervention but to expose the weakness part.

By the way, how can you build an economy i.e. viwanda as we claimed it, when you are faced with such international allegations? Hizi nchi kwanza hazichelewi kuwapa yale majina yaleee...yale...."terrorist countries". Ukishapewa hilo jina umekwisha. Kuna yale ya least developed tayari yanatuathiri....sasa ukipewa hilo la terrorist tena. Hawa wanakubatiza tu jina baya...haupenyi kokote.

Tutaishia kuwa watazamji tu.
 
labda UN kiliogopa kwenda kwa sababu ya hayo maswali..
maana kingeanza..
"you know im a politicianS,
i dont like to say many political words.."
so conta condatulationi.."
 
Back
Top Bottom