Kilio cha Maalim Seif chafikishwa UN

Kilio cha Maalim Seif chafikishwa UN

Ivi Maalim Seif alifika kweli kule ulaya kupeleka haya?? tuliaminishwa alijificha Dar Es Salaam amejifungia
 
Mkuu Nara, bahati nzuri nimehudhuria UN GA na baadhi ya international conferences ambapo NGO zina organize demonstration tena kubwa tuu kupinga hili au lile, lakini mwisho wa siku kinachopatikana ni attention tuu! , NGOso zinabaki kuwa ni NGOs. The correct forum CUF wange exhaust the local remedies, wakishindwa then wanakwenda kwenye international level, lakini they did nothing! .

Hata huo uchaguzi hawakufanya lolote kupinga uhuni wa Jecha, hawakufanya chochote kuuzuia uchaguzi batili usifanyike wakasusia kushiriki. Amini nakuambia hakuna taasisi yoyote rasmi inaweza kuitertain ujinga kama huo, take it from me, ni mpaka 2020 and for some it might be a bit too little too late.
Pasco

So Pasco...whether wamewekewa vikwazo au la, do you believe this will be good for our economy?
 
Akili zetu zinatekwa na wazungu. Huwa wanacheka sana na siasa zetu za sarakasi. Na wanajua siku zote tutaendelea kutawala kwa vile hawaaminiani.

Afrika bado miaka 100 mingine ndo tutapata akili.
Hayana tofauti na haya yanayofanywa na wakoloni weusi tunaowapa dhamana katika nchi zetu
 
Pasco,

Unaposema ukweli watu hawataki kusikia. Tusiwekeze akili zetu kwa wazungu wakati hata wao wanayo yao. Seif kama alishauriwa vibaya basi alikubali kosa. Kwa nini hakujifunza ile ya UKAWA ya Uholanzi? Hivi anaona mataifa ya nje yako kwa ajili ya maslahi ya vyama au watu?

Yeye anaenda na picha za matukio ambazo si uthibitisho wa chochote katika matukio yanayoshitua dunia. Aangalie kwanza Mashariki ya Kati ndo ajue majanga ya kibinadamu yako vipi. Kama kundi lao linataka sana haki lingejitokeza kwa yale yanayotokea huko.

Pia, aiende Uganda aulize upinzani uko vipi. Hata mahakama hajaonja anaona anaonewa.

Shida zetu kwa sasa Watanzania wengi ni JF na FB, vijana wanaona wachambuzi na kutoa matamko hata kujua duania inaendeshwa namna gani.
Mkuu Nara, bahati nzuri nimehudhuria UN GA na baadhi ya international conferences ambapo NGO zina organize demonstration tena kubwa tuu kupinga hili au lile, lakini mwisho wa siku kinachopatikana ni attention tuu! , NGOso zinabaki kuwa ni NGOs. The correct forum CUF wange exhaust the local remedies, wakishindwa then wanakwenda kwenye international level, lakini they did nothing! .

Hata huo uchaguzi hawakufanya lolote kupinga uhuni wa Jecha, hawakufanya chochote kuuzuia uchaguzi batili usifanyike wakasusia kushiriki. Amini nakuambia hakuna taasisi yoyote rasmi inaweza kuitertain ujinga kama huo, take it from me, ni mpaka 2020 and for some it might be a bit too little too late.
Pasco
 
Jinsi taasisi za Kimataifa na serikali zenye nguvu zinavyofanyakazi, ni kuwa tatizo hili halikusahaulika, ila wanangojea siku Tanzania ikwamishe maslahi yao, utakuja niambia, hili litavumbuliwa na hapo utakuwa mwisho wa TZ kama tuijuavyo. Tanzania haiwezi kuhimili vikwazo hata kidogo. Tanzania si kama Kenya ambayo kwa kiasi kikubwa inaweza kujitosheleza kwa inavyovizalisha na pia kwa biashara kubwa na nchi za jirani. TZ haina viwanda vinavojitosheleza isipokuwa turn key, wala biashara inayotabirika. Hata hivyo, imejaaliwa ubishi na jeuri ya viongozi wake. Hili la Zanzibar lisingekuwa tatizo kabisa kwa viongozi makini. Isipokuwa tuna viongozi wanaojali zaidi maslahi yao ya hivi sasa kuliko hali ya hapo mbeleni. Kwa kuinyang'anya CUF ushindi, wazi wazi na bila ya aibu, wanawafanya wale wanaopenda kujitenga kuwa na ari zaidi, ari ambayo sina shaka wataanza kupata misaada kutoka sehemu mbali mbali. Hatuna thinkers isipokuwa wababe tu.
 
Pasco,

Unaposema ukweli watu hawataki kusikia. Tusiwekeze akili zetu kwa wazungu wakati hata wao wanayo yao. Seif kama alishauriwa vibaya basi alikubali kosa. Kwa nini hakujifunza ile ya UKAWA ya Uholanzi? Hivi anaona mataifa ya nje yako kwa ajili ya maslahi ya vyama au watu?

Yeye anaenda na picha za matukio ambazo si uthibitisho wa chochote katika matukio yanayoshitua dunia. Aangalie kwanza Mashariki ya Kati ndo ajue majanga ya kibinadamu yako vipi. Kama kundi lao linataka sana haki lingejitokeza kwa yale yanayotokea huko.

Pia, aiende Uganda aulize upinzani uko vipi. Hata mahakama hajaonja anaona anaonewa.

Shida zetu kwa sasa Watanzania wengi ni JF na FB, vijana wanaona wachambuzi na kutoa matamko hata kujua duania inaendeshwa namna gani.
Poleni sana. Inaonekana hamujui kinachoendelea. Nashangaa kusema kuwa CUF hawaja fuatilia suala hilii wakati palikuwa na vikao tisa vya viongozi wa CCM pamoja na maalim seif. Ali hassana mwinyi alikuwepo kwenye vikao na ni shahidi wa hilo. CUF walikwenda kwa Kikwete, wakaenda kwa magufuli, zote hizo ni njia ya kutaka kumaliza mambo kwa usalama. Kwa kuwa nyinyi hamukuwepo zanzibar hamujui kilichokuwa kikiendelea. Magufuli alileta jeshi na CCM zanzibar walileta janjaweed. Wamepiga na kuwatia ndani watu na mwisho wakaendelea na kura ya maech 20, sasa nawauliza, juhudi gani munayotaka nyinyi ifanyike?.. CCM walifikiri wakimhonga Lipumba, CUF itasambaratika hawakujua kuwa CUF haitegemei mtu mmoja. Hiki ni chama cha wananchi. Kama hili la leo la UN ni dogo, subiri wiki usikie mshindo. Tayari viongozi wa CCM zanzibar wameanza kuitana wachawi.

wataitoa mwaka huu.
 
Shein kikwete na magufuli wasipo kuwa makini hii issue ya zanzibar itawatafuna sana.
Kwanza Kikwete muondoe, kwa sababu yeye ameisha maliza muda wake.

Shein na Magufuli wasipokuwa makini issue gani itawatafuna?!. Zanzibar hakuna issue yoyote! . Hakuna ukiukwaji wowote wa haki za msingi za binaadamu!.

Uchaguzi ulipofutwa kihuni na kiubatili na Jecha, hakuna mtu yoyote aliyeupinga rasmi uhuni na ubatili huo!. Ubatili usipopingwa rasmi, hugeuka ni halali!.

Uchaguzi wa marudio ulipoitishwa tena, hakuna yeyote aliyepinga rasmi!. Japo ule ulikuwa ni ubakwaji wa demokrasia, lakini mtu akibakwa na kutulia tuu kumuacha mbakaji amfanye anavyotaka, na baada ya kubakwa ukatulia tuli!, utahesabika uliridhia ubakaji ule!.

Uchaguzi wa marudio umefuata kanuni zote za uchaguzi huru na wa haki, hivyo Shein ni rais halali wa Zanzibar hadi mwaka 2020 na hakuna yoyote wa kufanya lolote na rais Magufuli hapaswi kufanya jambo lolote, kwa sababu uchaguzi ni mambo ya ndani na Zanzibar ina autonomy yake!.

Lakini kwenye tuhuma za ukiukwaji wa haki za binaadamu kimataifa, hakuna kitu kinachoitwa Zanzibar kinachotambulika kimataifa, kinachotambulika kimataifa ni Tanzania!. Maalim Seif akizidisha choko choko za kutaka kuchafua recodi ya Tanzania katika haki za binaadamu kimataifa, anakuwa ni anamchokoa Magufuli! . Kuna msemo maarufu kule Zanzibar kuhusu choko choko, wanasema "choko choko mchokoe pweza binadamu hutamuweza!", hivyo ndivyo ilivyo kwa Magufuli, Seif hatamuweza!. Hizo kelele za Maalim Seif zinaweza kutafsiriwa kuwa ni fyokofyoko hivyo sana atakachoambulia Maalim Seif ni Magufuli anaweza kumhifadhi katika mahala salama!, kule wanaita pahala salama!

Au Magufuli akijiridhisha hizo kelele za Maalim Seif hazina athari zozote kiusalama, anaweza kumpuuzia tuu ila kwanza atamtafuta na kumpa mkono aone Maalim Seif atafanya nini, baada ya hapo mtashuhudia heshima na adabu! .
Pasco
 
Poleni sana. Inaonekana hamujui kinachoendelea. Nashangaa kusema kuwa CUF hawaja fuatilia suala hilii wakati palikuwa na vikao tisa vya viongozi wa CCM pamoja na maalim seif. Ali hassana mwinyi alikuwepo kwenye vikao na ni shahidi wa hilo. CUF walikwenda kwa Kikwete, wakaenda kwa magufuli, zote hizo ni njia ya kutaka kumaliza mambo kwa usalama. Kwa kuwa nyinyi hamukuwepo zanzibar hamujui kilichokuwa kikiendelea. Magufuli alileta jeshi na CCM zanzibar walileta janjaweed. Wamepiga na kuwatia ndani watu na mwisho wakaendelea na kura ya maech 20, sasa nawauliza, juhudi gani munayotaka nyinyi ifanyike?.. CCM walifikiri wakimhonga Lipumba, CUF itasambaratika hawakujua kuwa CUF haitegemei mtu mmoja. Hiki ni chama cha wananchi. Kama hili la leo la UN ni dogo, subiri wiki usikie mshindo. Tayari viongozi wa CCM zanzibar wameanza kuitana wachawi.

wataitoa mwaka huu.
Naona uko kwenye alternate universe yenu..Poleni sana
 
Kwanza Kikwete muondoe, kwa sababu yeye ameisha maliza muda wake.

Shein na Magufuli wasipokuwa makini issue gani itawatafuna?!. Zanzibar hakuna issue yoyote! . Hakuna ukiukwaji wowote wa haki za msingi za binaadamu!.

Uchaguzi ulipofutwa kihuni na kiubatili na Jecha, hakuna mtu yoyote aliyeupinga rasmi uhuni na ubatili huo!. Ubatili usipopingwa rasmi, hugeuka ni halali!.

Uchaguzi wa marudio ulipoitishwa tena, hakuna yeyote aliyepinga rasmi!. Japo ule ulikuwa ni ubakwaji wa demokrasia, lakini mtu akibakwa na kutulia tuu kumuacha mbakaji amfanye anavyotaka, na baada ya kubakwa ukatulia tuli!, utahesabika uliridhia ubakaji ule!.

Uchaguzi wa marudio umefuata kanuni zote za uchaguzi huru na wa haki, hivyo Shein ni rais halali wa Zanzibar hadi mwaka 2020 na hakuna yoyote wa kufanya lolote na rais Magufuli hapaswi kufanya jambo lolote, kwa sababu uchaguzi ni mambo ya ndani na Zanzibar ina autonomy yake!.

Lakini kwenye tuhuma za ukiukwaji wa haki za binaadamu kimataifa, hakuna kitu kinachoitwa Zanzibar kinachotambulika kimataifa, kinachotambulika kimataifa ni Tanzania!. Maalim Seif akizidisha choko choko za kutaka kuchafua recodi ya Tanzania katika haki za binaadamu kimataifa, anakuwa ni anamchokoa Magufuli! . Kuna msemo maarufu kule Zanzibar kuhusu choko choko, wanasema "choko choko mchokoe pweza binadamu hutamuweza!", hivyo ndivyo ilivyo kwa Magufuli, Seif hatamuweza!. Hizo kelele za Maalim Seif zinaweza kutafsiriwa kuwa ni fyokofyoko hivyo sana atakachoambulia Maalim Seif ni Magufuli anaweza kumhifadhi katika mahala salama!, kule wanaita pahala salama! .
Pasco

Ukizoea kupinga kila kitu kuna siku utajipinga mwenyewe na ndo siku ya wewe kuwa kichaa.
 
Mmmmm sasa naichukia sana, INA vitu vingi vya kufikirika.
 
Kwani ipo sheria inamzuia kugombea mara nyingi? Unajua Abdulwaye Wade aligombea mara ngapia hadi akafanikiwa kuwa rais?
Togo siyo Tanzania wewe. Chunguza ni Vyama vingapi vya Ukombozi vimebaki Afrika kama siyo CCM, MPLA, FRELIMO, ANC. Kuna vingine?..... Sababu ni kwamba Vyama vya Upinzani katika Nchi hizo havijawa na Sera za kuwashawishi Wananchi wasikichague Chama kinachotawala. Mfano CUF, tunaletewa Mgombea anayeshindwa kila mara kwa vipindi vitano(5). Amekuwa Sultani kwani? Wengine hawapo wakajaribu nao?
 
tabia ya matamko na waraka zinaendelea .... haaaha aaa sisi tuendelee na kuijenga zanzibar yetu yaliyopita yamepita tuondoe changamoto za wazanzibar wa leo na kizazi kijacho
 
Akili zetu zinatekwa na wazungu. Huwa wanacheka sana na siasa zetu za sarakasi. Na wanajua siku zote tutaendelea kutawala kwa vile hawaaminiani.

Afrika bado miaka 100 mingine ndo tutapata akili.
Hakuna cha kutekwa na wazungu wala nini sema sisi ni wafu tulio hai

Tupatapo hatamu hatudhan wengine wana haki zaidi ya sisi wenye hatamu upumbavu huuu umemea sana africa kisha lawama tunawapa wazungu
 
tabia ya matamko na waraka zinaendelea .... haaaha aaa sisi tuendelee na kuijenga zanzibar yetu yaliyopita yamepita tuondoe changamoto za wazanzibar wa leo na kizazi kijacho
Kwani yupo anayewazuia kuijenga mkuuuu si ilisemwa mnataka iwe kama Dubai
 
Kama washughulikiaji wangeanza washughulikia waliopatwa na maafa ya tetemeko huko Kagera kwanza,na wasingelingoja Jeshi kutoka Kenya kutoa misaada.
Pesa zilizopo ni kwa ajili ya kushughurikia wapinzani tu, hakuna pesa za maafa licha ya bajeti Dodoma kuzipitisha, chadema wakitangaza UKUTA lao hii pesa ya kuubomoa ukuta itapatikana dk hizo hizo .
 
Mkuu sisi hatukuandaa washughulikiaji wetu ili washughulikie majanga, lakini tumewaandaa kuwashughulikia wale wanaoleta fyokofyoko.
Amen to that one. ...jamani jamaa amesha zeeka akae nyumbani astarehe na wajuukuu na vitukuu. ..tamaa ya nini...atulie sasa jamani. .
 
Back
Top Bottom