Kilio cha Maalim Seif chafikishwa UN

Kilio cha Maalim Seif chafikishwa UN

Almanusura nibadili dini na kusilimu shauri ya Mzanzibari! .
Kumbe huko kukataliwa na mwanamke kizanzibari kwa kukosa sifa ndio imekuwa nongwa wa kuisakama Zanzibar kila uchao kwa mabaya na husda tu?
Visiwa vyenyewe havijai hata kwenye kiganja ila vina mgao wa 4.5%ya misaada yote ya nchi!
Ni kwqeli havijai kwenye kiganja lakini vinatoa Rais, mawaziri kadhaa, wabunge wakuchaguliwa tu 54 mbali wakuteliwa na viti maalum kibao.Haya yote mmeyakubali, basi nyie mnahitaji kupimwa ............!
Tuko kwenye muungano lakini anayebeba gharama zote za kuendesha muungano ni msharika mmoja tuu
Ni mshirika au "Mfaransa" wa Mayotte. Sasa hapa najiuliza juu ya uzito wa mzigo wote huo mliobeba kwanini mnashindwa kuutua, si mmejigeuza mnyamwezi wenyewe kwa kila kizito mkibebe.

Si bure mnafaidika zaidi kuliko gharama za kuendesha Muungano. Rasilamali mnazozigida za kisiwa cha Latham tu kinatosha kugharamia shughuli za muungano,tusigusie Ada za kibaharia za kuitumia Zanzibar Channel kuptisha meli zinazikuja kwenu amabapo Zanzibai hamuwapi hata ndururu moja.
 
Back
Top Bottom