Nimepanda hata isipozaa natumia majani yake kutengeneza green teaHAIWEZI KUZAA
Nimepanda hata isipozaa natumia majani yake kutengeneza green teaHAIWEZI KUZAA
Kuna mingine inazaa,naona hapo in bahati ya eneo ulipoHAIWEZI KUZAA
Naiona miti ya parachichi dar je inazaa kwa aliyewahiona
Dodoma ipi
Heka 20 umepanda mkoa gani,kila hela uneuziwa sh ngapi??Pigeni parachichi mpige pesa demand ya China ni kubwa Sana hata Kama tutalima wote hatutoweza ijaza achilia ya ulaya.Tusiwaachie tu wageni wafaidike kwa kulima parachichi nasi twende nao sambamba sio kushinda tu JF nimeanza na heka 20 parachichi aina ya Hass ndio inatakiwa soko la nje.La ndani ni hizi za asili,panda popote mkoa wowote wenye kaubaridi we panda uondokane na umasikini.
Njombe kuelekea Ruvuma laki 3
Unataka eneo mkuu nikuunganishe, kama haujali umbali kuna maeneo makubwa kata ya kifanya.30km kutoka lami ila hutajuta,maji yakutosha ardhi virgin.Kuna mtu amenigasi sana nimtafutie wateja ana kama heka 100.
Kuzaa sio shida shida ni ubora wa tunda.Parachichi inapenda muinuko kuanzia m1200 mpaka m2800,vilevile mvua nyingi kwa mwaka au umwagiliaji.Sasa kama unataka uwekezaji mkubwa kuanzia heka 10-100. Nenda panda maeneo yafuatayo
Bei kwa hekaUnataka eneo mkuu nikuunganishe, kama haujali umbali kuna maeneo makubwa kata ya kifanya.30km kutoka lami ila hutajuta,maji yakutosha ardhi virgin.Kuna mtu amenigasi sana nimtafutie wateja ana kama heka 100.
Haipungui 200Bei kwa heka
Takutafuta mwaka huu kwa ajili ya heka 100 au zaidIl
Haipungui 200
ANAUZAJE MKUU..JARIBU KUNIMBOX TUZUNGUMZEUnataka eneo mkuu nikuunganishe, kama haujali umbali kuna maeneo makubwa kata ya kifanya.30km kutoka lami ila hutajuta,maji yakutosha ardhi virgin.Kuna mtu amenigasi sana nimtafutie wateja ana kama heka 100.
Nimekupm mkuu tuwasiliane.Unataka eneo mkuu nikuunganishe, kama haujali umbali kuna maeneo makubwa kata ya kifanya.30km kutoka lami ila hutajuta,maji yakutosha ardhi virgin.Kuna mtu amenigasi sana nimtafutie wateja ana kama heka 100.
Il
Haipungui 200