Kilimo cha Parachichi - Fahamu Aina, Namna ya Kulima na Masoko

Hata tanzania soko sio baya, sehemu nyingi hawalimi.
Ila kwa Kasi ya ulimaji wa sasa wa haya ya kisasa yatahitaji soko la nje. Ila sasa soko la nje ya nchi hii vita ya kiuchumi aliyoianzisha Marekani itavuruga uchumi wa dunia
 
China wanahitaji mamilioni ya tani za parachichi kwa mwaka (umesikia avocado deal waliyosaini Kenya na China)
Hapa ndio utaona uzuri wa kilimo cha matunda ya muda mrefu. Mti wa parachichi unadumu na kuvuna miaka 40+ kwahiyo hata uchumi ukiyumba miaka 7 mfululizo utavuna nakuuza kwa bei nzuri miaka ijayo. Tofauti sana na mazao ya muda mfupi kama mahindi, maharage, spices like ginger etc.

Uchumi hata ukiyumba upande wa chakula hii ni basic human need, research nyingi zina-favor avocado kutokana na health benefits zake nakufanya iwe kilimo salama zaidi.

Watu kila kukicha wanazidi kutambua umuhimu wa matunda kwa afya zao.

Idadi ya watu inazidi kuongezeka na hivyo watumiaji wa agriproducts wanazidi kuongezeka.

Dalili njema ipo hata hapa Tanzania ambapo kila mkoa, wilaya mpaka kijijini bei ya parachichi vibandani/mezani kila mwaka ni 500 iwe masika, kiangazi tofauti na embe, chungwa, pear.

Iwapo utafuata masharti ya soko la nje na kufanya organic farming, utapeta hata uchumi uyumbe vipi.
 
Mimi mwenyewe nimeshapanda ekari tano za parachichi huko home Njombe. Ila sasa hofu yangu. Na nilitegemea kuongeza zingine Mwakani. Ebu nitaangalia trend ya Mwakani. Bei ikiwa stable nitaongeza mashamba pia.kwasababu kule kwetu tunategemea soko la Kenya. It means kama Kenya watakuwa na acces na soko la China itasaidia kuongeza kukuza soko la parachichi zetu

Bei ni uhakika 100% mwaka huu wamechukua hass 1500-2000 kwa kilo tena wanakuja kuvuna shambani kwa mikono yao, wastani kilo 1 ya Hass ina parachichi 3 au sh 500-700 kwa tunda moja. Na hapa wanatulalia sana hawa wazungu kwa bei hizi.. huko ulaya parachichi 1 ni 2 (organic). Tunatarijia bei kupanda zaidi kutokana ushindani unaoongezeka hapa tz

Fanya research mtandaoni kuona trend ya avocado na future yake
 
Mkuu upo Njombe. Ila hiyo picha kwenye hiyo profile yako anaonekana kama mbunge wa Kanda ya ziwa. Mimi nkikwa Thailand kwenye shopping malls za Tesco , village market, Hizo parachichi moja ni watani 6000/= kwa parachichi moja. Ebu tuone trend ebu na Mimi January nizamie huko home kulima kupanda parachichi.

Ila parachichi za Njombe sijaziona huko Thailand . Huku zipo parachichi zinatokea Newzealand. Bei yake ipo vizuri sana
 
Njombe is blessed land ukija Hutatamani kurudi ulipotoka. Kabla ya kuanza hiki kilimo kawaone wazungu wa tanzanice wanaexport avocado, wapo stand ya zamani kwa chini watakupa taarifa ambazo hutakuja kunisahau.
 
Last week niliona taarifa inasema bei ya avocado 1 newzealand imefika record $10
 
Njombe is blessed land ukija Hutatamani kurudi ulipotoka. Kabla ya kuanza hiki kilimo kawaone wazungu wa tanzanice wanaexport avocado, wapo stand ya zamani kwa chini watakupa taarifa ambazo hutakuja kunisahau.
Njombe ndio home hapo nilipozaliwa. Sema sasa katika nkaajiliwa Kanda ya ziwa miaka ya 2010 baada ya kusikia hiyo trend ya soko la parachichi za Njombe ndio nkaja kulima kama eka 5. Nilipofikaga Thailand ndio nkaziona hizo parachichi za Newzealand .ndio nikawa nimevutiwa zaidi kwenye hicho kilimo
 
Mkuu vipi hiyo Miche ya parachichi ni ya aina gani unauza, funguka hapa nijue, maana mi sipo kilolo huko iringa, ila nipo Kilimanjaro na nimeona Bei yako ni nzuri tu.

Samahani kwa kutojibu ujumbe huu kwa wakatiMichi ni aina ya Hass, Variety ambayo ndiyo iko acceptable kwenye soko la kimataifa.

If you are still interested Kindly PM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom