Kilimo cha Parachichi - Fahamu Aina, Namna ya Kulima na Masoko

Pigeni parachichi mpige pesa demand ya China ni kubwa Sana hata Kama tutalima wote hatutoweza ijaza achilia ya ulaya.Tusiwaachie tu wageni wafaidike kwa kulima parachichi nasi twende nao sambamba sio kushinda tu JF nimeanza na heka 20 parachichi aina ya Hass ndio inatakiwa soko la nje.La ndani ni hizi za asili,panda popote mkoa wowote wenye kaubaridi we panda uondokane na umasikini.
 
Heka 20 umepanda mkoa gani,kila hela uneuziwa sh ngapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K
Nazaa vizuri tu. Hata Dodoma inazaa pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuzaa sio shida shida ni ubora wa tunda.Parachichi inapenda muinuko kuanzia m1200 mpaka m2800,vilevile mvua nyingi kwa mwaka au umwagiliaji.Sasa kama unataka uwekezaji mkubwa kuanzia heka 10-100. Nenda panda maeneo yafuatayo
1.Arusha
2.Kilimanjaro
3.Iringa
4.Njombe(The best place in Tanzania) kuna mito mingi sana)
Mbeya hasa Tukuyu, lakini hata mbeya mjini,mbalizi,mbozi inakubali
5.kigoma. Kasulu na manyovu
6.Kagera
Hio ndio mikoa mikoa ambayo parachichi itafanya vizuri zaidi.Ila Njombe imeonekana kuwa the best in avocado plantation.Kuna ardhi ya kutosha na maji mengi ya kisima hata ya mto. No ajabu sana kama utawekeza pesa nyi GI kupanda parachichi Dodoma wakati kuna shida ya maji.Parachichi inahitaji kumwagiliwa mwaka mzima.Kwa nini watanzania wnakuwa wazito sana, inashangaza mzungu anatoka ulaya anaenda vijijini kupanda parachichi mbongo wa Dar au Dom anakwambia Moshi mbali au Mbeya mbali kisha anarisk kupanda parachichi kwenye joto.Hujiulizi kwa nini mzungu aendo mlima Rungwe kupanda parachichi na sio Dodoma?
Tannzania crops guideline imeelekeza ka zao na mkoa wake.Usipande hovyo mazao, zipo guidelines za wataalamu.
 
Unataka eneo mkuu nikuunganishe, kama haujali umbali kuna maeneo makubwa kata ya kifanya.30km kutoka lami ila hutajuta,maji yakutosha ardhi virgin.Kuna mtu amenigasi sana nimtafutie wateja ana kama heka 100.
Bei kwa heka
 
Nampango wa kuanzisha vitalu vya miti ya matunda na mbao kuuza kwa bei affordable kupromote parachichi saa hizi price sio reasonable sababu wengi wanataka kupanda kikwazo bei 3000 kwa mche kwa mwenye heka nyingi atomudu mfano Miche 1000 yaani utoe milioni 3.
 
Unataka eneo mkuu nikuunganishe, kama haujali umbali kuna maeneo makubwa kata ya kifanya.30km kutoka lami ila hutajuta,maji yakutosha ardhi virgin.Kuna mtu amenigasi sana nimtafutie wateja ana kama heka 100.
ANAUZAJE MKUU..JARIBU KUNIMBOX TUZUNGUMZE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom