Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,227
Aina ya HASS after 3 years unaanza kuvuna mpaka beyond 70 yearsSwali la kujiuliza hizi parachichi wanazo vuna leo walipanda lini ? Au n za kisasa
Aina ya HASS after 3 years unaanza kuvuna mpaka beyond 70 yearsSwali la kujiuliza hizi parachichi wanazo vuna leo walipanda lini ? Au n za kisasa
Ninavyoongea na wewe nina ekari 22 nusu nishapanda mwaka jana. Hatufanyi siasa apa mkuu ni mwendo wa matendo siasa peleka jukwaa la siasa.Kilimo cha kwenye makaratasi bwana. Ha ha ha ha ha ha ha
Safi sana mkuu, ni zuri sana moyo.Personally ahipitis iku bila kugonga parachichi
Acha utani, parachichi ni zao la kwenye baridi. İringa mjini tu inakubali sembuse Mufindi? We anza kulima usichelewe ndugu.Je, wilaya ya Mufindi yanaweza kustawi?
Suala ni kujaribu kupanda miche kazaa, ndani ya miaka miwili utapata jibu. Parachichi haipendi kichanga.Nina kashamba kangu Gairo pale, sjui parachichi itakubali. Wataalam msaada tafadhali
Upo wapi mkuu nami ni mdau.nipo njombe nimeanza na heka2 natarania 10 by the end of 2019.Ninavyoongea na wewe nina ekari 22 nusu nishapanda mwaka jana.Hatufanyi siasa apa mkuu ni mwendo wa matendo siasa peleka jukwaa la siasa
Shukrani sana mkuu, nalifanyia kazi.Suala ni kujaribu kupanda miche kazaa, ndani ya miaka miwili utapata jibu.Parachichi haipendi kichanga.
Pamoja sana jiraniUpo wapi mkuu nami ni mdau.nipo njombe nimeanza na heka2 natarania 10 by the end of 2019.
Maneno machache niliyochukua hapo juu. kama unafanya kazi sasa panda parachichi na itakulea zaidi ya pension yako ya kustaafu.
Dar vipi parachichi hazioti au?Kama kuna mtu anategemea kupanda parachichi mwaka huu Wilaya ya Kilolo,
Basi tuwasiliane, tutakuletea seedlings mpaka shambani kwako, price yetu ni 2500/- kwa mchi,
Ni PM
Kuota zinaota tatzo size ya tunda na ubora hautakuwa sawa.Dar vipi parachichi hazioti au?
Zinaota ila haizai nimewahi uona mti kwa jirani.Parachichi haipendi joto kali na udongo wa kichanga.baadhi ya maeneo moro inaweza ota. Nimeeleza maeneo yanayofaa parachichi hapo juu. Kama unataka kupanda zipo kampuni zinasimamia mashamba mnaingia mkataba hata kama upo Dar.Dar vipi parachichi hazioti au?
Mkuu parachichi inaweza kubali hali ya hewa ya Kiteto?Zinaota ila haizai nimewahi uona mti kwa jirani.Parachichi haipendi joto kali na udongo wa kichanga.baadhi ya maeneo moro inaweza ota.nimeeleza maeneo yanayofaa parachichi hapo juu.kama unataka kupanda zipo kampuni zinasimamia mashamba mnaingia mkataba hata kama upo dar.
Kana muinuko ni kuanzia mita 1000_mvua za kutosha, udongo ph 5 mpaka7. Ufongo usiwe kichangamkuu parachichi inaweza kubali hali ya hewa ya kiteto?
Hii vita vya kiuchumi kati ya Marekani na China huenda ikaathiri soko la parachichi.Wakuu kilimo cha parachichi aina ya hass kwa sasa kinachukua umaarufu hasa kwa mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa, Arusha, Songea na kwingineko.
Mwenye kujua masoko yake hasa nje ya nchi na makampuni yanayonunua tujuzane please
Hata Tanzania soko sio baya, sehemu nyingi hawalimi.Hii vita vya kiuchumi Kati ya Marekani na China huenda ikaathiri soko la parachichi