Kilimanjaro Music Awards 2012

Kilimanjaro Music Awards 2012

Mbona unacheka? Kwani ni ajabu Bi. Khadija kuwaambia wanae wapande jukwaani? Mbona ni mambo ya kawaida sana hayo kwenye haya mambo ya tuzo....

Don't take it personal jamani mbona sie tunaongelea kawaida tuu,sasa mtu haruhusiwi kucheka???kama una kaka ukimpeleka akatoe posa itakua vizuri zaidi maana vifaa vinalipa kwakweli.
 
Adam mchomv ana mbwembwe..
Mwmbaj bora wa kiume ni Barnaba
 
Mbona unacheka? Kwani ni ajabu Bi. Khadija kuwaambia wanae wapande jukwaani? Mbona ni mambo ya kawaida sana hayo kwenye haya mambo ya tuzo....
Hivi umesoma Yummy alivoandika? Eti Khadija kasema wengine wanapanda na rafiki zao wanangu na nyie njooni...yaani nime imagine vile alivyoiweka ...
 
Nimependa Gadna alivyojitahidi kumpamba mkewe, japo anaonekana sio romantic kwa asili kabisa.

teh teh uyu ukute ata bimkubwa kammind! Gadna anajithd kuwa Romantic
 
Wooooow nalala ka raha na amani kitu Barrrrrrrrr.......naba
 
Don't take it personal jamani mbona sie tunaongelea kawaida tuu,sasa mtu haruhusiwi kucheka???kama una kaka ukimpeleka akatoe posa itakua vizuri zaidi maana vifaa vinalipa kwakweli.

Nimeuliza tu kwa nini kacheka na sijakataza yeyote yule asicheke. Usitafsiri mambo visivyo.
 
Nimependa Gadna alivyojitahidi kumpamba mkewe, japo anaonekana sio romantic kwa asili kabisa.

Hahahaaaa angesema kabisa nampenda sana MKE wangu kwa msisitizo naona ingenoga zaidi
 
Gadna G Habash amepokea tuzo ya msanii bora wa kike kwa niaba ya mkewe Lady JD ambae yupo masomoni South Africa,amesema kuwa ana mpenda sana.
 
kumbe mtaa wa kongo,akha ctak,nkajua kongo kbsa,motema na ngai!
Huyu jd kajfcha,mumewe ndo kaja na bukta lake..duh
Hahah...hujui vitu vya Congo vilivyo durable halafu ni vya reasonable price...naona shemeji Gadner anajidai anampendaaa Jide wakati jide kila siku anampiga madongo kwenye nyimbo zake!!
 
Nimependa Gadna alivyojitahidi kumpamba mkewe, japo anaonekana sio romantic kwa asili kabisa.

yan ila mamen wakibongo they r not Romantic at ool,wachache sana wanajthd,teh
 
Hivi umesoma Yummy alivoandika? Eti Khadija kasema wengine wanapanda na rafiki zao wanangu na nyie njooni...yaani nime imagine vile alivyoiweka ...

Basi labda huko ni ajabu lakini majuu kwenye mi awards ya kumwaga watu hualika hadi bibi na babu zao kwenye steji kama wakishinda tuzo. Tena huwa wanawaita kabisa...flani na flani njoo...njoooni.

Kwangu alichofanya Bi. Kopa nishakiona mara nyingi sana....labda ni kwa vile tu kafanya bi. Kopa. Lakini kama angefanya Volleta Wallace wala sidhani kama ingechekesha....ingeonekana ni kawaida tu.
 
Back
Top Bottom