BUCHANAGANDE
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,512
- 482
Ondoka hapo dadangu maana naamini umepotea barabara ya kati kama siyo reli ya Tazara.
Sasa bi dada unachoshangaa ni kipi, maana hata wewe ndani ya maelezo naona umebebwa kama ubwabwa wa shughuli.
Sioni mahali kuwa ulifunga ndoa, bali umesema ulizaa tu na huyu kifanyio dind.a.
Hivyo kaa hapo hapo bi dada lea wana wa wanawake wenzako.
ha haaa, mdogo wangu, naona mtu hapa anaogopa kubembeleza........
lol! Wapiii!! BAK huwa hakimbii majukumu rafiki. Weye ugonjwa wako naujua ugali, mlenda na samaki wa kukaanga kisha muziki wa kwaito kwisha kazi 🙂🙂 machozi yatakauka yenyewe...mdogo wako Fanta sambusa 🙂 na Careless Whispers kwisha kazi badala ya kulia anaanza kutabasamu lol! Chezeya BAK weye!!!
mimi nawachukia sana hawa viumbe basi tu (wanaaume)ndo maana najikalia zngu peke angu
Kwani huyo braza ana umri gani? Manake umetoka nae chuo unakuta ana mtoto alieko chuo? Asije akakutongoza aisee
mkenge ndo ameshauvaa hivyo........
ngoja nisiseme sana.... ila najiuliza tu hivi nitabebaje mimba ya mtu ambaye simjui?
kwa maana nyingine huyu mpaka anahamia kwa huyo kaka ni hamjui kabisaaaaaaa
ha haaa, umeona eeeh!hahaha. Wawezaje kuishi bila teja?
bora huyo mwalimu kipofu hajawahi kunifundishaule msemo wa Mwalimu wenu kipofu ndo unadhihirika ktk mambo kama hayo
umeona mdogo wangu?BAK hatutendei haki!yani hatutendei haki kabisa!
bora huyo mwalimu kipofu hajawahi kunifundisha
shem, huyo ndi mdogo wangu ujue......Sidhani kama snowhite naye ataweza.
asante shem.....Hongera zako shem.
shem, huyo ndi mdogo wangu ujue......
tumetoka shina moja, so nisiloliweza mimi naye haliwezi kabisaaaaaa
ndo maana wote tupo kwenye chama cha mateja
asante shem.....
unajua unaweza kuchagua mwl? siyo lazima kila mtu afundishe na mwl huyo huyo
si tulisema tutakaa ifamilia tuimalize?natambua hlo. Halafu ile kesi na mdogo wako haijakwsha