Mnapishana miaka ISHIRINI na ngapi?
Kwani huyo braza ana umri gani? Manake umetoka nae chuo unakuta ana mtoto alieko chuo? Asije akakutongoza aisee
Mnapishana miaka ISHIRINI na ngapi?
mh mi ushahidi mwingine uwe unaniepuka tu!manake ntakuwa natoa ushahidi na mi nikiwa nalia!sasa sijui BAK ataelewa!ha haaaa, rafiki nyimbo zenye maneno kama haya ungekuwa unauliza kwanza kabla ya kuposti..... wengine tutaishia kulia bure....
mwulize mdogo wangu snowhite kwa nini nasema hiviiiiiiiiiii jamani........
ha haaaa, utakuwaje mdogo wangu halafu usi-feel ninachofeel?MIMI PIA!
KHE!sasa haya mautamu ya dunia ndo yangekuwaje!?????????
WE WAWEPO TUUUUUUUUUUUu!
cha!
NAWEZA NKASHINDWA KUPUMUA ATI!lol
ha haaaaa..... yaani unashindwa kunitetea dadako ninavyoumia?mh mi ushahidi mwingine uwe unaniepuka tu!manake ntakuwa natoa ushahidi na mi nikiwa nalia!sasa sijui BAK ataelewa!
ah!mi nachooooaka!
miss you big sisssy!
Akhaaaa bibi katoto kamoja tu, chapa lapa!!!!!! Ila hujasema kianaubaga JE WATOTO WOTE MAMA YAO MMOJA AU KILA MTU NA MAZA WAKE??????
Kama mama yao mmoja unaweza kubaki, coz sometimes life dsnt go as we plan! Ila kama kila mtu na mamushka wake ujue huyo bwana mkorofi sanaa ndo maana wanawake hawadumu nae!
maisha popooteSasa bi dada unachoshangaa ni kipi, maana hata wewe ndani ya maelezo naona umebebwa kama ubwabwa wa shughuli.
Sioni mahali kuwa ulifunga ndoa, bali umesema ulizaa tu na huyu kifanyio dind.a.
Hivyo kaa hapo hapo bi dada lea wana wa wanawake wenzako.
mimi nawachukia sana hawa viumbe basi tu (wanaaume)ndo maana najikalia zngu peke angu
Habari za mida hii ndugu jamaa na marafiki wa jamii forum:
Naomba ushauri wenu wa kufanya baada ya kuguswa na haya yaliyonikumba,
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 27 nilitokea kupendana na kijana mmoja wakati niko nasoma chuo,alinieleza ana mtoto mmoja yuko vijijini kwa wazazi wake na ndiko anakolelewa huko,nilimuuliza kuhusu mwanamke aliyezaa naye akanieleza kuwa hawana mahusiano yaani walishatengana muda mrefu sasa,kwa sababu nilimpenda sana sikuona mbaya niliona yule mtoto hana sababu ya kunifanya nisiendelee kumpenda huyo kijana kwa bahati nzuri nikabahatika kupata mtoto naye mmoja,baada ya kumaliza chuo akaniambia twende tukaishi kwao,sikuwa na namna ya kukataa ukizingatia nishamfahamisha kwetu na tuna mtoto.
huwezi amini niliyoyakuta huko,hapo nyumbani kama ilivyo kawaida ya jamii za kiafrika huwezi ishi wewe na mume wako tu lazima mtakuwa familiya kubwa basi nilikuta watoto kama wawili na mama mkwe. siku moja mtoto mkubwa katika kupiga story alijikuta akiniambia kwamba yeye ndiye mtoto wa kwanza wa huyu mwanaume niliyenaye na yuko chuo,wa pili yuko form 2,wa tatu yuko la 5 na wa nne yuko nasari.mh! kweli sikuamini niliumia sana mpaka yule mtoto alijuta kwa nini aliniambia, alifahamu kuwa nafahamu.Mume wangu alivyorudi nilimuuliza alikiri lakini alistuka nimejuaje nilimtuhumu kwa nini alinidanganya,aliomba msamaha sana sana.
Sasa naomba ushauri kutoka kwenu NIFANYEJE?
mh mi ushahidi mwingine uwe unaniepuka tu!manake ntakuwa natoa ushahidi na mi nikiwa nalia!sasa sijui BAK ataelewa!
ah!mi nachooooaka!
miss you big sisssy!
Dada mtu analia mdogo mtu analia lol! BAK atabembeleza wote 🙂🙂...mna machozi mengi eeh!!! :sad:
ha haaa, mdogo wangu, naona mtu hapa anaogopa kubembeleza........acha kutuonea BAK LOL!:A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:
You are always bright,cjui kama Kuna watu walishaliona hilo kwako.Nataman uwe mzuri pia.