Kilichonikuta

Kilichonikuta

usiombe sasa uuvae mkenge mbona utajikuta unasema Anyone who has never made a mistake has never tried anything new."
- albert einstein
mkenge ndo ameshauvaa hivyo........
ngoja nisiseme sana.... ila najiuliza tu hivi nitabebaje mimba ya mtu ambaye simjui?
kwa maana nyingine huyu mpaka anahamia kwa huyo kaka ni hamjui kabisaaaaaaa
 
hapo chacha nasikia siku hizi ukibeba mimba unarahisisha ubongo wa spouse kufikiria ndoa haraka loh,ngoja nipate:coffee::coffee:leo kuna kiubaridi.
 
ha haaaa, ndo ka-catalyst mmejitafutia? lol!
 
mkenge ndo ameshauvaa hivyo........
ngoja nisiseme sana.... ila najiuliza tu hivi nitabebaje mimba ya mtu ambaye simjui?
kwa maana nyingine huyu mpaka anahamia kwa huyo kaka ni hamjui kabisaaaaaaa

Yaani mie hata la kusema sina tena. Maanake mpaka unabeba mimba au unajiachia kihivyo si nadhani inabidi mtu huyo uwe umemjua kwa kina hata kwa 75% . 25% zinabakia ukishaingia ndani . Anyway maji yashamwagika ushauri wangu kwa mdada huyu ni kwamba aondoke tu maana huyu bwana hana hata chembe ya ukweli hivi inaingia akilini amwache mke aliezaaa nae watoto 4 na bado kuna huyo mtoto wa nursery mmmmh. Hawa watu wameachana lini isijekua yeye akawa ndio sababu . Hapo bwana kama anataka kuishi kwa raha na amani aondoke au kama vipi abanane hapo hapo si wanasema wanaume wachache sijui kama huwa kweli.
Shida atakazozipata akiamua kubanana zitaanzia kwa hao watoto aliowakuta sipati picha kuwa na mama wa kambo kijana namna hii . Pili shida itatoka kwa mwanamke/wanawake aliozaa nao huyo bwana, tatu kama watoto hao wanatoka kwa wamama wanne basi hapo hakuna maisha wale walioachwa wana nini nae akae ana nini cha ajabu.
 
lol! hahahaha mbona siyaoni machozi naona una tabasamu la nguvu!? au ukilia huwa unaonekana kama unatabasamu?

ha haaaa, natamani sana kujifunza/kuexperience kubembelezwa kidijitali rafiki yangu........
I am waiting......patiently
nimeshaanza kulia ujue
 
Yaani mie hata la kusema sina tena. Maanake mpaka unabeba mimba au unajiachia kihivyo si nadhani inabidi mtu huyo uwe umemjua kwa kina hata kwa 75% . 25% zinabakia ukishaingia ndani . Anyway maji yashamwagika ushauri wangu kwa mdada huyu ni kwamba aondoke tu maana huyu bwana hana hata chembe ya ukweli hivi inaingia akilini amwache mke aliezaaa nae watoto 4 na bado kuna huyo mtoto wa nursery mmmmh. Hawa watu wameachana lini isijekua yeye akawa ndio sababu . Hapo bwana kama anataka kuishi kwa raha na amani aondoke au kama vipi abanane hapo hapo si wanasema wanaume wachache sijui kama huwa kweli.
Shida atakazozipata akiamua kubanana zitaanzia kwa hao watoto aliowakuta sipati picha kuwa na mama wa kambo kijana namna hii . Pili shida itatoka kwa mwanamke/wanawake aliozaa nao huyo bwana, tatu kama watoto hao wanatoka kwa wamama wanne basi hapo hakuna maisha wale walioachwa wana nini nae akae ana nini cha ajabu.
ha haaa, rafiki mi nakuangalia tu unavyomshauri mwenzio asepe wakati alishapata pa kujihifadhi, lol!
sasa kama huyo baba ana tabia ya kuzalisha na kubeba wanawe sasa si hata wa kwake atakuja lelewa na mama wa kambo mwingine? bora ajilipue tu.... si anasema anampenda! anaweza mtuliza huyo mume.... si uliona ule uzi wa kusema mumeo alikuwa kicheche mimi nimemtuliza? kila mtu na trick zake rafiki
 
lol! hahahaha mbona siyaoni machozi naona una tabasamu la nguvu!? au ukilia huwa unaonekana kama unatabasamu?
ha haaa, njoo uone mziki wake......
wengine tumejaliwa kulia atiiiiiiii
tabasamu hilo ni kawaida yangu rafiki, hata nikilia.......
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ha haaa, rafiki mi nakuangalia tu unavyomshauri mwenzio asepe wakati alishapata pa kujihifadhi, lol!
sasa kama huyo baba ana tabia ya kuzalisha na kubeba wanawe sasa si hata wa kwake atakuja lelewa na mama wa kambo mwingine? bora ajilipue tu.... si anasema anampenda! anaweza mtuliza huyo mume.... si uliona ule uzi wa kusema mumeo alikuwa kicheche mimi nimemtuliza? kila mtu na trick zake rafiki
Hahahahaha umenichekesha kweli sasa itabidi amtafute huyo mdau manake hivi hivi itakua ngumu . Na kweli mapenzi huwa hayana macho sasa duh kumeza chungu lkn tunatofautiana mie mtu akishanificha mambo ya msingi halafu ndio anatakiwa awe mume duh naona kama ngumu kumuamini tena. Lkn ajipe moyo ikibidi basi amtafute yule mdau atampa trick za kuishi na huyo jamaa wapi lara1 jamani
 
Mie nasangaa tu lol! wengine wamejaliwa hata wakilia wanaonekana wana tabasamu. Hiyo H imeminywa kwa hisani ya watu wa Malaysia na Netherlands lol!.

ha haaa, hutaki sasa?
 
ha haaaa, namchokoza rafiki yangu BAK hapo....
si umeona alivyotoka nduki?
Hebu uje umwambie aweke na wimbo mmoja wa Judy bocha sijui kama nimepatia spelling miaka ya tisini alikua anawika sana. Enzi hizo kama mwanachuo hajanunua redio kubwa na kuweka nyimbo hizo basi yeye sio mjanja lol
 
Last edited by a moderator:

Aaaah hahahahahahah uuuuuiiiiiiiiiiiiiiiii nimekubali wewe mkali aisee . Umenikumbusha mbali sana huu ndio wimbo uliokua unapigwa sana enzi hizo lol
 
Last edited by a moderator:
Mie nasangaa tu lol! wengine wamejaliwa hata wakilia wanaonekana wana tabasamu. Hiyo H imeminywa kwa hisani ya watu wa Malaysia na Netherlands lol!.
ha haaa, lol! nimekupata saaaaaana.......
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hebu uje umwambie aweke na wimbo mmoja wa Judy bocha sijui kama nimepatia spelling miaka ya tisini alikua anawika sana. Enzi hizo kama mwanachuo hajanunua redio kubwa na kuweka nyimbo hizo basi yeye sio mjanja lol
ha haaaa, hukuwa na daftari pia la nyimbo?
 
hahaha we acha tu nilikua nalo. Achilia mbali kanda zake hapo home noma kuweka nyimbo type hii dingi mkaliiii sasa shule zikifunguiwa ukienda boarding bwenini wanakomaje mkiweka kikaseti chenu na hasa siku za birthday party.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom