Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Exactly..........na mwalimu alyekufundsha wewe ndo amemfundsha mdogo wako
Exactly..........na mwalimu alyekufundsha wewe ndo amemfundsha mdogo wako
si tulisema tutakaa ifamilia tuimalize?
ndo nawasubiri hivyo, mkipata nafasi mje niwasuluhishe...
cc. snowhite
ha haaa, lol!Anadai et hana nafasi
ha haaa, lol!
ngoja ntaongea naye, usikute teja hampi hata sekunde, lol!
ha haaa, lol!
ngoja ntaongea naye, usikute teja hampi hata sekunde, lol!
anamsingzia mkoloni
eti anasema wewe ndo huna nafasi ya kukutanishwa......yani dada kubwa bana!nakupendaje sasa unaponitetea namna hii!
huyu shem wako nae,si ulishamwambia utatuita kama familia tuyamalize!?
sasa analalamika nini!
mh jamani!
hata :A S 101: nako sipatikani????:frown:
eti anasema wewe ndo huna nafasi ya kukutanishwa......
najua mdogo wangu tulivyoambiwa kuleeeeeeeeee wakati uleeeeeeeeeeee kuwa teja first
lakini pia hawa mashem unajua tusipowaweka sawa mambo yanaweza kuwa magumu sana.
jitahidi kutafuta nafasi hata masaa machache tuyasuluhishe, maana naona shem Nicas Mtei hapa anataka kuanzisha ya kuanzishwa.... tusimpe nafasi mdogo wangu, sawa?
Ntakupgia mwaya
cc @fP
hakuna haja ya kutusuluhisha tena!
tushayamaliza dada mkubwa!
Habari za mida hii ndugu jamaa na marafiki wa jamii forum:
Naomba ushauri wenu wa kufanya baada ya kuguswa na haya yaliyonikumba,
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 27 nilitokea kupendana na kijana mmoja wakati niko nasoma chuo,alinieleza ana mtoto mmoja yuko vijijini kwa wazazi wake na ndiko anakolelewa huko,nilimuuliza kuhusu mwanamke aliyezaa naye akanieleza kuwa hawana mahusiano yaani walishatengana muda mrefu sasa,kwa sababu nilimpenda sana sikuona mbaya niliona yule mtoto hana sababu ya kunifanya nisiendelee kumpenda huyo kijana kwa bahati nzuri nikabahatika kupata mtoto naye mmoja,baada ya kumaliza chuo akaniambia twende tukaishi kwao,sikuwa na namna ya kukataa ukizingatia nishamfahamisha kwetu na tuna mtoto.
huwezi amini niliyoyakuta huko,hapo nyumbani kama ilivyo kawaida ya jamii za kiafrika huwezi ishi wewe na mume wako tu lazima mtakuwa familiya kubwa basi nilikuta watoto kama wawili na mama mkwe. siku moja mtoto mkubwa katika kupiga story alijikuta akiniambia kwamba yeye ndiye mtoto wa kwanza wa huyu mwanaume niliyenaye na yuko chuo,wa pili yuko form 2,wa tatu yuko la 5 na wa nne yuko nasari.mh! kweli sikuamini niliumia sana mpaka yule mtoto alijuta kwa nini aliniambia, alifahamu kuwa nafahamu.Mume wangu alivyorudi nilimuuliza alikiri lakini alistuka nimejuaje nilimtuhumu kwa nini alinidanganya,aliomba msamaha sana sana.
Sasa naomba ushauri kutoka kwenu NIFANYEJE?
hahahahahahahahahahahhahaha maneno kuntu aisee nimecheka mpaka bosi wangu kanifuata hapaSasa bi dada unachoshangaa ni kipi, maana hata wewe ndani ya maelezo naona umebebwa kama ubwabwa wa shughuli.
Sioni mahali kuwa ulifunga ndoa, bali umesema ulizaa tu na huyu kifanyio dind.a.
Hivyo kaa hapo hapo bi dada lea wana wa wanawake wenzako.
umeona mdogo wangu?
mi naona anakwepakwepa tuuuuuuuu.....
bembeleza hawa mabinti wanahitaji kubembelezwa, lol!
nilishaliona hilo mdogo wangu.....cc @fP
hakuna haja ya kutusuluhisha tena!
tushayamaliza dada mkubwa!