Umesema kweli yote...!Unajua Mkuu haya mambo ukirudi Ktk mambo ya Imani, ndoa inatakiwa wote wawe Bikra!
Sasa haya mambo ya Dunia ni shida mkuu'
Kwa hiyo binti hata kama alikuwa malaya tu lakini kwa vile hajazaa anaonekana amejitunza. Si kila mila zinafaa kuendelezwa zingine za kinafiki tu kama hizi...
Heheeeeee kumbe umechungulia nlitaka nimuone mumeo kama anapenda kuchepuko
Kuwa "malaya" au kutokuwa ni jukumu la vijana kuchunguzana. Ndio maana kuna kipindi cha URAFIKI---> UCHUMBA, ni kwa ajili ya kuchunguzana tabia na mienendo. Mila zipo na tunazidi kuzifuata, zimetulea na tunaziheshimu...Labda uniambie ushakuwa pro-western!
Hadhi ya binti ipi? Kisa ana mtoto?
hivi nyie mnaowachukulia negative mabinti wenye watoto huwa mnawaza nini?
mtoto/watoto si kitu kwenu?kuna watu wanakunywa dawa za miti shamba, wengine kutwa kukimbiza majogoo kwa waganga
ili wapate mtoto.....!!!
mtoto ni majaaliwa ya mungu sio mpango wa binadamu, hamtaki binti asepe zake
Tumeongelea vitu viwili tofauti mkuu,
..Dada zako waliolewa bila kutolewa mahari coz baba ''hakutaka kupokea'', ila angetaka basi kusingekuwa na shaka. Wangekubaliana na vijana wangetoa mahari bila shida. by the way, hata sista angu aliolewa bila mahari. (imani ya babangu pia)
Labda nikupe mfano, kule kwetu Kihurio, tuna mila kuwa katika kulipa mahari lazima kijana atozwe pesa kwa ajili ya kumpa mama mkwe, "YA MLALA" hii ni kushukuru kwa kumtunza binti hadi kufikia kuolewa. Kama huyo binti alizalishwa kabla basi huyo kijana hatozwi hiyo kitu, which means ''thamani yake'' imeshuka... Hizi ni mila ambazo tunazifata lakini tunajifanya hatuzijui..aaaah!
Kwa hiyo binti hata kama alikuwa malaya tu lakini kwa vile hajazaa anaonekana amejitunza. Si kila mila zinafaa kuendelezwa zingine za kinafiki tu kama hizi...
Umesema kweli yote...!
Mungu kasema USIZINI...! haya ni matokeo ya dhambi..
Hivi hiyo si ndo human trafiking inayopigwa vita dunia nzima? Kuna haja ya uelimishaji kuhusu nini maana ya mahari. You can't possibly say you love someone na ukamshushia heshima kiasi hiko.amwache asimwoe, binti atanyanyasika mno, kama thamani yake haifiki hata 2m kisa kazaa??
Sikiliza Eli79 nkwambie kitu,
Hapa Hawa dada zetu wengi wanaotetea hili swala sio km ni watu wazima wenye watoto Yani wenye vijana Wa kuweza kuoa! Yani Hawa km Ndo wangekua watu wazima Alafu vijana wao watake kuoa binti aliezaa hawawezi kukubali ata kidogo! Tena wanawake Wana Roho mbaya sn wakiwa wazazi iwapo vijana wao wanataka kuo! Ni wachungumzi mno! Sisi wanaume hatuna shida kabisa lkn wao tena wagundue Kua binti anaetaka kuolewa amekwisha zaa Yani uchumba lazima ufe! Hawa sasaiv wanaongea tu lkn vitoto vyao vikikua Na kutaka kuoa inakua shida sn! Km huyu Khantwe Na tumboo ni balaa sn kwa watoto wao!
Hahahah siwezi kubisha wala kukubali koz sijafika hapo
Umemuona wifi yako lkn?
Thamani ya mwanamke iko palepale haijalishi ana mtt au la,,,,,,,,
Katafute hao fresh ambao ni more used than ur fiancee.
Km ni hivyo ng'ombe 500 ntatoa!
Huyo huwa hachepuki....akitaka kuchepuka anakuja kunitaarifu kwanza