Kilichomtokea rafiki yangu ni funzo kwangu

Hayo maswala ya kuuzana ndo mzee wangu aliyakataaga!!
 
Me nashauri Apige chini hapo hakuna mjadala kama dem kaficha kwamba hana mtoto kaja kusema too late hapo ni Maamuzi Magumu yanaitajika ambayo ni kupiga chini tu,kama wote wangekuwa na mtoto I kila mtu ni sawa,Me nina case study kama 10 za ndoa kama hizi 1 akiwa ni bro sitabiri baya ila lazima ataijua dunia ipo vp!ndoa si Mchezo si jambo dogo lazima Uwe serious
 
Fanya yako mtoto mzuri....ukifuata hawa utakonda kichwa. Hawanaga jema

Nyinyi mnalo? Bure kabisa! Siwadharau wanawake (mama yangu ni mwanamke,mwanangu ni mwanamke) ila in my days I seen the worst sides of you creatures! Some of you are damn evil!
Go ahead and take all the old men around, unadhani youngmen would cry simply because you are going out with older men? Men don't work that way! We don't declare vendetta against this weak gender simply because they are doing what their feeble minds tells them what to do!

my congratulations to strong women (the likes of my mother) out there who kept their shit together and stuck to their young men even if they were broke and went on to build strong families - a place we were born!

Others in here are nothing but wayward bitches and these days are increasing at an exponential rate!
 
Huyo binti hafai kuoa hata bure, achilia mbali kumlipia mahari, kitu kibaya kuliko vyote alichofanya ni kusema UONGO. Mtu akishakudanganya hivyo wala huna sababu ya kusumbuka nae, kama ingekuwa mimi hata nisingerudi.

Lakini pia, Hilo la kuwa na mtoto...mmmh!!! Mimi hapana aisee. It's a gamble, I ain't ready to gamble.
 
Mmmhh umekuja? Lkn mimi namuona huyo mwenzenu chizi tu. Nisingemlaumu kama angempiga chini mara tu baada ya kuupata ukweli kuhusu bidada. Lakini yeye anaonekana aliridhika ila lilipokuja suala la mahari ndo kagoma. Hivi watu wanaitafsiri vipi hii dhana ya mahari? Yani mi kanikwaza hapo tu natamani angekuwa jirani nimtwange na mwiko
 
Binadam ana pangiwa value?Thamani yake ina devaluate kulingana na kazaa watoto wangapi?Haya ni manyanyaso sana kwa huyu binti sababu tu eti kazaa!

Rais Prof Mutharika wa Malawi juzi tu kaoa Mama mwenye watoto zaidi ya mmoja bila kupangiwa thamani yake itakuwa ndiyo huyo rafiki yako mganga njaa kama mm tu?

Rafiki yako kanikera sana agrrrrrtr!

..ndio, hadhi ya aliyezaa "nyumbani" kabla ya ndoa inapungua tena sana. We unataka kuniambia nikichumbia binti mwenye watoto wawili either kazakia nyumbani au kaachika nitamtolea mahari sawa na ambaye hajazaa, nope...never! Actually, nitamzalisha pia wala sitaenda kutoa mahari..
 
Kwa hiyo wewe unatafuta bikra tu....mana mi sioni tofauti kati ya mwanamke aliyezaa na ambaye hajazaa lkn sio bikra.
 
Mmmhh umekuja? Lkn mimi namuona huyo mwenzenu chizi tu. Nisingemlaumu kama angempiga chini mara tu baada ya kuupata ukweli kuhusu bidada. Lakini yeye anaonekana aliridhika ila lilipokuja suala la mahari ndo kagoma. Hivi watu wanaitafsiri vipi hii dhana ya mahari? Yani mi kanikwaza hapo tu natamani angekuwa jirani nimtwange na mwiko

Nimekuja rafiki..! Afu nishakumithi..!! Huyo jamaa hata simuelewi, mtu kakudanganya mwaka mzima kuwa hana mtoto, leo unaenda kwao unaambiwa ana mtoto wa miaka mitano, tena na watu baki...unarudi kufanya nini???
 
Nyinyi mnalo? Bure kabisa! Siwadharau wanawake (mama yangu ni mwanamke,mwanangu ni mwanamke) ila in my days I seen the worst sides of you creatures! Some of you are damn evil!
Go ahead and take all the old men around, unadhani youngmen would cry simply because you are going out with older men? Men don't work that way! We don't declare vendetta against this weak gender simply because they are doing what their feeble minds tells them what to do!

my congratulations to strong women (the likes of my mother) out there who kept their shit together and stuck to their young men even if they were broke and went on to build strong families - a place we were born!

Others in here are nothing but wayward bitches and these days are increasing at an exponential rate!

Good for u rafiki
 
Kwa hiyo wewe unatafuta bikra tu....mana mi sioni tofauti kati ya mwanamke aliyezaa na ambaye hajazaa lkn sio bikra.

Nilitamani kukuuliza swali lakini kijiweni hapafai hapa, Bikra simtaki pia coz mie sio bikra. Ningekuwa na mtoto ningetafuta aliyezaa tayari. Kwa vile sina mtoto wala sio bikra, basi natafuta ambaye hana mtoto lakini sio bikra. Khantwe kubali au kataa, thamani/value yako inashuka "UKIZALISHWA NYUMBANI" unless useme hutaki kuolewa kwa mahari..
 
Last edited by a moderator:

Afadhali umejistukia hujauliza.....hata ungekuwa na mtoto bado usingemtaka mwenye mtoto. Huenda usingekuwa na ujasiri wa kutangaza lkn moyoni ndo ingekuwa hivyo
 
Last edited by a moderator:
Nimekuja rafiki..! Afu nishakumithi..!! Huyo jamaa hata simuelewi, mtu kakudanganya mwaka mzima kuwa hana mtoto, leo unaenda kwao unaambiwa ana mtoto wa miaka mitano, tena na watu baki...unarudi kufanya nini???

Umenimis wapi ww wakati unanchunia
 
..ndio, hadhi ya aliyezaa "nyumbani" kabla ya ndoa inapungua tena sana. We unataka kuniambia nikichumbia binti mwenye watoto wawili either kazakia nyumbani au kaachika nitamtolea mahari sawa na ambaye hajazaa, nope...never! Actually, nitamzalisha pia wala sitaenda kutoa mahari..

Mkuu!
Baba yangu kaozesha dada zangu 2 hadi sasa na HAWAKUWA na watoto kabla ya kwenda kwenye ndoa zao na Mzee ALIKATAA MAHARI!

Dada zangu wanaheshimiwa mno kwenye ndoa zao na hata ukweni ingawa walienda bure kabisa!Mke akizaa sio kweli ndiyo eti hana thamani!Thamani ya mke wako anapewa kwanza na ww mme wake wengine wote watafuata!
 
Kweli kabisa mkuu....no wonder watu wanalia na ndoa siku hizi...kama ubora wa mke unaangaliwa katika hilo bas kazi ipo
 
Huwezi kuacha kwa sababu wanawake wengi siku hizi kuolewa ni fashion! Lakini kiuhalisia mpenzi wako anapofanya jitihada kuficha kitu flani na tena kizito ukakijua kwa jitihada zako tu lazima utakwazika sana moyoni, hata upendo wako kwake utakuwa na walakini kiasi flani!

Na ww ushukur mung mung umeoa maana una siasa za ndoa.....maana mchagua nazi uambulia koroma
 
Hadhi ya binti ipi? Kisa ana mtoto?
hivi nyie mnaowachukulia negative mabinti wenye watoto huwa mnawaza nini?
mtoto/watoto si kitu kwenu?kuna watu wanakunywa dawa za miti shamba, wengine kutwa kukimbiza majogoo kwa waganga
ili wapate mtoto.....!!!
mtoto ni majaaliwa ya mungu sio mpango wa binadamu, hamtaki binti asepe zake

Japo mimi ni mwanamke lakini hili swala la mabinti kukimbilia kuzaa kabla ya ndoa silipendi na linanikwaza sasa, tena karne hii ndo imekuwa kama fashion, nazani la msingi ni kuchagua moja either amua tu kwamba sihitaji ndoa nazaa na kulea mwanangu au jitunze usubiri mume. Hii iende hata kwa wanaume pia, make sure unafanya safe sex ili mwisho wa siku usije zalisha mwingine ukaoa mwingine, nazani wengi tunapenda kuinga kwenye ndoa na kuanza ukurasa mpya usio na machanganyo ya sijui mzazi mwenzio
 
Don't do it, taishia kujidhalilisha tu au kuwa victim wa mauaji kwa kufiwa na wazee kifuani kwako!

Akuna kujifharirisha kila mtu na starehe yake we starehe yako mtu mwenye hadhi mi starehe yangu vibabu.....na maswala yakufiwa kifuan ni matokeo tu hata ww waweza mfia mkeo kifuan kwake
 
Back
Top Bottom