Kilichomtokea rafiki yangu ni funzo kwangu

Ndoa ni upendo, ndoa ni kujitoa, kama amempenda aoe tu, mtoto sio kikwazo.
 
kuna binti hapa mtaani kwetu kajifungua akiwa na miaka 15 tu,hvy mtu ana miaka 21 wewe unashangaa?

Sio nashangaa umri, mara nyingi mtu akiruka stage fulani ktk maisha yake, kuna vitu vitamsumbua mbele ya safari kama hatajitambua mapema. Huyu mtoto ni kwamba kazaa mtoto mwenzake, matokeo yake inabidi mtoto alelewe na bibi au mtoto alelewe na jamii. Unakuta mtoto huyo ni mke wa mtu lakini anatamani kucheza na watoto wenzake huku mzee anataka kisusio, kazi sana. Ndio hivyo, dunia tambala bovu.
 
Nimejiwekea sheria kuwa nitakuambia ukweli wote unaoutaka, ila ukinificha chochote nilichokuuliza siku nikijua basi ndio mwisho maana hutanisikia tena
 
Hadithi nyingine tamu, huyu binti kwa miaka 21 leo,alizaa lini na kumlea lini huyo mtoto na shule ya msingi alimaliza na umri gani ?

kweli watanzania kwa uwongo kama kipaji basi tumebarikiwa!
 
Tunafanya naye kazi hapa, alimchumbia binti, alipomuuliza kama ana mtoto binti akakataa kuwa hana, alimuuliza kama mara tatu binti akasema hapana sina.

Wiki iliyopita acha ya juzi tulienda kwao kupajua na kujitambulisha rasmi tulikaribishwa vzr tukakaa na kula then mazungumzo na binti pamoja na rafiki yakaanza baadae wazazi wake waliitwa.

Baada ya kujitambulisha pale na kuzungumza nao ukafika muda tukaaga kuondoka ili tukalale guest then kesho yake tuondoke, tukiwa njiani kuelekea guest baba yake akampigia simu na kumwambia asiende kulala hadi afanye uchunguzi kuhusu binti huyo, tulishirikiana pale kufanya uchunguzi ndipo watu watatu tuliowahoji kwa muda tofauti wakisema kuwa huyo binti ana mtoto wa kiume alimpata akiwa shuleni.

Tuliishiwa nguvu lakini nikampa moyo rafiki yangu sasa akaamua kumpigia tena simu binti huyo akamuuliza tena kama ana mtoto yaaan ndipo akakili kuwa ni kweli na mtoto ni wa kiume.

Du! alipomwambia baba yake akasema haina shida hata kama ana mtoto cha msingi anachojua ni kuwa mtoto wa kiume kwa kabila la wanyantuzu huwa anakuwa upande wa ujombani.

Rafiki yangu akatafakari sana kisha akamwambia baba yake kuwa sawa wajiande waende kupanga mahari ila akatoa conditions kuwa mahari isizidi milioni moja ikiwa watashindana basi warudi tu. Baba mtu wakaenda juzi Jumamosi na wakaambiwa ngo'mbe 13 mbuzi 2 na kitenge wax moja, mzee akakubali na ktk pesa ngo'mbe 13 ni sawa na T.shs. milioni 1 laki 7 hadi 8 sasa baba mtu kumwambia kijana wake kijana amekataa kata kata kuwa hiyo mahari ni kubwa ukilinganisha na hadhi ya huyo binti.

Kasema nimshauri jamani ushauri wenu hapa ni muhimu, je amuache? Kijana ana 28 yrs old na binti ana 21 yrs.

Haa ttizo nionalo mimi siyo motto hata kidogo tatiz ni uhakika kama huyo binti hataendele kuwa na uhusiano nahuyo baba wa motto baada ya kuolewa?
 
Mwambie Ajaribu Wanaume ndio hawana Watoto, mwambie wanaume- wanaume Ndio Mpango mzima Siku Hizi!

​
 
acha kutoa sababu nyiiiingi.mara ana mtoto mara muongo,mara nimeujua ukweli yooote ya nini???..cha msingi mwambie mshikaji wako kama bint anampenda awaambie wazazi wa huyo binti kuwa yeye uwezo wake ni shiling kazaa(ataje kiasi anachoona anaweza mudu) na awaambie kabisa kuwa huu ndo uwezo wangu mkitaka niozesheni hamtaki basi....
 
Back
Top Bottom