Kilichomtokea rafiki yangu ni funzo kwangu

Siwezi/Sijawahi kuzaa nje mimi! Nina mke wangu ambaye tuliishi 10 yrs sold katika uchumba na hatimaye kuoana! Nizae nje kwa nini wakati wa kuzaa yupo ndani tayari anafanya hiyo kazi?
Ila usihofu ndoa yako na Ntuzu bado ipo pale pale!

Sijakuongelea wewe personaly..... Nimewaona wengi utasikia hawataki kuoa aliyezaa na ukichunguza wao wana watoto kwa wanawake na hawana mpango wa kuwaoa. Af sie ndoa yetu ilishafungwa ko sina hofu
 
Last edited by a moderator:
Siwezi/Sijawahi kuzaa nje mimi! Nina mke wangu ambaye tuliishi 10 yrs sold katika uchumba na hatimaye kuoana! Nizae nje kwa nini wakati wa kuzaa yupo ndani tayari anafanya hiyo kazi?
Ila usihofu ndoa yako na Ntuzu bado ipo pale pale!

Hahahaha huyu swty wangu Khantwe Ngoja nimtumie FBI Au I S I wakamfanyie ujasusi km hajazaa kweli? Au yeye ni mweupe kweli?

Maana akiwa Mweupe Na Mahali inakua Juu! Lkn akiwa km Mimi ni ng'ombe mbili tu ntatoa!

Cc: mwallu miss neddy Honey Faith
 
Last edited by a moderator:
Sasa ndugu Yangu muuza ubuyu umeongea kinyatuzu kabisa au Ktk mila zetu jinsi zilivyo!

Mimi nilitaka niongee kiroho kidogo!

Kwa mujibu Wa maandiko matendo ya ndoa ufata baada ya ndoa!

Ktk ulimwengu Wetu Wa Leo matendo ya ndoa hufanyika kabla ya ndoa Yani Wana ndoa hujuana kwanza kabla ya kuoana! Hili ni MACHUKIZO MBELE ZA MUNGU! lkn sisi wanadamu tumekua tukilichukulia km Jambo rahisi tu lkn ni swala moja muhimu sn mbele za Mungu Na ata kwetu pia!

Sasa km Hilo la kujuana kabla ya ndoa ni shida mbele za Mungu itakuaje Hilo swala la mtu kuzaa kabla ya ndoa Na kisha kuja kuolewa Na mtu mwingine?

Haya mambo ni tatizo sn!

Wakae waelewane km watakubaliana wayamalize tu Hayo!
Asante sana! Kwa kweli hata mie iliniuma kabisa ISSUE YA KUDANGANYA! Kiuhalisia hata mimi ninaweza kuoa mtu aliyezaa, ilimradi tu awe open from the start, na tena anaweza kunieleza ye mwenyewe kwamba kazaa kabla hata sijamuuliza, nitafurahi zaidi! Make unaweza kuoa then jamaa aliyezaa naye akaona wivu hivyo kuanza kuivuruga ndoa yenu. Uwe wazi tupange namna tutakavyoli-tackle jambo hilo!
 
Umeongea vema lakini kwa nini mtu akizaa anaonekana ametenda dhambi kubwa sana wakati mabinti wengi tu wanaolewa wakiwa hawana bikra? Kwa sababu huyu matunda yameonekana wazi na huyo mwingine hatuna uhakika kwamba yaliyomo hayamo bali ni siri yake yeye na wale aliotenda nao dhambi..... Tuache unafiki
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kwa maneno makali mnyantuzu lol muuza ubuyu. Hao wasimbe sijui wanaamua sometimes waseme hawana watoto coz wakisema ukweli mara nyingi wanaishia kukataliwa. Even though nakubali alifanya kosa kutokusema ukweli kama ana mtoto.
Me kilichoniuma ni kitendo cha huyo kijana aseme binti hana thamani ya kuzidi 1 M. Hivi kweli thamani ya mtu inapimwa kwa fedha? Na hiyo mahari aliyopanga kuitoa awali ilikuwa ndo thamani halisi ya huyo binti? Unaweza ukavalue thamani ya mtu kweli??. Me naona amuache tu binti wa watu, hata akiolewa na wazee ni sawa tu, coz akijilazimisha kumuoa atajitesa yeye mwenyewe pamoja na huyo binti

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Samahani kama nimekuudhi! Ila kuficha ficha mambo katika mahusiano ya mapenzi/ndoa, tena nyeti kama hili huwa yanaleta ukakasi sana katika ndoa/mahusiano hayo baadaye, na mengine kuuana kwa sababu za wivu wa kimapenzi!
 
Swty Nafikiri Swali lako ntakua nimelijibu Ktk post Yangu uliyoquote!

Niseme hivi labda! Yote Hayo ni MACHUKIZO mbele za Mungu! Ndoa iliyo nzuri wote Wana ndoa wawe hawajajua kitu Wala kujuana wao kwa wao!

Lkn ndoa zetu hizi zimekua balaa mpk mtu aangalie mashine ikoje Na nyie dada zetu mpk muone Gari inawaka yenyewe au ya kusukuma-ni tabu ati!

MACHUKIZO mbele za Mungu!
 
Yan hawa dawa yao ni full kuwabeba babazao na babu zao nahic ndio watatuheshim maana kah?
Don't do it, taishia kujidhalilisha tu au kuwa victim wa mauaji kwa kufiwa na wazee kifuani kwako!
 
Asante sana! Kwa kweli hata mie iliniuma kabisa ISSUE YA KUDANGANYA! Kiuhalisia hata mimi ninaweza kuoa mtu aliyezaa, ilimradi tu awe open from the start, na tena anaweza kunieleza ye mwenyewe kwamba kazaa kabla hata sijamuuliza, nitafurahi zaidi! Make unaweza kuoa then jamaa aliyezaa naye akaona wivu hivyo kuanza kuivuruga ndoa yenu. Uwe wazi tupange namna tutakavyoli-tackle jambo hilo!

Ukweli Na uwazi ni jambo zuri sn Ktk mambo ya ndoa!
 
Don't do it, taishia kujidhalilisha tu au kuwa victim wa mauaji kwa kufiwa na wazee kifuani kwako!

Hahaha

Huyu tumboo anaonekana ni Fundi sn!

Apigwe marufuku asifike Bariadi! Atatuulia wazee Wetu!
 
Last edited by a moderator:
Samahani kama nimekuudhi! Ila kuficha ficha mambo katika mahusiano ya mapenzi/ndoa, tena nyeti kama hili huwa yanaleta ukakasi sana katika ndoa/mahusiano hayo baadaye, na mengine kuuana kwa sababu za wivu wa kimapenzi!

Sijakwazika mpendwa, kuwa tu na amani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ahsante kwa maneno makali mnyantuzu lol muuza ubuyu. Hao wasimbe sijui wanaamua sometimes waseme hawana watoto coz wakisema ukweli mara nyingi wanaishia kukataliwa. Even though nakubali alifanya kosa kutokusema ukweli kama ana mtoto.
Me kilichoniuma ni kitendo cha huyo kijana aseme binti hana thamani ya kuzidi 1 M. Hivi kweli thamani ya mtu inapimwa kwa fedha? Na hiyo mahari aliyopanga kuitoa awali ilikuwa ndo thamani halisi ya huyo binti? Unaweza ukavalue thamani ya mtu kweli??. Me naona amuache tu binti wa watu, hata akiolewa na wazee ni sawa tu, coz akijilazimisha kumuoa atajitesa yeye mwenyewe pamoja na huyo binti

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hata mimi kaniudhi kweli eti mahari haiendani na hadhi??
 
Last edited by a moderator:
Swty Nafikiri Swali lako ntakua nimelijibu Ktk post Yangu uliyoquote!

Niseme hivi labda! Yote Hayo ni MACHUKIZO mbele za Mungu! Ndoa iliyo nzuri wote Wana ndoa wawe hawajajua kitu Wala kujuana wao kwa wao!

Lkn ndoa zetu hizi zimekua balaa mpk mtu aangalie mashine ikoje Na nyie dada zetu mpk muone Gari inawaka yenyewe au ya kusukuma-ni tabu ati!

MACHUKIZO mbele za Mungu!

Hahaha shake well b4 use lol
 
Kama kashakataa sasa antaka ashauriwe nini!! Namuonea huruma dat girl, kisa kuzaa ndo aonekane hanaa thaman!!! Huyo rafk yako hajampenda huyo bnt..
 
Mbona unakosoa kupitia masaburi?

Usikasirike kijana, najuwa shule uliyokwenda haina maana na Waalimu waliokufundisha hawana maana, hii ni bahati kwako kupata Maalima wa Waalimu kukupa darsa, itumie fursa hiyo kwa kujirekebisha, itakusaidia si tu kwenye maisha yako ya JamiiForums, hata nje ya JamiiForums. Wala huna haja ya kutumia jina la mtu kunitusi unazidi kuonesha upunguani wako.

Masaburi ni jina la mtu, kumbuka hilo, ewe punguani.
 
binti kashusha injini, mahari 1.8, na kigoli je?
 
Back
Top Bottom