TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,872
- 2,056
Na watu wa hko na iv hupenda wanawake wenye rangi mbona ntapata wengi labda umfiche mzee wako ndani
Last edited by a moderator:
Baba zetu wana wake zao tayari kwahiyo akikupachika mimba shida kama hizi zinakukuta.
binafsi sijapenda jamaa anavyomchukulia huyo binti. mahari siyo lazima amalize anaweza kutoa hata nusu tu halafu nyingine akamalizia siku za baadaye. Kwenda kujitambulisha halafu baadaye mnagaili kisa mahali ni kubwa huo ni ushamba kupitiliza.
Daah hapa sina usemi zaidi.. Tatizo hiki kizazi chetu cha sasa hakina hofu ya Mungu. No sex before marriage ni big issue eti
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nilitamani kukuuliza swali lakini kijiweni hapafai hapa, Bikra simtaki pia coz mie sio bikra. Ningekuwa na mtoto ningetafuta aliyezaa tayari. Kwa vile sina mtoto wala sio bikra, basi natafuta ambaye hana mtoto lakini sio bikra. Khantwe kubali au kataa, thamani/value yako inashuka "UKIZALISHWA NYUMBANI" unless useme hutaki kuolewa kwa mahari..
Maskini....tunathaminishwa kama bidhaa dukani
Maskini....tunathaminishwa kama bidhaa dukani
Japo mimi ni mwanamke lakini hili swala la mabinti kukimbilia kuzaa kabla ya ndoa silipendi na linanikwaza sasa, tena karne hii ndo imekuwa kama fashion, nazani la msingi ni kuchagua moja either amua tu kwamba sihitaji ndoa nazaa na kulea mwanangu au jitunze usubiri mume. Hii iende hata kwa wanaume pia, make sure unafanya safe sex ili mwisho wa siku usije zalisha mwingine ukaoa mwingine, nazani wengi tunapenda kuinga kwenye ndoa na kuanza ukurasa mpya usio na machanganyo ya sijui mzazi mwenzio
Mkuu!
Baba yangu kaozesha dada zangu 2 hadi sasa na HAWAKUWA na watoto kabla ya kwenda kwenye ndoa zao na Mzee ALIKATAA MAHARI!
Dada zangu wanaheshimiwa mno kwenye ndoa zao na hata ukweni ingawa walienda bure kabisa!Mke akizaa sio kweli ndiyo eti hana thamani!Thamani ya mke wako anapewa kwanza na ww mme wake wengine wote watafuata!
Tumeongelea vitu viwili tofauti mkuu,
..Dada zako waliolewa bila kutolewa mahari coz baba ''hakutaka kupokea'', ila angetaka basi kusingekuwa na shaka. Wangekubaliana na vijana wangetoa mahari bila shida. by the way, hata sista angu aliolewa bila mahari. (imani ya babangu pia)
Labda nikupe mfano, kule kwetu Kihurio, tuna mila kuwa katika kulipa mahari lazima kijana atozwe pesa kwa ajili ya kumpa mama mkwe, "YA MLALA" hii ni kushukuru kwa kumtunza binti hadi kufikia kuolewa. Kama huyo binti alizalishwa kabla basi huyo kijana hatozwi hiyo kitu, which means ''thamani yake'' imeshuka... Hizi ni mila ambazo tunazifata lakini tunajifanya hatuzijui..aaaah!