Kilichommaliza Freeman Mbowe hiki hapa

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA

Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda.

1. Mbowe alimuita Mkuu wa Wilaya ya Ilemela "mjinga mjinga" hii inamaanisha hajielewi, hana akili, zezeta, poyoyo nk maneno haya nilisema si ya staha kuambiwa kiongozi mkubwa wa wilaya aliyeaminiwa na Rais, pia huyu ndiye mwenyekiti wa vyombo vya Usalama, Polisi, Magereza, FFU, Jeshi, Mgambo wote wako chini yake hivo hata kama amekosea unapaswa kumkosoa kwa lugha ya staha. Mkanitukana sana leo mnalalamika nini sasa nyie tulieni tu m/kiti avune alichokipanda.

2. Mbowe aliuambia umma wa Watanzania kwamba ndugu yake kafa na Covid-19, akaenda mbali kwa kusema kwamba kwasababu ya hatari ya ugonjwa huu watu wachanjwe kwa lazima. Mimi nikawaonya sana kwamba suala la chanjo msiliongelee maana watu wengi bado hawajaliafiki hata wa chama chake, pia nikasema CCM wataitumia kama nyenzo ya kuwasulubu.

Leo wanazuia kongamano lenu kwa kutumia hoja hio hio ya kupunguza madhara ya Covid-19 Mwanza, kama ambavyo Mbowe alisema tuchanjwe kwa lazima, tupungize madhara kwahy ngoma drooo.

3. Nilitahadhalisha sana CHADEMA wasijikite kumshambulia Hayati Magufuli maana hayupo ameshakufa, hana madhara kwao ,bali waungane na Magufulists kupambana na Rais SSH wakagoma wakasema wanapambana kuifuta legacy ya JPM ,badala ya kuifuta wanafutika wao.

Yaani unataka kuiangusha CCM halafu unaishangilia na kuwapinga wanaoishambulia, ajabu sana.

WEKENI VIPAOMBELE VICHACHE kama mnataka kweli kuichukua nchi.

Nyie hao hao mpambane na timu SSH na tena timu JPM, mshika mawili moja humponyoka.

Na sasa nasema mama ameamua kuwaonyesha kwamba anaweza kuwatuliza msidhani mnaweza mkamchezea chezea kama mpira.

TULIENI KABISA SISI TIMU JPM TUPO TUNAANGALIA TU MCHEZO UNAVYOENDA.
 
Yote hayo Mbowe hana makosa Bali makosa yapo kwa mama, huwezi waendekeza Hawa watu hata siku moja, sasa wacha mama avune alicho kipanda.

Kuhusu suala la ma DC kutukanwa pia hilo mama ana husika kwasababu aliwasikiliza hata kwa maneno ya uongo juu ya sabaya japo nikweli kwamba yote siyo ya uongo.

Point yangu nikwamba mama aache kabisa kusikiliza maneno ya mitandao, ilifikia mahali mama yy hata maamuzi mengi anachukua kutoka mitandao, FB wakisema fukuza huyo kesho Hana kazi.
 
Mbowe alipofiwa na Kaka yake majuzi alisema hatokaribisha watu msibani kwake kwakuwa mikusanyiko itachochea maambukizi ya Corona

Baada ya kumaliza msiba akawahi kwenda Mwanza ili kufanya mikusanyiko ilhali akitambua kwamba tupo kwenye janga la corona

Sasa huu unafiki wa kulinda Jamii yako isiambukizwe Corona nyumbani kwako ila jirani zako kule Mwanza ndio ukaueneze hio kiukweli haikubaliki. HAIKUBALIKI

Hii ni roho ya kishetani, roho ya kiuaji, roho ya tamaa

Mamá Samia shikilia hapohapo, wapuuzi na wanafiki kama hawa ni kuwapelekea moto tu.
 
Mbowe alipofiwa na Kaka yake majuzi alisema hatokaribisha watu msibani kwake kwakuwa mikusanyiko itachochea maambukizi ya Corona

Baada ya kumaliza msiba akawahi kwenda Mwanza ili kufanya mikusanyiko ilhali akitambua kwamba tupo kwenye janga la corona

Sasa huu unafiki wa kulinda Jamii yako isiambukizwe Corona nyumbani kwako ila jirani zako kule Mwanza ndio ukaueneze hio kiukweli haikubaliki,,, HAIKUBALIKI

Hii ni roho ya kishetani, roho ya kiuaji, roho ya tamaa

Mamá Samia shikilia hapohapo, wapuuzi na wanafiki kama hawa ni kuwapelekea moto tu.
Hata wangeachia Hilo kongamano, wasingepata watu waliotarajia

Mbowe should revisit mipango ya chama chake

Kwa sasa anaendeshwa na Twitter Republic

Matokeo yake wanadandia agenda za diamond, fally ipupa nk

Leo hii chadema wamebaki na verse moja Tu, katiba wakati katiba ni ya wote na siyo vyama vya siasa Tu
 
Sio

Sio kweli!! Wewe unafikiri kuwapata watu mpaka mtu aende mwanza!! Nini maana ya mitandao ya kijamii!! ???katiba sio ya mbowe ni wananchi wote na wewe ukiwemo
 
Mama mama yupi? Sasa si amezoea kupanda midege kwenda ughaibuni? Hebu aende tu hapo Kenya tuone wababe wa habari walio huru watakavyombanika kwenye mshikaki. Amejiweka karantini for good. Anaweza kwenda Burundi na uganda tu basi
 
Yote hayo Mbowe hana makosa Bali makosa yapo kwa mama, huwezi waendekeza Hawa watu hata siku moja, sasa wacha mama avune alicho kipanda.

Kuhusu suala la ma DC kutukanwa pia hilo mama ana husika kwasababu aliwasikiliza hata kwa maneno ya uongo juu ya sabaya japo nikweli kwamba yote siyo ya uongo.

Point yangu nikwamba mama aache kabisa kusikiliza maneno ya mitandao, ilifikia mahali mama yy hata maamuzi mengi anachukua kutoka mitandao, FB wakisema fukuza huyo kesho Hana kazi.
Huko seriously kweli
 
EAEwPul.jpg
 
Back
Top Bottom