Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
Kweli kabisa hawa viongozi wa sasa inabidi wajifunze kutokana na makosa yaliyofanywa na viongozi wenzao kama Doe.Hapa tulipo as a continent tutashuhudia uwajibikaji mkubwa wa viongozi kuliko wakati mwingine wowote.