Kilichomkumba aliyekuwa Rais wa Liberia hayati Samuel Kanyon Doe....

Nadhani hii ni baada ya wananchi na waasi wa hii nchi kuchoshwa na manyanyaso ya raisi wao wakamtenda hivi baada ya kumpindua miaka ya 1990s.

African presidents take care kwani uvumilivu wa wananchi wenu una kikomo yasijekukuta haya ndugu yangu...

Naomba hako kavideo naona Mr. Admin kakiminya
 
Back
Top Bottom