Moringe Sokoine 1 ingekuwa televisheni hazikuonyesha au RPC wa tanga hakuzungumza tungekuamini lakini kwa sasa urongo wako huo wapelekee ma-ccm wenzako. Sisi hatutoi watu kafara kwa hiyo tulivyoona hali uwanjani imekuwa sio rafiki kwa mkutano wetu tuliamua kwa dhati kabisa kuwa mgombea asiongee ili wananchi waondoke kwa amani. televisheni tuliziona na hata polisi waliongea na mgombea yuko imara japo mnamzushia urongo. leo amehutubia maeneo mengi tu na anaendelea na kampeni kunadi sera na kuomba kura wakati ninyi wafamaji mkijikita kwenye matusi na kejeli. lakini zina mwisho na mwisho wake ni oktoba 25 ndio hukumu yenu wazandiki wote ma-ccm
Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.
Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.
Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.
Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.
#KutokaTanga