Kilichojiri Tanga hiki hapa

Kilichojiri Tanga hiki hapa

maigizo ya edo watu wameshashtuka sasa hawataki tena kusikia upuuzi wake anazuga watu wamezimia ili aache kuhutubia mkutano tunajua kwamba afya yake mgogoro hana jipya hatumtaki
 
Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.

Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.

Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.

Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.

#KutokaTanga

Hivyo, kati yako na mkeo nani mtaalamu wa umbeya!
 
Mkuu hakuna dawa inaitwa AMORPHINE ( kuna morphine na apomorphine , nakusaidia Kama ulikosea herufi)
 
Acha kuwa mnafiki! hata shetani hapendi unafiki kama huu wa kwako.
 
Kaka kama hujui kitu nyamaza ugonjwa ni kila mtu anaumbiwa.kwa hali ya jana tanga kama mkutano ungeendelea leo mngekuwa mnaandika magazeti huku vijwa vya habari vikiwa vyeusi.Nitoe shukrani kwa ukawa kwa kutumia fursha hiyo kumaliza mkutano mmejali sana watu.Mtoa mada kama jana uliona TV au taarifa za habari ungeelewa hebu soma hata hapa itakusaidia. TANGA RAHA BLOG
 
Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.

Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.

Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.

Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.

#KutokaTanga

Wimbo wa afya ya Lowasa hauwapi kura.
Tafuta mwingine
 
Ninyi kiboko yenu Juma nyoso
 
Hata hapo muheza ni wachaga wamemsimamisha njiani
 
Kweli vijana Wa it masaki mnakazi tumia akili umma umeona kila kitu na umesikia hizo propaganda zako azitakisaidia chama chako at a kidogo pole sana
 
ubarikiwe,ila watanzania wote tunajua LOWASA ndiye rais
 
Acha uongo wewe mngese nadhani siyo kosa lako ila masaburi yako yanakuwasha unahitaji Wanaukawa wakukune!
 
umeandika kishabiki saana kama mange. ila ukweli ni kwamba tangamano ililemewa sana na watu nimefika tanga tangu jpili vijana wameamka sana.
 
Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.

Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.

Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.

Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.

#KutokaTanga

umevuta bangi leo??
kwani wewe upo Tanga ipi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom