Kilichojiri Tanga hiki hapa

Kilichojiri Tanga hiki hapa

Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.

Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.

Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.

Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.

#KutokaTanga

Sokoine gani fudhuri kama wewe uwongo umetanguliza mbele
 
Mimi bado nipo Tanga, hakuna basi wala lorry lililoleta watu. Umati ulikuwa mkubwa sana. Kila nilipopita mtaani nimewaona watu kwa miguu yao wakielekea uwanjani, na ilikuwa siku ya kazi, sijui ingekuwaje kama ingekuwa ni siku ya mapumziko! Hali ilitisha!

Watu waliletwa usiku sio mchana,tumia akili yako, wilaya ya Tanga,ina watu gani wakufikiya wengi?Na watu hao wa Tanga iweje wawapo usiku wa kuamkia mkutano uwanjani,wakati mkutano utafanyika saa kumi?
 
acha upuuzi umesikia wapi ama dunia gani watu wakaahirisha mkutano kisa watu wamepoteza ufahamu acha utoto hapakazitu
Kwanzaa hiyo ulitaka wandelee kuzimia na mpaka kufa kama wale waliotolewa kafala kule Morogoro..
 
CCM wote wamesharun out of mind..
sasahivi licha ya uongo mwingi hata ukiwaita usishangae kukuporomoshea matusi..
kila anapopita MHESHIMIWA RAIS MTARAJIWA ni full mahaba..
mgonjwa alikua KOMBANI..
Hahaha,hadi raha,mnavyongongwa misumari,mpaka mnatoa povu

Hivi idadi ya watu ktk huo mkutano wa tanga inamaana inazidi ile ya jangwani,mbona jangani hakuna watu hawakuzimia kama tanga,duuuuu kweli nyumbu wanajua kupagwa na kupangika.
 
Watu waliletwa usiku sio mchana,tumia akili yako, wilaya ya Tanga,ina watu gani wakufikiya wengi?Na watu hao wa Tanga iweje wawapo usiku wa kuamkia mkutano uwanjani,wakati mkutano utafanyika saa kumi?
Mkuu mbona unapata tabu sana, bado huamini mamvi kesha shinda?
 
maigizo ya edo watu wameshashtuka sasa hawataki tena kusikia upuuzi wake anazuga watu wamezimia ili aache kuhutubia mkutano tunajua kwamba afya yake mgogoro hana jipya hatumtaki

Walioanza kumkashifu afya mbaya, mara ooh ikulu hakuna makaburi, wameshasepa, hakuna wacheza uchi kwenye mikutano ya Lowassa na nyomi la kutosha linakuwepo, nyie waleteni wapaka poda na wacheza uchi wakimalizia na mgombea wenu kupiga push-up watu wanasepa coz kura kwa ukawa, Mabadilikooooooo..!!
 
Mkuu mbona unapata tabu sana, bado huamini mamvi kesha shinda?
Huwezishinda kwa kuleta watu kwenye mkutano,hata kipindi cha vyama vilivyokuwa maarufu kipindi kilichopita walijaza watu wakuletwa,lakini hawakushinda.
 
Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.

Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.

Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.

Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.

#KutokaTanga

huu udaku mpelekeee mamaaaako kenge wewe
 
mnafiki mkubwa wewe....kwa taarifa yako Lowasa ameshindikana ukweli huu hata wewe unaujua,Lowasa hana mpinzani Ikulu anakwenda 25 ndio utathibitisha ukweli huu...nyambafu
 
Watu waliletwa usiku sio mchana,tumia akili yako, wilaya ya Tanga,ina watu gani wakufikiya wengi?Na watu hao wa Tanga iweje wawapo usiku wa kuamkia mkutano uwanjani,wakati mkutano utafanyika saa kumi?

huuu upumbavu mwambie mamaaaako
 
Huyu ni mpuuz kweli na mwaka huu mtakiona lazima mtoe mapovu lowasa kawashika pabaya
 
Naona mwenzetu umegeuka kuwa choo sasa maana unafahamu kila m2 anachojisaidia. Pole sana, acha tumchague afie ikulu
 
Te teh teh teh..........mwenye macho haambiwi tazama, ulichoandika hapa umetumia nguvu nyingi kuliko akili, ika hali halisi kila mtu anaiona.....asante kwa upuuzi ulioweka ila safari inaendelea, hata asipohutubia sisi kwetu ni poa tu.
Jana kila mtu aliona, Lowasa alisimama kwa dakika takribani 10 akishindwa kuongea kutokana na makelele na vifijo kutoka kwa Raia wake, wewe leo unakuja na hadithi za LUMUMBA, nendeni mkajipange upya.
 
Yule mchungaji anayefufua misukule yuko na EL. Usanii mtupu. Eti wote waliozimia walipona,hakuna hata moja aliyepelekwa hospitali kwa uangalizi.
 
Join Date : 5th September 2015
Posts : 25
Rep Power : 309
Likes Received15
Likes Given0

Toa kelele za njaaa hapa umejiunga juzi kwenye kikosi cha makamba unaandika shudu humu. Lowasa aliongea na hali uwanjani ilikuwa mbaya weka video yako hapa kuonyesha ukweli coz sisi tumeangalia kwenye vyombo vya habari sasa wewe unakuja na imani zako za kichawi za ccm hapa. CCM go to hell
 
e mungu wakati huu nikiwa na hisia za uzima wa afya maana huwa hatuna utaratibu wa kufanya check up kutokana na gharama za hospital kuwa juu na maisha magumu ya kila mtanzania kutokana na laana ya kuichagua ccm 2010 unifunge kinywa changu na vidole vyangu kuandika dhihaka ya aina yoyote juu ya m2 yeyote mwenye matatizo au madhaifu ya kiafya maana nimeona hata mabondia,mabaunsa,makomando na matajiri wenye madaktar bingwa wakifa ndani ya dk 1 tu. mungu hakuweka kifo kwenye ugonjwa tu.
 
Back
Top Bottom