Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.
Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.
Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.
Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.
#KutokaTanga
Sawa tumekuelewa ila kula kwa LOWASSA[/QU
Hujakosa hata kidogo "kula" kwa Lowassa, lakini mimi nasema "kura" kwa MAGUFULI
Ukawa ni mabingwa wa maigizo...watanzania #wamestuka
Nasema upuuzwe tu kama wapuuzi wengine.
Usilete ulofa wa walioua mitaala mizuri ya elimu na kutuletea kanjanja hapa.
Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.
Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.
Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.
Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.
#KutokaTanga
Kura kwa lowasa..
Hivi kuna nini huku dodoma mbona mmeanza kuleta watu kwa malori..kwa hiyo watalala viwanja vya barafu na baridi yote hii
Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.
Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.
Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.
Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.
#KutokaTanga
Uwaja wa Tangamano ni uwaja wa wazi,hauna ukuta wala milango,na unatumika kwa shughuli nyingi za mikutano ya kidini,siasa,sherehe mvalimbali,na pia ndio soko kuu la bdhaa mbalimbali,siku za sikukuu za Eid,kunakuwa na watu wengi kutoka wilaya zote za Tanga kuja kununua mahitaji yao,na hakujatokea watu kuzimia,labda awe huyo mtu ni
Mgonjwa au ana njaa ya mda mrefu kwa kuishiwa na maji au nguvu mwilini.