Kilichojiri Tanga hiki hapa

Kilichojiri Tanga hiki hapa

Hivi kama ww Baraka CCM wamekupa manufaa gan kwanza mm siipendi kwa sababu mmetutia katika umasikin mkubwa saana kaz yenu kubwa kuomba misaada NA mikopo nje ya nchi wakati Tz nzm imebarikiwa kuna kila aina ya madini ila ninyi CCM Tanzanite mmewachia kenya ndy inajulkana kama ya kwenu wazungu wanachukua lasimali za nchi wanawaletea condom NA net nyie mnafurahia.

Unasema Lowassa ni fisadi naomba niambie baada ya lowassa kujiuzuru je hakuna majambazi NA walio laaniwa kwenu niambie walioiba pesa za ESCROW ni UKAWA.?

SO TUMECHOKA TUNATAKA MABADILIKO NYIE HAMTAWEZA KUTULETEA MABADILIKO COZ NYIE MNASHUSHA UCHUMI WA NCHI

MABADILIKO..... LOWASSSA........
 
Shida siyo ugonjwa shida moyo wa mafsdi wa ccm me naamn mwaka huu mtapata kura kwa wamama na wazee ambao wanapenda wizi wenu wa ccm
 
Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.



Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.


Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.

Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.



#KutokaTanga
Ameshaitwa marehemu wakati tunamwona yupo hai. Sasa hata mseme nini tunashindwa kuamini
 
Back
Top Bottom