Kilichojiri Tanga hiki hapa

Kilichojiri Tanga hiki hapa

Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.



Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.


Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.

Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.



#KutokaTanga

Kweli wewe kiazi,hata ikitokea Mungu akampenda zaidi na kuoichukua roho take(Mungu aepushie mbali na amkinge na mabaya yote)bado tutachagua jeneza lake ili likapumzishwe IKULU.Tumeamua kwa dhati kabisa,hats makomeo acheze rede,kombolela,mdako,kidali poo,ugobougobo na michezo yote awezayo kucheza achilia mbali zile pushups alizopiga Bukoba ambazo zilileta tahaluki jukwaani baada pumzi Kubwa kumtoka na kusababisha harufu Kali jukwaani,bado Umma wa Watanzania umekula kiapo kumpeleka Ikulu My.Lowsssa.Una jingine,unajitia upofu hata kwa Mambo ya dhahiri ambayo ULIMWENGU umeona jinsi umati wa watu ulivyolizidi jiji la Tanga hadi kukawa na upungufu wa hewa ya OKSIJENI mkoa mzima wa Tanga?Kweli wewe no zaidi ya Msukule.
 
Nyuzi za kiutumbo kama hii , this year mtaziandika sana! Still yet ukweli unabaki kua Mzee Mamvi sio kawaingizi finga bali ni mkono mzima ! Hadi kiwikoni .
 
Ukweli utawaweka huru, ni vile tu hawawezi kukiri defeat ndio maana unawaona wanazidi kujitutumua ili waonekane Wapo, Ila hali ni mbaya jamani, achana na hizi story za kwenye mitandao na kwenye magazeti ,Sisi tunaomuona mheshimiwa live tunaona kwa macho hali hairidhishi, tunatamani uchaguzi ufanyike hata leo tumalize

Sasa povu loote la nini kuandika kujaza page wkt unajua utamchagua umtakae.
 
Binafsi simuombei mabaya Edo maana uzima wa mtu Mungu ndie anaye amua, ila penye ukweli tuuseme ukweli ili tuwe hurur, kama edo ni mgonjwa kwanini uongozi wa ukawa usikiri hilo? kila siku wanakua wanawahaadaa wananchi na sababu zisizo na msingi wowote? hili linaonyesha kua nia yao wao ni kushika madaraka ila hawajali nani atatwawezesha kuyashika hayo madaraka, na hili ni hatari sana kwenye ustawi wa taifa letu
 
safi sana kamanda kwa kujielewa endelea "KULA' kwa LOWASSA lakini "KURA" zote ni kwa MAGUFULI. safi sana mkuu nimekuelewa vyema, keep it up nadhani vijana wenzio wa ukawa watafata mfano wako.


Sawa tumekuelewa ila kula kwa LOWASSA
 
Wenzako WALI WANENEA MABAYA WENZAO! LEO HII HATUNAO TENA! ANGALIA NA WEWE, KAMA UNABISHA SEMA NABISHA UONE KAZI YA MUNGU
 
Mwenzako Celina Kombani kafukiwa jana kwa upumbavu kama huu wa kwako. I know its wrong but I cannot help myself being happy magamba yakifa, naichukia ccm na wanaccm mpaka najistukia.

Mungu anasema mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe, samehe saba mara sabini. Wewe mungu wako anasemaje?
 
Moringe Sokoine1

Nakutahadharisha,usitumie majina ya watu ili uweze kutumika kama toilet paper nyumbu mweusi wewe!

Shika adabu yako mkononi!

Namshangaa anatumia jina la Shujaa wetu kuja kuandika usimbilisi wake humu. Kafe mbele kura yangu kwa Lowasa .kima wewe
 
Last edited by a moderator:
Mwenzako Celina Kombani kafukiwa jana kwa upumbavu kama huu wa kwako. I know its wrong but I cannot help myself being happy magamba yakifa, naichukia ccm na wanaccm mpaka najistukia.

Kweli lazima ujistukie maana mahaba yako kwa nchi hii yamezidi kiwango.
 
Lowasa ndio rais wa JMT na hilo hata viongozi wako wakuu wanalijua, muulize magufuri juzi mbeya alikuwa anahutubia mkutano wa ccm kln anasema chadema hoyeee

Aisee alionja joto ya jiwe Mbeya hawana mchezo wa kitoto. Lkn aliaibikaa ila alijikaza kisabuni.
 
naichukia ccm mpaka nahisi kuugua!!!
Hata mseme nini,tumeamua ni mwendo wa mabadiliko tuuuuuuu!!!
Mmesababisha umasikini,ulofa na mengine mengi halafu mnataka tuwape kura????
Mppyuuuuuuuuuuuuuuw!!! Tunataka mabadiliko .period!!

Mfano yakipewa awamu nyingine utafanyaje? Maana ya mungu mengi na hana kamati. Huwezi jua ya kesho.
 
Nyuzi za kiutumbo kama hii , this year mtaziandika sana! Still yet ukweli unabaki kua Mzee Mamvi sio kawaingizi finga bali ni mkono mzima ! Hadi kiwikoni .

Hahahahahahahaaaa Aiseee umeua bendi dah
 
CCM wanafurahia mno mtz mwenzetu anapopatwa na maradhi. Yaani hadi mgombea wao anashangilia kwa kupiga push up. Hovyo kabisa.
 
Mwenzako Celina Kombani kafukiwa jana kwa upumbavu kama huu wa kwako. I know its wrong but I cannot help myself being happy magamba yakifa, naichukia ccm na wanaccm mpaka najistukia.

Unahitaji msaada!
Ukifikia binadamu unafurahi mwenzio anapokufa, lazima Utakuwa una shida!
 
asante kuujuza ukweli maana huu usanii wa fisadi lowasa sasa umezidi, ila sidhan kama manyumbu ya ukawa yataelewa? ila usichoke endelea kuyahabarisha ukweli yatajitambua tu

Roho zinawauma ccm hadi raha. Lowassa yy kimyaaa mungu mtangulie kwenye hili jukumu kubwa lililo mbele yake. CCM wazidi kutweta na ndimi zao nje kama mbwa waliotoka jangwani.
 
naichukia ccm mpaka nahisi kuugua!!!
Hata mseme nini,tumeamua ni mwendo wa mabadiliko tuuuuuuu!!!
Mmesababisha umasikini,ulofa na mengine mengi halafu mnataka tuwape kura????
Mppyuuuuuuuuuuuuuuw!!! Tunataka mabadiliko .period!!

Tushawajua nyie ni wasanii endeleeni kuwaongopea hao wasio fikiri sawasawa,hiii habari leo yakumuita lowasa shujaa ni vituko na inataka ujasiri.Ktk hili CDM wamepoteza uhali wakujifanya wanaichukia CCM
 
Nimeicopy sehemu 😄😄😄😄😄😄CCM ,CHEKI HIII👇🏼👇🏼👇🏼

🏼 [2:22PM, 9/29/2015] Yusuph Jamatini: Dodoma ccm inatafuta wa2 wakuzimia kesho kwenye mkutano wa magufuri viwanja vya barafu na wanawalipa.


[2:26PM, 9/29/2015]
Yusuph Jamatini: Wanaandikisha majina watakao zimia me menyewe nimeandika wanalipa
😄😄😄😄😄😄😄😄

Hahahahahahaaa jamatini ni noma.
 
Magamba endeleen kushangaa na pombe wenu na mibinuko kuwajambia watu majukwaani soon lowasa anaapishwa
 
Back
Top Bottom