Kilichojiri Tanga hiki hapa

Kilichojiri Tanga hiki hapa

Gwiji wa sanaa na mwanamaigizo mkubwa nchini bwana lowassa anazidi kuwekwa pabaya na aina ya sanaa anayoifanya kwa watanzania tumeshuhudia jana akiwa amejaza umati mkubwa wa watu na ambao kimsingi kumbe hawakuwa watanga
Tunazidi kujiuliza nini maana ya maigizo ambayo mpaka ananunua watu ili wazimie? na je kwanini afanye hayo wanatanga tunasema tukutane 25oct
 
PINGAMIZI LA MGOMBEA URAIS LAPELEKWA KISUTU!!!!!!!

Mawakili wakujitegemea wameshaandaa ushahidi wa kutosha juu ya Richmond ambao umeonyesha dhahiri mhusika mkuu ni Edward Lowasa Mawakili hao wanatarajia kufungua kesi hyo wiki ijayo katika mahakama ya Kisutu. Vilevile sambamba na kesi hiyo wamekusudia kumuwekea pingamizi mgombea huyo wa Ukawa aenguliwe kwenye kugombea urais kwakua atakua amepoteza sifa kutokana na kesi hiyo.
LETS KEEP OUR EYES AND EARS OPEN
 
Siku ya pili issue ya Tanga bado inawatesa.... Safi sana mnazidi kutupa milage.... Lowassa jina linazidi kupaa na halitoki mdomoni mwa watu
 
Gwiji wa sanaa na mwanamaigizo mkubwa nchini bwana lowassa anazidi kuwekwa pabaya na aina ya sanaa anayoifanya kwa watanzania tumeshuhudia jana akiwa amejaza umati mkubwa wa watu na ambao kimsingi kumbe hawakuwa watanga
Tunazidi kujiuliza nini maana ya maigizo ambayo mpaka ananunua watu ili wazimie? na je kwanini afanye hayo wanatanga tunasema tukutane 25oct

kesho na sisi dodoma tutalipa tutazima mpaka........................
 
Gwiji wa sanaa na mwanamaigizo mkubwa nchini bwana lowassa anazidi kuwekwa pabaya na aina ya sanaa anayoifanya kwa watanzania tumeshuhudia jana akiwa amejaza umati mkubwa wa watu na ambao kimsingi kumbe hawakuwa watanga
Tunazidi kujiuliza nini maana ya maigizo ambayo mpaka ananunua watu ili wazimie? na je kwanini afanye hayo wanatanga tunasema tukutane 25oct

Mzee muigizaji hadi unamhulumia.
 
Usanii mtupu. Yule askofu wa misukule atampoteza Lowasa. Someni taarifa ya Red Cross kwa yaliyotokea jana Tanga. Eti watu >50 wazimie,na wote walikwenda nyumbani wazima wa afya. Hatudanganyiki :blabla:
 
pingamizi la mgombea urais lapelekwa kisutu!!!!!!!

Mawakili wakujitegemea wameshaandaa ushahidi wa kutosha juu ya richmond ambao umeonyesha dhahiri mhusika mkuu ni edward lowasa mawakili hao wanatarajia kufungua kesi hyo wiki ijayo katika mahakama ya kisutu. Vilevile sambamba na kesi hiyo wamekusudia kumuwekea pingamizi mgombea huyo wa ukawa aenguliwe kwenye kugombea urais kwakua atakua amepoteza sifa kutokana na kesi hiyo.
Lets keep our eyes and ears open

nendeni.muone kama hamjasahau mlikozaliwa na ccm yenu kwa kosa hilo...hapatatawalika...ebu msituletee shida subirini kushindwa kisheria..comeon!
 
Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.

Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.

Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.

Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.

#KutokaTanga
f***k u, acha ungese
 
Mbona mwenye ule ugonjwa wa kuanguka mlimchagua, ije kuwa huyu mwenye utumbo unaofanya kazi vizuri?
 
Nyie miccm hata shetani
maana kwa uongo, unafiki, uwizi na kung'ang'ania madarala japo hampendwi mmzidi lucifer kwa maovu
 
Umesema kwenda choo mara kwa mara kwahyo lile la geita kumbe kweli
 
asante kuujuza ukweli maana huu usanii wa fisadi lowasa sasa umezidi, ila sidhan kama manyumbu ya ukawa yataelewa? ila usichoke endelea kuyahabarisha ukweli yatajitambua tu

Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.

Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.

Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.

Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.

#KutokaTanga
 
Usanii mtupu. Yule askofu wa misukule atampoteza Lowasa. Someni taarifa ya Red Cross kwa yaliyotokea jana Tanga. Eti watu >50 wazimie,na wote walikwenda nyumbani wazima wa afya. Hatudanganyiki :blabla:
Kwani mtu akizimia hana uwezo wa kurestore afya yake kwa muda mfupi.
 
Yaani ningekuwa najua Kiarabu ningekutusi kwa kiarabu maana Cyber crime wasingeniona..1

Shkuru Cyber crime.
 
Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.

Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.

Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.

Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.

#KutokaTanga

hili mbona walilitolea jibu watu wa Tanga jana.

wamekuambia umpe Lowasa mkeo uone kama ni mgonjwa kweli ama la..
 
Back
Top Bottom