Nina 300 tayari. Wanaolitema mate genge la walanguzi wa ukawa
ccm ndio inakufa hivyo jamani mkiiona hivi hivi.
Nina 300 tayari. Wanaolitema mate genge la walanguzi wa ukawa
labda alikuwa anataka kuwahi toilet!
Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.
Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.
Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.
Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.
#KutokaTanga
Te teh teh teh..........mwenye macho haambiwi tazama, ulichoandika hapa umetumia nguvu nyingi kuliko akili, ika hali halisi kila mtu anaiona.....asante kwa upuuzi ulioweka ila safari inaendelea, hata asipohutubia sisi kwetu ni poa tu.
Jana kila mtu aliona, Lowasa alisimama kwa dakika takribani 10 akishindwa kuongea kutokana na makelele na vifijo kutoka kwa Raia wake, wewe leo unakuja na hadithi za LUMUMBA, nendeni mkajipange upya.
walioanza kumkashifu afya mbaya, mara ooh ikulu hakuna makaburi, wameshasepa, hakuna wacheza uchi kwenye mikutano ya lowassa na nyomi la kutosha linakuwepo, nyie waleteni wapaka poda na wacheza uchi wakimalizia na mgombea wenu kupiga push-up watu wanasepa coz kura kwa ukawa, mabadilikooooooo..!!
Mkuu unaeleza uongo tu El amekuja korogwe leo hakuns basi wala roli liliongia vijijini kwenda kuleta wananchi hakuna ugawaji wa nguo wala nini ila umati uliofurika kwa mji wangu haijawahi tokea magufuli yeye katuma mabasi vijijini yalete raia..Lowasa kiukweli anakubalika ..Magufuli ni mzuri zaidi ila watu wamechoka ni siasa za ccm that y they need changes... El afya si poa sana hilo liko wazi
Ukawa ni mabingwa wa maigizo...watanzania #wamestuka
mgombea wa ukawa aliingia tanga mjini kutokea lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya geita na tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.
Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka arusha, kilimanjaro na wilaya zote za tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.
Red cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za simba na yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya amorphine anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.
Tafakari mtanzania usidanganyike. Tumuombee afya njema ila ikulu hapana.
#kutokatanga
Watu mngejua jinsi hii santuri ya ''afya mbovu'' ilivyochuja huku site, wala hata msingehangaika nayo. Washaurini watu wamkatae Lowassa kwa jambo jingine na si hili la afya.
Umemaliza?
Tunamchagua huyo asiye na maneno mengi maana wenye maneno mengi kama chiriku ccm ndiyo waliotufikisha hapa.
Mwenye afya duni anajua kuumwa na hivyo ataboresha huduma za afya ambazo zimekuwa kero namba moja chini ya ccm.
Liwalo na Liwe, kura za Watanzania ni kwa UKaWA!.
Unalingine???????
Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.
Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.
Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.
Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.
#KutokaTanga
Mgombea wa UKAWA aliingia Tanga mjini kutokea Lushoto ambapo alihutubia kwa dakika zisizozidi tano na kushuka chini ya jukwaa kutokana na muendelezo wa kudorora kwa afya yake. Baada ya mkutano kuisha viongozi wa msafara walikubaliana kwamba kutokana na hali ya afya ya Lowassa kulikuwa hakuna namna anaweza kuendelea na mkutano Tanga. Hii ni mara ya tatu kadhia hii inawakumba, mikutano ya Geita na Tunduru ilihairishwa kutokana na hali kuwa mbaya, haswa matumizi ya mara kwa mara ya choo anayofanya.
Kutokana na gharama kubwa zilizotumika kusafirisha watu kutoka Arusha, Kilimanjaro na wilaya zote za Tanga hivyo iliwalazimu kutunga uongo ili kuficha madhaifu ya mgombea wao.Hata hivyo wananchi waliowengi walipohojiwa walisema Mgombea waliyeletwa kumsikiliza anaoneka amedhoofika na sauti yake haisikiki vizuri licha ya muda mdogo sana aliohutubia.
Red Cross walikuwepo na hawakuelemewa na shughuli hiyo, kulikuwa hakuna mkanganyiko wowote, watu wanaodaiwa kuzimia wote walipata huduma ya kwanza kama inavyotokea kwenye matukio makubwa kama mechi za Simba na Yanga. Huu ni muendelezo wa sinema, ambazo tumeshazizoea kuanzia wachungaji wa kukodi mpaka wazimiaji feki. Ukweli halisi ni sindano ya AMORPHINE anayotumia mgombea wao kumpa nguvu iliisha muda.
Tafakari Mtanzania usidanganyike. Tumuombee Afya Njema ila Ikulu hapana.
#KutokaTanga
Uwaja wa Tangamano ni uwaja wa wazi,hauna ukuta wala milango,na unatumika kwa shughuli nyingi za mikutano ya kidini,siasa,sherehe mvalimbali,na pia ndio soko kuu la bdhaa mbalimbali,siku za sikukuu za Eid,kunakuwa na watu wengi kutoka wilaya zote za Tanga kuja kununua mahitaji yao,na hakujatokea watu kuzimia,labda awe huyo mtu ni
Mgonjwa au ana njaa ya mda mrefu kwa kuishiwa na maji au nguvu mwilini.