KILICHOJIRI MAHAKAMANI LEO TAREHE 18.9.2026.

Maelezo marefu ila yamejaa ujinga

Kama hii kesi ingekuwa na mashiko Kingai angempanda jukwaani athibitishe uhaini wa Lisu

Kitendo Cha kukataa ni USHINDI Kwa Lisu maana adui wake amekimbia pambano

Acha mihemko; Lissu asingeweza kumwita shahidi ambae atamuumiza. DCI ni shahidi wa Utetezi, kwenye Committal ni Lissu ndie aliemuorodhesha. Unawezaje kumuorodhesha shahidi ambaye anakuja kukugandamiza!!

DCI sio shahidi wa mashitaka ni shahidi wa utetezi; angekuwa analolote la kumgandamiza Lissu; upande wa mashitaka ungemtumia. Lissu angemwita vipi shahidi adui awe upande wake?
 
Shahidi ameitwa mahakamani, ametii wito. Lakini hajaridhia kuwa shahidi.
Upande wa Utetezi umekubali kwa ridhaa (Consented) kutoendelea nae kwa kauli yake tuu. Na Lissu ameridhia hilo na umeitaarifu mahakama kuhusu ridhaa hiyo (Hilo ni kosa upande wa Lissu).

Maana yake upande wa utetezi umeridhia na umeitaarifu mahakama kwamba haina nia ya kuendelea na shahidi.

Utamaduni wa mahakama ni kwamba: Mahakamani, kama usipodai haki yako, mahakama inakaa kimya kuhusu haki hiyo. Kukaa kimya kwa mahakama juu ya hilo ni hasara kwa upande wa utetezi. Angeweza kuweka pingamizi na kuisukuma mahakama kuamua juu ya hilo. Hapa Lissu hajashauriwa vizuri, amepoteza haki yake muhimu sana ambayo ingeweza kuamuliwa na mahakama kama uamuzi mdogo.

Kama Lissu angeiambia Mahakama kwamba bado anahotaji ushahidi (wa DCI) wa shahidi ni muhimu kwake. Angeilazimisha mahakama iamue na ingeweza kutoa amri hata kama (DCI) hataki (not consent).

Maoni yangu; Binafsi nimeshangaa Lissu kukubali na kuridhia (DCI) kutokuw tayari na ushahidi wake. Angeweza kuiachia mahakama iamue juu ya hilo.

Hii kwa upande wa Lissu ni pigo maana anakosa sababu za rufaa (Kama akipatikana na hatia). Alitakiwa kuiachia mahakama itafsiri sheria na iamue juu ya DCI.

Kwa hali hii, itakuja kujitokeza shahidi muhimu akasema hataki kuwa shahidi na hakutakuwa na rejea za uamuzi wowote wa Mahakama.
Lissu angeiachia mahakama iamue juu ya hilo kuweka msingi mzuri kisheria huko mbele. Kilichotokea ni kumpa ushindi wa mezani DCI, bila ufafanuzi wa mahakama.
Labda Lissu kaambiwa hatari ya ushahidi wa hao watu. Huenda washakubaliana kuimaliza hiyo kesi
 
Mkuu kesi inakwenda kwenye submission. Hii kesi inakwenda kuamuliwa.
Kuhusu hatari: Hakuna hatari yeyote kwa DCI kuongozwa kutoa ushahidi upande wa utetezi. Kuna mashimo mengi kwenye hii kesi hasa kwa upande wa mashahidi mapolisi. Uwepo wa DCI ulikuwa ni kuonyesha errors hizo ili ku disqualify ushahidi na mashahidi wale mapolisi.
Hii ilikuwa ni muhimu upande wa utetezi.
 
Acha mihemko; Lissu asingeweza kumwita shahidi ambae atamuumiza. DCI ni shahidi wa Utetezi, kwenye Committal ni Lissu ndie aliemuorodhesha. Unawezaje kumuorodhesha shahidi ambaye anakuja kukugandamiza!!

DCI sio shahidi wa mashitaka ni shahidi wa utetezi; angekuwa analolote la kumgandamiza Lissu; upande wa mashitaka ungemtumia. Lissu angemwita vipi shahidi adui awe upande wake?
Ndo maana nikakuambia una uelewa mdogo au ujinga wa kiwango Cha juu

Kwanza kwenye ushahidi wa Lisu amemtaja kingai mara kadhaa kama mtu mwenye Nia ovu dhidi yake lakini still anakazana kumuita pamoja na wenzake

Ungekuwa na akili nzuri ungelewa Nia ya Lisu sio Kuja kutetewa na kingai Wala Cdf wa Rais makamu au waziri mkuu

Kuna una akili ilitakiwa uelelewa kwanza Nia ya Lisu kuwaita viongozi wakubwa wote wa nchi ukiachana na Kingai

Ujinga sio tusi Kwa hiyo acha jinga sasa
 
technical advantage ambayo ameipata Lisu ni ipi? please elimu kidogo
 
Shahidi ameitwa mahakamani, ametii wito. Lakini hajaridhia kuwa shahidi.
Upande wa Utetezi umekubali kwa ridhaa (Consented) kutoendelea nae kwa kauli yake tuu. Na Lissu ameridhia hilo na umeitaarifu mahakama kuhusu ridhaa hiyo (Hilo ni kosa upande wa Lissu).

Maana yake upande wa utetezi umeridhia na umeitaarifu mahakama kwamba haina nia ya kuendelea na shahidi.

Utamaduni wa mahakama ni kwamba: Mahakamani, kama usipodai haki yako, mahakama inakaa kimya kuhusu haki hiyo. Kukaa kimya kwa mahakama juu ya hilo ni hasara kwa upande wa utetezi. Angeweza kuweka pingamizi na kuisukuma mahakama kuamua juu ya hilo. Hapa Lissu hajashauriwa vizuri, amepoteza haki yake muhimu sana ambayo ingeweza kuamuliwa na mahakama kama uamuzi mdogo.

Kama Lissu angeiambia Mahakama kwamba bado anahotaji ushahidi (wa DCI) wa shahidi ni muhimu kwake. Angeilazimisha mahakama iamue na ingeweza kutoa amri hata kama (DCI) hataki (not consent).

Maoni yangu; Binafsi nimeshangaa Lissu kukubali na kuridhia (DCI) kutokuw tayari na ushahidi wake. Angeweza kuiachia mahakama iamue juu ya hilo.

Hii kwa upande wa Lissu ni pigo maana anakosa sababu za rufaa (Kama akipatikana na hatia). Alitakiwa kuiachia mahakama itafsiri sheria na iamue juu ya DCI.

Kwa hali hii, itakuja kujitokeza shahidi muhimu akasema hataki kuwa shahidi na hakutakuwa na rejea za uamuzi wowote wa Mahakama.
Lissu angeiachia mahakama iamue juu ya hilo kuweka msingi mzuri kisheria huko mbele. Kilichotokea ni kumpa ushindi wa mezani DCI, bila ufafanuzi wa mahakama.
Heshima yako Mkuu, nadhani pia Lissu na jopo lake lote wameona vyema kusukuma hiyo kete. Yamkini wameshaona hii kesi ni maigizo kwahiyo hata kama angesema aendelee basi ni tayari Mahakama ingekuwa na majibu yake (rejea yeye kuwa na kesi ya kujibu).

So embu tutazame hadi mwisho nini kitaendelea but to be honest, Lissu anaweza akwa yupo karibu sana kutoka nje hata kwa huo msamaha wa Rais. Kumhukumu Lissu kukaa gerezani ni kosa jingine kubwa na zito linaloweza kuchochea hasira za wananchi kwa serikali.
 
Kesi imeisha hiyo...Lisu sio mjinga.na sheria anaijua
 
Ndo maana nikakuambia una uelewa mdogo au ujinga wa kiwango Cha juu

Kwanza kwenye ushahidi wa Lisu amemtaja kingai mara kadhaa kama mtu mwenye Nia ovu dhidi yake lakini still anakazana kumuita pamoja na wenzake

Ungekuwa na akili nzuri ungelewa Nia ya Lisu sio Kuja kutetewa na kingai Wala Cdf wa Rais makamu au waziri mkuu

Kuna una akili ilitakiwa uelelewa kwanza Nia ya Lisu kuwaita viongozi wakubwa wote wa nchi ukiachana na Kingai

Ujinga sio tusi Kwa hiyo acha jinga sasa

Ujinga sio tusi; lakini mjinga ni mtu kama wewe, ambaye hujui kwamba mtu mwenye nia ovu juu yako anaweza kuwa shahidi wako na akamuongoza kwa facts kupangua ushahidi wa ofisi yake. 😊

Lissu hawezi kuwa na akili ndogo kama ya kwako; amwite mtu ambae hana nia ya kuja kumtetea kwa kumdodosa facts kuhusu shauri lake. DCI angepanda hapo kizimbani hiyo kesi ilikuwa inaisha.
 
Mwenendo wote kesi ya Lissu leo

Ijumaa, Septemba 18, 2026

KARANI:* Anajiandaa kusoma kesi ya Criminal Session, Kesi Namba 19605 ya Mwaka 2025.

JAMHURI DHIDI YA TUNDU ANTIPAS LISSU

WAKILI AJUAYE ZEGELI:* Iwapendeze Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu, naitwa Ajuaye Zegeli, nikisaidiana na:

1. NASSORO KATUGA: Wakili wa Serikali Mkuu.

2. TAWABU ISSA: Wakili wa Serikali Mwandamizi.

3. JOB MREMA: Wakili wa Serikali Mkuu.

4. CUTHBERT MBILINYI: Wakili wa Serikali.

5. WINNIWA KASARA: Wakili wa Serikali.

Waheshimiwa Majaji, tunaiwakilisha Jamhuri katika shauri hili. Mshtakiwa Tundu Antipas Lissu yupo kizimbani.

Shauri linakuja kwa ajili ya utetezi. Tupo tayari kuendelea.

JAJI NDUNGURU: Mshtakiwa.

LISSU: Nipo tayari, Mheshimiwa.

JAJI NDUNGURU: Tunaimba benchi la kwanza na la pili liw…

LISSU: Ambaye nilikuwa nimempendekeza awe shahidi wangu wa leo, nimekutana naye Mahakamani, kwenye chumba hiki hiki.

Naweza kuthibitisha kwamba ameheshimu wito wa Mahakama, amekuja.

Na nimezungumza naye kuhusu suala la yeye kuwa shahidi wa upande wa utetezi. Nimezungumza naye kwa kiasi kirefu na kwa kutosha.

Baada ya kuzungumza naye na kumweleza maeneo ambayo ningependa ayatolee ushahidi, Kamishna wa Polisi Kingai akaniambia kwamba yeye hawezi na hayupo tayari kutoa ushahidi kwa upande wangu.

Kwa maneno yake mwenyewe, amesema yeye yupo upande wa wale wanaoomba na watakaoshangilia nikipatikana na hatia.

Kwa hiyo, amesema hayupo tayari kuja kutoa ushahidi kwa niaba yangu.

Na nimemwelewa, Waheshimiwa Majaji. Kama hayupo tayari, siwezi kumlazimisha atoe ushahidi ambao hataki kuutoa.

LISSU: Waheshimiwa Majaji, Kamishna wa Polisi Kingai ameniambia kitu kingine kuhusu mashahidi wengine wawili ambao nao Mahakama hii iliamuru wapelekewe wito.

Yaani, Jenerali Jacob Mkunda na Inspekta Jenerali wa Polisi Camilius Wambura.

Kuhusu hao, Kamishna wa Polisi Kingai amesema vilevile kwamba hata wao watakaporejea nchini na kupata wito wa Mahakama, msimamo wao utakuwa huohuo.

Kwamba na wao hawatakuwa tayari kutoa ushahidi wa upande wa utetezi.

Sababu ileile kwamba wapo upande wa wanaoomba na watakaoshangilia nikipatikana na hatia.

Katika mazingira hayo, Waheshimiwa Majaji, maana yake ni kwamba sina mashahidi zaidi.

Na kwa hiyo, naomba kufunga ushahidi wa upande wa utetezi.

Ni hayo tu, Waheshimiwa Majaji.

\(LISSU anakaa.\)

\(MAJAJI WANATETA.\)

JAJI NDUNGURU:
Nimesikia hoja ya Mshtakiwa. Kwa hiyo, shauri kwa upande wa utetezi limefungwa.

Upande wa mashtaka?

LISSU: Waheshimiwa Majaji, kwa vile kesi ya pande zote mbili imefungwa, tunaomba Mahakama ituangalie siku ya kuja kuwasilisha hoja za pande zote (final submission).

Waheshimiwa Majaji, sijawasiliana na upande wa mashtaka ili tukubaliane. Tunaweza kuleta hoja za mwisho.

Kwa hiyo, ninaweza kupendekeza kwa upande wangu, na wao wataona kama ipo sawa.

Waheshimiwa Majaji, naelewa kwamba session inaisha tarehe 25 Septemba, wiki inayo…

LISSU: Ni wiki moja tu ndiyo imebaki.

Nina kurasa zaidi ya 1,000 za final submission.

Kwa siku zilizobaki, ili Mahakama iweze kuamua, itabidi Mahakama ifanye kazi kubwa sana.

Kwa upande wangu, naweza kusema naweza kuwa tayari kufanya submission kuanzia siku ya Jumatano.

Inamaanisha ni siku tano from today.

Ni siku chache, lakini nikijifungia katika kachumba kangu kale, naweza kukamilisha.

Kwa hiyo, mapendekezo yangu tuje Jumatano, siku ya tarehe 25, tuweze kufanya final submission.

Itabidi tukatafakari kusubiri session nyingine.

KATUGA: Waheshimiwa Majaji, kwa upande wetu tunaungana naye.

KATUGA: Lakini hakusema kama ni oral au written.

LISSU: Ni oral submission ili wananchi waweze kusikia, kwa kuwa mimi nipo gerezani, sina hiyo luxury kama wao ya vitendea kazi.

KATUGA: Waheshimiwa Majaji, kwa hiyo tunakubaliana naye.

Tutajitahidi.

Kwa kuwa ni off record, Waheshimiwa Majaji, na sisi tulikuwa na hamu ya cross-examination, Waheshimiwa, ya mashahidi watatu wa Mshtakiwa.

[MAHAKAMA KICHEKO.]

JAJI NDUNGURU:
Kwa kuwa ni off record, hiyo hamu endelea nayo.

Maana hamu huwa inakuja na kuisha.

[MAHAKAMA KICHEKO.]

JAJI NDUNGURU:
Baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili za hitimisho na final submission, tunakubaliana kwamba mawasilisho hayo yatafanywa kwa mdomo siku ya Jumatano, tarehe 25 Septemba, saa 3:00 asubuhi.

[Majaji wananyanyuka na kuondoka.]
Ahsante Manyanza, Barikiwa!
 
Kesi imeisha hiyo...Lisu sio mjinga.na sheria anaijua

Kesi haiwezi kuisha kwa shahidi kukataa kupanda kizimbani kutoa ushahidi. DCI alikuwa muhimu sana kubanwa na upande wa utetezi. Kesi inaisha wakati inakwenda kwenye submission!!

Lissu alimwitaji kumhoji DCI kuliko mnavyofikiri kwenye kesi hii.
 
Kweli Lisu asijue yote hayo uliyoandika wewe hapo?
Anayajua na hujui nini kipo nyuma ya camera...
Tusubiri kitakachojiri
 
Heshima yako Mkuu, nadhani pia Lissu na jopo lake lote wameona vyema kusukuma hiyo kete. Yamkini wameshaona hii kesi ni maigizo kwahiyo hata kama angesema aendelee basi ni tayari Mahakama ingekuwa na majibu yake (rejea yeye kuwa na kesi ya kujibu).

So embu tutazame hadi mwisho nini kitaendelea but to be honest, Lissu anaweza akwa yupo karibu sana kutoka nje hata kwa huo msamaha wa Rais. Kumhukumu Lissu kukaa gerezani ni kosa jingine kubwa na zito linaloweza kuchochea hasira za wananchi kwa serikali.

Mkuu narudisha heshina yako. Hii kesi hawa watu wamekusudia kumkuta na hatia. Kusema Lissu yupo karibu kutoka gerezani ni tunajilosha upepo. Kesi inakwenda kwenye submission, ni siku moja baada ya hapo tunasubiri hukumu.

Mimi naona wazi kulikuwa na umuhimu mkubwa, DCI kupanda kizimbani atake au asitake. Ni muhimu.
 
Mkuu kesi inakwenda kwenye submission. Hii kesi inakwenda kuamuliwa.
Kuhusu hatari: Hakuna hatari yeyote kwa DCI kuongozwa kutoa ushahidi upande wa utetezi. Kuna mashimo mengi kwenye hii kesi hasa kwa upande wa mashahidi mapolisi. Uwepo wa DCI ulikuwa ni kuonyesha errors hizo ili ku disqualify ushahidi na mashahidi wale mapolisi.
Hii ilikuwa ni muhimu upande wa utetezi.
Kwa hiyo DCI aje kuipinga kazi yake?
 
Kwa nilivyoelewa mimi, hii kesi ni ya kisiasa na Lissu amejitolea kama kweli mihimili yote haitaki kutenda haki yeye yupo tayari anyongwe ndio maana kawaita wakuu wa nchi kuja kuidhinisha kunyongwa kwake kwa kukataa kutenda haki au kwa maana nyingine kurekebisha matobo ya kisiasa ikiwemo katiba

Hivyo basi kukataa kuja au kukingiwa kifua kwa wakuu wa nchi akiwemo raisi, makamu mstaafu na waziri mstaafu pamoja na kutokukubali kuwa upande wa Lissu kwa maana kumtetea Lissu kwa wakuu wa usalama ni ishara tosha kuwa watesi wake wapo tayari kufanya chochote ila migogoro ya kisiasa isitatuliwe kitu ambacho Lissu alihitaji kujiaminisha kwa vitendo

All in all, ngoja tusubiri submission na uamuzi wa mahakama tusihukumu kabla ya hukumu
 
Back
Top Bottom