KILICHOJIRI MAHAKAMANI LEO TAREHE 18.9.2026.

Mkuu narudisha heshina yako. Hii kesi hawa watu wamekusudia kumkuta na hatia. Kusema Lissu yupo karibu kutoka gerezani ni tunajilosha upepo. Kesi inakwenda kwenye submission, ni siku moja baada ya hapo tunasubiri hukumu.

Mimi naona wazi kulikuwa na umuhimu mkubwa, DCI kupanda kizimbani atake au asitake. Ni muhimu.
Je unaweza ku predict submission yake itavyokuwa?
 
Shahidi ameitwa mahakamani, ametii wito. Lakini hajaridhia kuwa shahidi.
Upande wa Utetezi umekubali kwa ridhaa (Consented) kutoendelea nae kwa kauli yake tuu. Na Lissu ameridhia hilo na umeitaarifu mahakama kuhusu ridhaa hiyo (Hilo ni kosa upande wa Lissu).

Maana yake upande wa utetezi umeridhia na umeitaarifu mahakama kwamba haina nia ya kuendelea na shahidi.

Utamaduni wa mahakama ni kwamba: Mahakamani, kama usipodai haki yako, mahakama inakaa kimya kuhusu haki hiyo. Kukaa kimya kwa mahakama juu ya hilo ni hasara kwa upande wa utetezi. Angeweza kuweka pingamizi na kuisukuma mahakama kuamua juu ya hilo. Hapa Lissu hajashauriwa vizuri, amepoteza haki yake muhimu sana ambayo ingeweza kuamuliwa na mahakama kama uamuzi mdogo.

Kama Lissu angeiambia Mahakama kwamba bado anahotaji ushahidi (wa DCI) wa shahidi ni muhimu kwake. Angeilazimisha mahakama iamue na ingeweza kutoa amri hata kama (DCI) hataki (not consent).

Maoni yangu; Binafsi nimeshangaa Lissu kukubali na kuridhia (DCI) kutokuw tayari na ushahidi wake. Angeweza kuiachia mahakama iamue juu ya hilo.

Hii kwa upande wa Lissu ni pigo maana anakosa sababu za rufaa (Kama akipatikana na hatia). Alitakiwa kuiachia mahakama itafsiri sheria na iamue juu ya DCI.

Kwa hali hii, itakuja kujitokeza shahidi muhimu akasema hataki kuwa shahidi na hakutakuwa na rejea za uamuzi wowote wa Mahakama.
Lissu angeiachia mahakama iamue juu ya hilo kuweka msingi mzuri kisheria huko mbele. Kilichotokea ni kumpa ushindi wa mezani DCI, bila ufafanuzi wa mahakama.
Kwamba kwa akili yako Lissu anatakiwa approve innocence yake, kama hujui ni hivi kitendo Cha Lissu kuitaarifu Mahakama kuwa shahidi hawezi kutoa ushahidi haiwezi kufanya atiwe hatiani basing on the evidence adduced, why am I saying so because;
1. The duty to prove the case lies on the prosecution side.
2. The standard of proof in criminal proceedings is beyond reasonable doubt.
Therefore, those two evidential principles are the ones which the court will base on to arrive its decision, now the question that arises is '
whether the prosecution has proved the case beyond reasonable doubt'
To answer this question the court will dwell on the prosecution evidence and not defence evidence because it is not the duty of the accused to prove his innocence. Hapa naomba niandike kiswahili kidogo ili hata mburula wa ccm waelewe. Ni hivi Lissu angeweza hata kuongea pekeake na kufunga ushahidi kwasababu yeye hana jukumu la kuthibitisha kutokutenda kosa kwake, Kwa hio ushahidi wa Mashtaka wewe ulivyousikiliza unafikiri Lissu atatiwa hatiani? Jibu langu ni kwamba nooo kwasababu zifuatazo;
i. Hati ya Mashtaka inasema alitenda uhaini chini ya kifungu Cha 39(2)(d) kwa kuonyesha nia baada ya kuchapisha maneno kwenye mtandao wa jambo tv yanayosema atahamasisha uasi(Hapa kumbuka shahidi wa Serikali yule wa jambo pw 17 alisema yeye ndio alichapisha na sio Lissu), so Kwa hoja ya kuchapisha kwenye mtandao wa jambo tv ilikufa siku hiyo hiyo.
ii. Hoja nyingine Kwa ushahidi wa Mashtaka ni kwamba mashahidi wote ukimtoa yule wa 17 ni kwamba wao waliona video kwenye mtandao wa jambo tv yenyewe zaidi ya masaa mawili inayoongelea uasi( Hapa kumbuka hiyo video haipo Mahakamani wala report ya uchunguzi juu ya video hiyo) Kwa maana hiyo ushahidi wote wa mashahidi 16 wa jamhuri unaozungumzia uwepo wa video ni useless maana video ilikataliwa na haipo.
iii. Hoja nyingine ambayo Mahakama itajikita kutafsiri ni neno uasi, kumbuka upande wa Mashtaka wao neno hilo Kwa mujibu wa kamusi ya BAKITA ambayo walikuwa wanaitumia mahakamani walichukua maana ya kwanza inayosema uasi ni kupindua Serikali lakini Lissu Kwenye ushahidi wake alisema kuwa uasi aliomaanisha ni kupinga mifumo ya utawala kandamizi ambayo ni maana ya pili kwenye hiyo hiyo kamusi ya BAKITA ya jamhuri ( Hapa kitu unachopaswa kuelewa ni kwamba mwenye kujua maana ya maneno ni mtamkaji mwenyewe ambaye ni Lissu na sio jamhuri). Pia kitu kingine Cha kuelewa hapa ni muktadha ikiwa na maana kuwa ili kuelewa alichokua anaongelea Lissu unapaswa kuchukua maneno yote aliyozungumza kwenye mkutano na sio kuchukua vipande robo robo ndio maana ukitaka kujua kuwa Lissu ni smart alikuwa anawauliza mashahidi wake muda aliozungumza na wao wanajibu ni zaidi ya masaa mawili halafu anawasomea hati ya Mashtaka na kuwauliza muda aliotumia kusoma na wao wanasema haizidi hata dakika. Hayo ni Kwa uchache nikipata muda nitakuja tena kutoa ufafanuzi lengo ni kuwatoa matongongo waliokimbia umande kama wafuasi wenye vichwa hewa wa ccm ambao wakati sisi tunaenda shule tukipita kwenye Barbara za minyaa wao wamebaki Kwenye mashuka mbaya zaidi hata walipokua watu wazima wamekimbilia kufugwa kwenye makorido ya Lumumba na kuanzisha nyuzi kila siku Kwa buku saba humu jf.
Nawasilisha.
 
Kumbuka kulikuwa na hatari ya hii kesi kuahirishwa hadi February 2027 iwapo Lissu angeshindwa kumaliza utetezi wake ndani ya siku 14 alizopewa.

Unadhani Lissu alikuwa yupo tayari kuendelea kukaa gerezani ili tu kukuridhisha wewe na matamanio yako ya kuweka kumbukumbu za rejea?

Hata muda wa kumfanyia dodoso Kingai tu usingetosha kwa siku zilizobaki, sembuse hao IGP na CDF, na kama kutakuwa na uhitaji wa miongozo na maamuzi madogo ya mahakama ndiyo kabisaaa, asingetoboa.

Yote hayo atayatolea ufafanuzi katika final submission yake ambayo kwa maksudi kabisa ameamua iwe ya mdomo ili wote tuisikie.
 
Shahidi ameitwa mahakamani, ametii wito. Lakini hajaridhia kuwa shahidi.
Upande wa Utetezi umekubali kwa ridhaa (Consented) kutoendelea nae kwa kauli yake tuu. Na Lissu ameridhia hilo na umeitaarifu mahakama kuhusu ridhaa hiyo (Hilo ni kosa upande wa Lissu).

Maana yake upande wa utetezi umeridhia na umeitaarifu mahakama kwamba haina nia ya kuendelea na shahidi.

Utamaduni wa mahakama ni kwamba: Mahakamani, kama usipodai haki yako, mahakama inakaa kimya kuhusu haki hiyo. Kukaa kimya kwa mahakama juu ya hilo ni hasara kwa upande wa utetezi. Angeweza kuweka pingamizi na kuisukuma mahakama kuamua juu ya hilo. Hapa Lissu hajashauriwa vizuri, amepoteza haki yake muhimu sana ambayo ingeweza kuamuliwa na mahakama kama uamuzi mdogo.

Kama Lissu angeiambia Mahakama kwamba bado anahotaji ushahidi (wa DCI) wa shahidi ni muhimu kwake. Angeilazimisha mahakama iamue na ingeweza kutoa amri hata kama (DCI) hataki (not consent).

Maoni yangu; Binafsi nimeshangaa Lissu kukubali na kuridhia (DCI) kutokuw tayari na ushahidi wake. Angeweza kuiachia mahakama iamue juu ya hilo.

Hii kwa upande wa Lissu ni pigo maana anakosa sababu za rufaa (Kama akipatikana na hatia). Alitakiwa kuiachia mahakama itafsiri sheria na iamue juu ya DCI.

Kwa hali hii, itakuja kujitokeza shahidi muhimu akasema hataki kuwa shahidi na hakutakuwa na rejea za uamuzi wowote wa Mahakama.
Lissu angeiachia mahakama iamue juu ya hilo kuweka msingi mzuri kisheria huko mbele. Kilichotokea ni kumpa ushindi wa mezani DCI, bila ufafanuzi wa mahakama.
Pamoja na maelezo yako mazuri,lakini unafikiri kweli Lissu hakuliona hilo

Huenda kuna namna nyingine ya kumaliza kesi,muda utaongea
 
Shahidi ameitwa mahakamani, ametii wito. Lakini hajaridhia kuwa shahidi.
Upande wa Utetezi umekubali kwa ridhaa (Consented) kutoendelea nae kwa kauli yake tuu. Na Lissu ameridhia hilo na umeitaarifu mahakama kuhusu ridhaa hiyo (Hilo ni kosa upande wa Lissu).

Maana yake upande wa utetezi umeridhia na umeitaarifu mahakama kwamba haina nia ya kuendelea na shahidi.

Utamaduni wa mahakama ni kwamba: Mahakamani, kama usipodai haki yako, mahakama inakaa kimya kuhusu haki hiyo. Kukaa kimya kwa mahakama juu ya hilo ni hasara kwa upande wa utetezi. Angeweza kuweka pingamizi na kuisukuma mahakama kuamua juu ya hilo. Hapa Lissu hajashauriwa vizuri, amepoteza haki yake muhimu sana ambayo ingeweza kuamuliwa na mahakama kama uamuzi mdogo.

Kama Lissu angeiambia Mahakama kwamba bado anahotaji ushahidi (wa DCI) wa shahidi ni muhimu kwake. Angeilazimisha mahakama iamue na ingeweza kutoa amri hata kama (DCI) hataki (not consent).

Maoni yangu; Binafsi nimeshangaa Lissu kukubali na kuridhia (DCI) kutokuw tayari na ushahidi wake. Angeweza kuiachia mahakama iamue juu ya hilo.

Hii kwa upande wa Lissu ni pigo maana anakosa sababu za rufaa (Kama akipatikana na hatia). Alitakiwa kuiachia mahakama itafsiri sheria na iamue juu ya DCI.

Kwa hali hii, itakuja kujitokeza shahidi muhimu akasema hataki kuwa shahidi na hakutakuwa na rejea za uamuzi wowote wa Mahakama.
Lissu angeiachia mahakama iamue juu ya hilo kuweka msingi mzuri kisheria huko mbele. Kilichotokea ni kumpa ushindi wa mezani DCI, bila ufafanuzi wa mahakama.
Kumbuka kulikuwa na hatari ya hii kesi kuahirishwa hadi February 2027 iwapo Lissu angeshindwa kumaliza utetezi wake ndani ya siku 14 alizopewa.

Unadhani Lissu alikuwa yupo tayari kuendelea kukaa gerezani ili tu kukuridhisha wewe na matamanio yako ya kuweka kumbukumbu za rejea?

Hata muda wa kumfanyia dodoso Kingai tu usingetosha kwa siku zilizobaki, sembuse hao IGP na CDF, na kama kutakuwa na uhitaji wa miongozo na maamuzi madogo ya mahakama ndiyo kabisaaa, asingetoboa.

Yote hayo atayatolea ufafanuzi katika final submission yake ambayo kwa maksudi kabisa ameamua iwe ya mdomo ili wote tuisikie.
 
Kwamba kwa akili yako Lissu anatakiwa approve innocence yake, kama hujui ni hivi kitendo Cha Lissu kuitaarifu Mahakama kuwa shahidi hawezi kutoa ushahidi haiwezi kufanya atiwe hatiani basing on the evidence adduced, why am I saying so because;
1. The duty to prove the case lies on the prosecution side.
2. The standard of proof in criminal proceedings is beyond reasonable doubt.
Therefore, those two evidential principles are the ones which the court will base on to arrive its decision, now the question that arises is '
whether the prosecution has proved the case beyond reasonable doubt'
To answer this question the court will dwell on the prosecution evidence and no defence evidence because it is not the duty of the accused to prove his innocence. Hapa naomba niandike kiswahili kidogo ili hata mburula wa ccm waeleweshe ni hivi Lissu angeweza hata kuongea pekeake na kufunga ushahidi kwasababu yeye hana Hukumu la kuthibitisha kutokutenda kosa kwake, Kwa hio ushahidi wa Mashtaka wewe Kwa ulivyousikiliza unafikiri Lissu atatiwa hatiani? Jibu langu ni kwamba nooo kwasababu zifuatazo;
i. Hati ya Mashtaka inasema ilitenda uhaini chini ya kifungu Cha 39(2)(d) kwa kuonyesha nia baada ya kuchapisha maneno kwenye mtandao wa jambo tv yanayosema atahamasisha uasi(Hapa kumbuka shahidi wa Serikali yule wa jambo pw 17 alisema yeye ndio alichapisha na sio Lissu), so Kwa hoja ya kuchapisha kwenye mtandao wa jambo tv ilikufa siku hiyo hiyo.
ii. Hoja nyingine Kwa ushahidi wa Mashtaka ni kwamba mashahidi wote ukimtoa yule wa 17 ni kwamba wao waliona video kwenye mtandao wa jambo tv yenyewe zaidi ya masaa mawili inayoongelea uasi( Hapa kumbuka hiyo video haipo Mahakamani wala report ya uchunguzi juu ya video hiyo) Kwa maana hiyo ushahidi wote wa mashahidi 16 wa jamhuri unaozungumzia uwepo wa video ni useless maana video ilikataliwa na haipo.
iii. Hoja nyingine ambayo Mahakama itajikita kutafsiri ni neno uasi, kumbuka upande wa Mashtaka wao neno hilo Kwa mujibu wa kamusi ya BAKITA ambayo walikuwa wanaitumia mahakamani walichukua maana ya kwanza inayosema uasi ni kupindua Serikali lakini Lissu Kwenye ushahidi wake alisema kuwa uasi aliomaanisha ni kupinga mifumo ya utawala kandamizi ambayo ni maana ya pili kwenye hiyo hiyo kamusi ya BAKITA ya jamhuri ( Hapa kitu unachopaswa kuelewa ni kwamba mwenye kujua maana ya maneno ni mtamkaji mwenyewe ambaye ni Lissu na sio jamhuri). Pia kitu kingine Cha kuelewa hapa ni muktadha ikiwa na maana kuwa ili kuelewa alichokua anaongelea Lissu unapaswa kuchukua maneno yote aliyozungumza kwenye mkutano na sio kuchukua vipande robo robo ndio maana ukitaka kujua kuwa Lissu ni smart alikuwa anawauliza mashahidi wake muda aliozungumza na wao wanajibu ni zaidi ya masaa mawili halafu anawasomea hati ya Mashtaka na kuwauliza muda aliotumia kusoma na wao wanasema haizidi hata dakika. Hayo ni Kwa uchache nikipata muda nitakuja tena kutoa ufafanuzi lengo ni kuwatoa matongongo waliokimbia umande kama wafuasi wenye vichwa hewa wa ccm ambao wakati sisi tunaenda shule tukipita kwenye Barbara za minyaa wao wamebaki Kwenye mashuka mbaya zaidi hata walipokua watu wazima wamekimbilia kufugwa kwenye makorido ya Lumumba na kuanzisha nyuzi kila siku Kwa buku saba humu jf.
Nawasilisha.

Shahidi upande wa utetezi, sio lazima aje ku "prove innocence".
Inategemea na upande wa utetezi umelenga kufanya nini na shahidi. Shahidi kama DCI, anakuja kuongozwa kwa facts, upande wa utetezi kuibua udhaifu na mkanganyiko wa kesi husika.
 
Kumbuka kulikuwa na hatari ya hii kesi kuahirishwa hadi February 2027 iwapo Lissu angeshindwa kumaliza utetezi wake ndani ya siku 14 alizopewa.

Unadhani Lissu alikuwa yupo tayari kuendelea kukaa gerezani ili tu kukuridhisha wewe na matamanio yako ya kuweka kumbukumbu za rejea?

Hata muda wa kumfanyia dodoso Kingai tu usingetosha kwa siku zilizobaki, sembuse hao IGP na CDF, na kama kutakuwa na uhitaji wa miongozo na maamuzi madogo ya mahakama ndiyo kabisaaa, asingetoboa.

Yote hayo atayatolea ufafanuzi katika final submission yake ambayo kwa maksudi kabisa ameamua iwe ya mdomo ili wote tuisikie.

Mkuu, kumfanhia dododo DCI, kusingechukua siku tatu pamoja na re-examination ya upande wa mashitaka. Hizo sio siku nyingi kwa Lissu kama kuna vitu alipanga kuvipata kutoka kwa DCI.

Hoja yangu ni kwamba; kulikuwa na umuhimu mkubwa DCI kuhojiwa kwa faida ya Lissu, hasa kuibua udhaifu wa kesi hii.
 
Lissu hajawahi kuwa sababu ya kesi hii kucheleweshwa. Ninaposema muda waliopewa usingetosha namaanisha Mawakili wa Jamhuri ndiyo wangechelewesha. Tuchukulie ushahidi wa kina Heche na Golugwa kama rejea. Leo wameanza saa 8:30 mchana, kama kumalizana na Kingai tu ingekuwa Jumatano. Hapo bado IGP na CDF ambao wamedaiwa wapo nje ya nchi na haijulikani watarudi lini.

Hapo sijaongelea mapingamizi yoyote ambayo yangeweza kujitokeza wakati wa dodoso (ambayo wewe mwenyewe unaona yangejitokeza kuanzia leo tu) ambayo yangehitaji kesi isimame hadi Mahakama itoe uamuzi. Zile siku 14 zinaisha lini? Hao kina Katuga wakijua kabisa siku zinaisha haudhani wangeanza kuwauliza kina Kingai maswali ya kiwaki ili tu kupoteza muda kumkomoa Lissu ili alie Christmas nyingine gerezani?

Gerezani siyo Sheraton Hoteli.
 
Mimi sijataka kuaminika; hoja yangu ni kwamba, kukikuwa na umuhimu mkubwa kwa Lissu kumdodosa DCI. DCI ndiye mchunguzi wa hii kesi, ilitakiwa abanwe kwa facts ili kuibua udhaifu wa kesi. Kila kesi ina udhaifu wake. Wajibu wa mshitakiwa ni kuonyesha udhaifu wa kesi husika.

Subiri siku ya SUBMISSION ndiyo utajua kuwa Tundu Ant pass Lissu hawezekaniki kwenye masuala ya Sheria!!
Kushindana na Tundulissu ni kushindana na Mungu mwenyewe,Mungu amejidhihirisha kwake!

Najua kwa mifumo ilivyo kwa 80% watamkuta na hatia,watamfunga!AMINI NAKUAMBIA MUNGU HATOKUBALI HILI JAMBO LIPITE HIVIHIVI!

LISSU NI MFU ANAYETEMBEA.
 
Kuongozwa kutoa ushahidi upande wa utetezi sio kuipinga kazi yake; ni kuibua na ku prove facts.
Kitu msichojua ni kwamba; Mahakama ingeweza kutoa amri ya DCI kuongozwa na upande wa utetezi, atake au asitake.

Someni sheria ya ushahidi, mbona ipo wazi tuu. Ushahidi sio ridhaa, mahakama inaweza kukulazimisha kutoa ushahidi/kuongozwa kuutoa hata kama hutaki au humpendi mshitakiwa.
Mahakama ina nguvu hiyo, ikihitaji ushahidi wako na unakuwa chini ya kiapo.
Unachosema ni kweli. Lakini ni kuharibiana tu case. Hata witness akiwa hostile, halafu TS amfanyie cross examination ni Yale Yale tu. Shahidi yapaswa awe tayari kukutetea akikataa ni kupoteza muda.
 
Mkuu kesi inakwenda kwenye submission. Hii kesi inakwenda kuamuliwa.
Kuhusu hatari: Hakuna hatari yeyote kwa DCI kuongozwa kutoa ushahidi upande wa utetezi. Kuna mashimo mengi kwenye hii kesi hasa kwa upande wa mashahidi mapolisi. Uwepo wa DCI ulikuwa ni kuonyesha errors hizo ili ku disqualify ushahidi na mashahidi wale mapolisi.
Hii ilikuwa ni muhimu upande wa utetezi.
Kushindwa kumsimamisha kortini Kingai naona ni hasara zaidi kwa Mshtakiwa kuliko kwa Waliofungua kesi. Sijui kwanini imepita kirahisi hivi

Tangu mwanzo chance za DCI, IGP na CDF kukubali kutokea zilikuwa ndogo sana.

Perhaps Advocate msomi Lissu anajua anachokifanya.
 
Shahidi ameitwa mahakamani, ametii wito. Lakini hajaridhia kuwa shahidi.
Upande wa Utetezi umekubali kwa ridhaa (Consented) kutoendelea nae kwa kauli yake tuu. Na Lissu ameridhia hilo na umeitaarifu mahakama kuhusu ridhaa hiyo (Hilo ni kosa upande wa Lissu).

Maana yake upande wa utetezi umeridhia na umeitaarifu mahakama kwamba haina nia ya kuendelea na shahidi.

Utamaduni wa mahakama ni kwamba: Mahakamani, kama usipodai haki yako, mahakama inakaa kimya kuhusu haki hiyo. Kukaa kimya kwa mahakama juu ya hilo ni hasara kwa upande wa utetezi. Angeweza kuweka pingamizi na kuisukuma mahakama kuamua juu ya hilo. Hapa Lissu hajashauriwa vizuri, amepoteza haki yake muhimu sana ambayo ingeweza kuamuliwa na mahakama kama uamuzi mdogo.

Kama Lissu angeiambia Mahakama kwamba bado anahotaji ushahidi (wa DCI) wa shahidi ni muhimu kwake. Angeilazimisha mahakama iamue na ingeweza kutoa amri hata kama (DCI) hataki (not consent).

Maoni yangu; Binafsi nimeshangaa Lissu kukubali na kuridhia (DCI) kutokuw tayari na ushahidi wake. Angeweza kuiachia mahakama iamue juu ya hilo.

Hii kwa upande wa Lissu ni pigo maana anakosa sababu za rufaa (Kama akipatikana na hatia). Alitakiwa kuiachia mahakama itafsiri sheria na iamue juu ya DCI.

Kwa hali hii, itakuja kujitokeza shahidi muhimu akasema hataki kuwa shahidi na hakutakuwa na rejea za uamuzi wowote wa Mahakama.
Lissu angeiachia mahakama iamue juu ya hilo kuweka msingi mzuri kisheria huko mbele. Kilichotokea ni kumpa ushindi wa mezani DCI, bila ufafanuzi wa mahakama.
Unayo.hata certificate ya sheria wewe?
 
Na kwa sababu tayari wameshachagua upande wameogopa wasije wakapanda kisha wakajichanganya kwenye maelezo na kujikuta wanampa ushindi Lissu. Mtu ambae anajua ataongea ukweli hawezi kuogopa kuwa shahidi maana pale sio kwamba anaenda kumtetea mshitakiwa

Sahihi!
Alafu sio ushindi tuu kumpa Lisu.
Pia kudhalilishwa na kuvunjiwa Heshima.

Hakuna mtu mwenye Akili timamu, mwenye cheo cha juu atakubali kuhojiwa na Lisu alafu akiwa upande wa udhalimu.
Hata mimi nisingekubali. Bora nifukuzwe kazi
 
Lissu alivyo na "arrogance", ile ya kujua sheria lazima watoke nduki!
 
Back
Top Bottom