Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Dear haters fanyeni haya kuthibitisha uongo wangu kwenye hii post
-nendeni Nyamisati, simbaulanga kilwani na gezani
-nendeni kilindoni mafia niliandika jina langu hili ninalotumia hapa pale IBIZA
-Kauluzeni habari nilizoandika hapa huko kote nilikotaja
-nimezungumzia uchawi wa hivyo visiwa
-nimezungumzia magendo ya huko, kwanini msiende kuuliza?
-kuna Boat kubwa tatu moja ya fiber zinazofanya safari kati ya mafia na Nyamisati si mkaulize hizi habari
Mnashupaa hapa kulazimisha sukari iwe chumvi mtaweza kweli?
Naweka dau la nauli ya laki moja mmoja wenu aende
Hicho ni kiarabu,sio kiswahili fasaha.
Kwani wameliwa nini
Sisi shida yetu stori. Si lazima iwe kweli
Thanks for mentioning me kumbe na mimi nimo ingawa sivumi???? cc mshana jr.Mbona wapo wengi tu tena wenye staha na stara zao kabisa?
Mamndenyi
Evelin salt
miss chagga
Heaven Sent
niah
Nk nk list ni ndefu sana,wako bora Mara mia kuliko huyo mgumba mnuka naniliu
Ndio nakuambia neno darsa sio fasaha kwenye lugha ya kiswahili.Kiufupi halitambuliki kwenye lugha yetu hii pendwa.Mimi sina huo uarabu hata asilimia 0.0000000001Neno swahili lenyewe ni Kiarabu. Hilo neo "fasaha" hapo juu pia ni la Kiarabu.
Hata wewe una asilimia kadhaa za Uarabu.
The more you reply to such people the more you give them the guts to keep talking shite.Jamani wanabodi. Msameheni tu huyu ajuza Faiza Foxy
Kila thread anaweka sentensi hiyo hiyo inayosema 'mmesomea ujinga' I think she has probably gone to college and maybe she has read a lot but she is NOT educated. She knows many things but she is not wise. She is critical but cannot command respect. Msameheni bure tu. Akiandika lolote do not give her the privilege of replying
Yeye amejisifu kuwa ni msomi,amekosea grammar na wewe ukamkosoa huku ukimdharau kuwa msomi gani hajui kiingereza.sasa ndi nakueleza,leo kigezo cha usomi kimekuwa kiingereza???Umekamatika,usipindishe pindishe maneno.Au nikupe link ya "on behalf of myself" ukamshambulie Magufuli na kuhoji usomi wake????shameHapo tunawapa darsa msiojuwa Kingereza, hata Magu akiingia humu akakosea pia atapewa darsa - kumbuka hilo.
Elimu haina mwisho.
Sio ndumilakuwili tu bali mpuuzi parscee hayawani laanifu
mchango vipi lakini?Dada we are enjoying the ride
Naunga mkono hoja yako Bujibuji (yaani uziuzi au nyuzi nyuzi kikwetu). Yaani hii hadithi ingekuwa kwenye uzi mmoja ingependeza sana! Ingekuwa kama zile hadithi tulizokuwa tunahadithiwa na bibi zetu miaka ile ya '70-'80!!
Wewe mama usibishane na Mshana Jr,, kesho unaweza kujikuta umeamkia nyumbani kwake na mko wawili tu!!!Kwi kwi kwi teh teh teh
Hana alijualo huyo anavunga tu humu.
Wewe mama usibishane na Mshana Jr,, kesho unaweza kujikuta umeamkia nyumbani kwake na mko wawili tu!!!
Wewe kiumbe nilikushauri utafute kazi ya kujishughulisha kuliko kushinda mitandaoni na kisimu chako cha mchina kutwa unatema pumba tupu hakutakusaidia lolote,Hapana mdau haitakaa nimjibu yeye hata siku moja! WAPUUZI HAWAJIBIWI!mimi nimeandika kwa ujumla wake