myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
member anaeita wenzake wajinga. kila mtu kasomea ujinga!! ana tatizoTo be fair ni haki ya kila member kuchangia mada kwa kadri atakavyoona inamfaa.
Member usiyemkubali akichangia, hapo unabakiwa na options mbili, umjibu au umkalie kimya kama mshana jr anavyoshauri.
Asante: hajui lolote huyo misifa miiingii!Unajuwa=Unajua
Kuwacha-Kuacha
Kutowa-Kutoa
Usijifanye mjuaji wakati kumbe kichwani kumejaa kamasi badala ya ubongo.Kuchamba kwingi mwisho ni kutoka na mavi.
Hapo anakua kashakupa tiketi ya kumkalia kimya mkuu.member anaeita wenzake wajinga. kila mtu kasomea ujinga!! ana tatizo
Hizi njaa zako naona zinazidi kukupeleka pabaya sasa, unakaa unakiaminisha hiki kizazi kipya kinachotegemewa kuliendesha hili taifa siku za mbele mambo ya kufikirika na kishirikina bila kua na ithbati yeyote?Nimetamani kusimulia hiki kisa muda sasa lakini waungwana walikuwa hawajatoa ruhusa bado.
Nilipotea kwa vipindi viwili vyenye jumla ya siku 23, kati ya siku hizo ni siku chache sana nilikuwa nje ya Tanzania, nyingine zote nilikuwa hapa hapa ila kwenye dunia isiyoaminika na wengi, dunia ya ushirikina na uchawi katika uhalisia wake.
Nitangulie kuomba radhi sitaandika kila kitu bali yale ya muhimu tu nitakayoona ni muhimu kuandika.
Nilitoka Dar kwa dharura kuelekea sehemu ambako nitapata kile kinachonipeleka huko, safari yangu ikanipeleka mpaka Nyamisati, nikalala pale.
Siku ya pili asubuhi nikadamkia bandari bubu iitwayo gezani.... vituko vilianzia hapo.
Unajuwa=Unajua
Kuwacha-Kuacha
Kutowa-Kutoa
Usijifanye mjuaji wakati kumbe kichwani kumejaa kamasi badala ya ubongo.Kuchamba kwingi mwisho ni kutoka na mavi.
Hizi njaa zako naona zinazidi kukupeleka pabaya sasa, unakaa unakiaminisha hiki kizazi kipya kinachotegemewa kuliendesha hili taifa siku za mbele mambo ya kufikirika na kishirikina bila kua na ithbati yeyote?
Hivi ni nchi gani iliyoendelea kiuchumi kwa kufuata imani za kishirikina na kusadikika? Nini lengo lako la kuwaaminisha hasa vijana mambo ya kutunga? Nini lengo lako hasa?
Najua njaa ndio inayokusumbua na hakuna kingine,unawabrainwash vijana ili wakuone ni kama "mtaalam" fulani wa kichawi,ili wajenge tamaa kwamba wewe ndio kimbilio lao la kuwasaidia kufikia malengo yao!
Tena una kiteam chako humu ulichokitengeneza kwa lengo maalum la kukusapoti ili kuwahadaa na kuwavutia na wengine!
Wapo wanaojifanya wana promise ya kuonana na wewe au kujifanya eti wanakutumia msg private ili kuwahadaa wengine,
Mchezo unaoufanya ni sawa na wale wacheza karata 3 kekundu na keusi,kuna watu hua wanajifanya ni "wateja" wanakua wanakula pesa nyingi ili kuwahadaa na wengine watumbukiemo! Hiyo ndio kazi ya kigroup ulichokitengeneza ili kifuatane nawe kila thread kukusafishia njia ya kuwahadaa na wengine!
Acha hizo, unahadaa vijana ambao ni tegemeo kubwa kwa taifa na familia zao, tafuta shughuli ya kufanya kuliko kushinda JF mchana kutwa na usiku kucha ukiandika thread za kupotosha vijana kila baada ya dakika kadhaa!
Hizo hadithi unazoziandika zilikua zikisimuliwa zamani sana kupitia Radio tanzania RTD kipindi cha watoto cha MAMA NA MWANA.
Kubali makosa Bi kizee wewe!Sasa hawa wenzako wanaokosea unajuaje kama hawaandiki lugha "mama"kwao?We upo kimbele mbele kurekebisha wenzako ilhali wewe hukubali kurekebishwa!Kiswahili ni lugha mama kwangu - kumbuka hilo.
Hapo unaandika Kiswahili cha kufundishwa si halisia.
hao ni wachawi,sa wanaogopa siri zao kuwekwa wazi,Hawa vidudumtu wawili wamebaki kuwa kichekesho cha karne! Nimewapa changamoto ya kuthibitisha uongo wangu, nimeweka na dau tena naongeza laki nyingine...! Wamebaki kurukaruka kama bisi kikakaangonini aina fulani ya burudani yenye kutia kinyaa mtu anaposhindwa kuthibitisha madai yake na kubaki kupayuka payuka kushinda hata hayawani
hahahaha kazi ipo ngoja nifanye magumash nipate pesa ..............Tumechoka ujinga wako ndo maana tumeamua kukwambia, unamatatizo sana we mjane, tumekustili sana lakini bado ujielewi.
Unatafuta kiki kupitia post za mshana Jr, na imeanza kumuandama muda mrefu sana.
Kwa uwezo wa kiakili na uwezo wa kuchambua mambo mshana ni tembo wewe ni kunguni.
Hacha kumfuatafuata mshana Jr sio saizi yako wewe ni kilaza tu!
analo lingine ... punguanianzisha uzi wako uuite 'habari za kweli' toa mada zako huko. utapata wa kwako..
acha kuharibia watu siku, watu wanataka habari zenye burudani wapunguze misongo ya mawazo, wewe unaleta mawazo hapa. huna neno jingine mpaka uandike neno''ujinga''
Never yani unafananisha bajaj na Ferrari?Kachumbari bila pilipili hainogi.
mshana Jr na FaizaFoxy Γ±i "perfect combo"
Hongera ......ukifanya hivyo na hizi stori zako za abunuwasi utajizolea misukule kibao!Nitarejea Nyamisati nitaenda kote nilikoenda tena, na nitaleta habari zaidi, atskayesema ni uongo asiishie tu kutuhumu alete ukweli
ππππππππwewe jamaa na story zako kilozi! sikupendi