Kile kipindi ambacho nilipotea


Jamani na wewe uliyekabwa na jogoo bado hujaachiliwa tu? Njoo basi utumalizie stori, Mshana kakuachia nafasi...
 
Pole sana nina maisha bora kuliko wewe a hundred times, nina elimu kubwa kuliko wewe a thousand times
This is my very last reply to you

Ungekuwa na elimu hata ya kuunga unga tu ungeelewa tofauti ya "uptodate" na "update" pia ungeelewa tofauti ya ukweli na uongo.
 
Ha ha ha ha...
 
Nipe niende kwa niaba hiyo laki ntaleta mrejesho
 
= fun

Kwa sentensi hiyo hutumii neno "funny".

Halafu unajisifu eti msomi.

If such are the priests God bless the congregation.

About your challenges I give you credit

But one thing my dear old little angel faiza mshana has mis spelled in that case I don't think if is good idea to show that thing in public
 
Naam mkuu,mbona umekatisha,,,Binafsi nilishawahi kupotea wakanitafuta nikarudi baada ya maombi mazito na wao kufunga...nataka nilinganishe kama hii inafanana na hiyo.
Wewe ni Nzalendo yule yule uliyetembea Tanzania nzima ? Basi kwa maneno hayo hapo juu naanza kukuelewa kuna dots naunganisha hapa
 
Kaaaaz kweli kweli....njia ya muongo fupi!tukaulize habari za hilo jitu refu ambalo wewe tu ndo ulikua unaliona?
usitokwe na mapovu!wengine humu tunauzoefu Wa Maji bahari.....hizo habari si mpya kwetu!sema ukweli ulisimuliwa ukaamua utie chumvi.....kana kwamba ni jambo limekutokea wewe.......ohooo...nimepewa masharti nisiseme....mara mengine sitasema!acha fiksi!!!
 
Pole sana nina maisha bora kuliko wewe a hundred times, nina elimu kubwa kuliko wewe a thousand times
This is my very last reply to you
Huna lolote lile!fiksi tu!acha uongo wewe MTU mzima!kwa mbwembwe hizi utawapata wajinga wengi!mapovu ya nini?nilishakwambia....ungeanza hivi.....hadith × 2......tungeitikia HADITH NJOO UONGO NJOO UTAMU KOLEAAAA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…