Wapuuzi huwa hawajibiwi umefanya kosa kubwa kumjibu...mpumbavu huachwa na upumbavu wake! Hiyo ndio tiba
Mshana rudigi basi ...
Nshamalizia mbona? Au bado hamjafika huku?yaani leo umeniudhi umenilaza usiku saa tisa na bado mpaka sasa unanipigisha doro nasubiria stori stori na mimi,mambo gani haya halafu haujanipa jibu langu dawa ya kumtumbua mkali kwanza wa magogoni ntaipata
Nilitamani kuandika mengi kwa kina lakini naheshimu makubaliano
Hivi unatambua kuhusu existence ya ulimwengu wa giza? unaelewa kuhusu supernatural powers? hayo maruhani yako yanayo kufanya uropoke ovyo hapa bila staha yana tofauti gani na anachokielezea mshana jr?Hadithi za kuona watu wanatembea kwenye matope hawadidimii ni uongo tu.
Atawadanganya mliosomea ujinga shuleni.
Weka vitu umenikata stimuItaendelea muda mfupi ujao kuna mambo yameingiliana kidogo
Mbwa chakula chake hutupiwa chini tena makombo usipoteze muda wako mb na chajiHivi unatambua kuhusu existence ya ulimwengu wa giza? unaelewa kuhusu supernatural powers? hayo maruhani yako yanayo kufanya uropoke ovyo hapa bila staha yana tofauti gani na anachokielezea mshana jr?
Hivi unatambua kuhusu existence ya ulimwengu wa giza? unaelewa kuhusu supernatural powers? hayo maruhani yako yanayo kufanya uropoke ovyo hapa bila staha yana tofauti gani na anachokielezea mshana jr?
Ni kweli mkuu, huyu itakuwa ni menopause imemjia vibaya.Wapuuzi huwa hawajibiwi umefanya kosa kubwa kumjibu...mpumbavu huachwa na upumbavu wake! Hiyo ndio tiba
Na wewe huoni kama hizi kauli zako zinaashiria chuki dhidi yake?Muongo tu huyo hana lolote.
Kuna siku alikuja na picha humuhumu JF akidanganya kuwa kaipiga yeye hapo njia ya kwenda Ikulu, kumbe ile picha ipo kwenye mitandao kwa miaka kadhaa, nikamuumbuwa uongo wake kwa kuileta source nyingine kabisa ya ile picha, basi toka siku hiyo kajenga chuki kwangu.
Huu anaoleta humu ni uongo tu hajuwi lolote huyo.
Wajinga Ndiyo Waliwao.
Kuna jamaa anamsumbua mke wangu nisaidie nataka akojoe vidagaaNimetamani kusimulia hiki kisa muda sasa lakini waungwana walikuwa hawajatoa ruhusa bado.
Nilipotea kwa vipindi viwili vyenye jumla ya siku 23, kati ya siku hizo ni siku chache sana nilikuwa nje ya Tanzania, nyingine zote nilikuwa hapa hapa ila kwenye dunia isiyoaminika na wengi, dunia ya ushirikina na uchawi katika uhalisia wake.
Nitangulie kuomba radhi sitaandika kila kitu bali yale ya muhimu tu nitakayoona ni muhimu kuandika.
Nilitoka Dar kwa dharura kuelekea sehemu ambako nitapata kile kinachonipeleka huko, safari yangu ikanipeleka mpaka Nyamisati, nikalala pale.
Siku ya pili asubuhi nikadamkia bandari bubu iitwayo gezani.... vituko vilianzia hapo.
...hahahahahaha...nilipoona comment yake nikajua patanuka sasa hivi;kumbe umemkwepa!Wapuuzi huwa hawajibiwi umefanya kosa kubwa kumjibu...mpumbavu huachwa na upumbavu wake! Hiyo ndio tiba