G
guest-1790917349
Guest
Wewe mpuuzi una hela toka lini?una kula kwenu una lala nje kwatumbo unakuja kujamba jamba huku JF
Hahahaa haaaa uwiii Yaani nimecheka
Mkuu unamfaham nn!
Wewe mpuuzi una hela toka lini?una kula kwenu una lala nje kwatumbo unakuja kujamba jamba huku JF
Utakua unanuka mdomo na kimbuzimbuzi pia au inawezekana hata hujichambi
Punguza idadi ya magoli
oa..:A S wink:
Hahahaa haaaa uwiii Yaani nimecheka
Mkuu unamfaham nn!
Mmmhhh
Aiseeeee usiombe ukutane na mwanaume anaenuka mdomo halafu anapenda romance , uwiii😕😕😕
...am so smartness in everything... I wonder what happen on me!
Habari zenu wakuu, wadau & mabest wote hapa JF.
Mimi ni kijana wa kiume miaka ishirini na kadhaa hivi, nimekuwa nikibahatika kupata wasichana warembo waliokamilika kila idara ya mvuto haswa ule wa kimapenzi.
Tatizo ninalolipata ni kuwa endapo tutalala pamoja na kufanya mapenzi basi huwa ndiyo mwisho wangu wa mahusiano naye.
Mzigo huwa najitahidi kupiga mpaka ''nyaya 5'' kwa manjonjo yote ya kimahaba tena huwa wananiomba poo tuishie angalau 4.
Cha ajabu nikimuomba turudie basi nitazungushwa weee mpaka napewa makavu kuwa eti hana muda nami tena.
Niliwauliza wadau wangu wa karibu, kila mmoja anasema la kwake, mara ooh try to lick her cli..t hatakuacha.
Wengine ndo' kabisaa eti nowadays mpaka ufanye kinyume na maumbile ndo hawatakukimbia.
Kama pesa ninayo na si mbahiri kumpa atakacho.
Mpaka sasa bado naumia tu moyoni.
Naombeni msaada wenu nijue wapendacho warembo wa siku hizi.
Nawasilisha.