Kila ninayelala naye hatudumu tena kimapenzi

Kila ninayelala naye hatudumu tena kimapenzi

nakushaur tulia, mrudie Mungu wako kwa iman yako utakumbana na magonjwa na mapepo (kwa wakristo) utampata wa kudumu naye. Pia punguza tension ya kusema huyu lazma nidumu naye ndo maana unajikuta unataka umduu sana ukijua unamfurahisha kumbe unamboa, unapokuwa naye kwa bed relax kwanza
 
😀Males need sex:thumbup: to stay in a relationship, while females😉 need love to stay in a relationship. I guess you're willing to keep the relationship going because you got what most males😛😕 want but are you really sure that you're giving those girls what females want?:what:
 
Jaribu kuacha kwa mwaka mmoja utaona matokeo. Kipindi hiko jipende jihakiki usafi wako ni wa kutosha, epuka kabisa mazoea na wadada, Piga mazoez, kuwa busy na kazi kuliko kawaida, usiangaike nao kabisa. Baada ya huo mwaka utajicheck na utagundua kitu gani kulikuwa sumu kwao.
 
Utakua unanuka mdomo na kimbuzimbuzi pia au inawezekana hata hujichambi

Duuuh! Bora angeenda kupiga bao kwa mganga kuliko kukurupuka na kuja kutafuta mchawi wake jf

Kwa majibu hayo kama atakua bado hajatosheka basi apitie hospitali inawezekana na masikio yamejaa nta mpaka yanavuja na kunuka bila yeye kujua...

Yanhii...hadi nasikia harufu ya beberu iliyovunda kwy hii thread sababu ya uchafu wa huyu jamaa...kaoge aisee na uache kujipaka samli.
 
mkuu inaonekana gemu unaikamia sana.....ukiwa na demu geto wewe RELAX...tu...
 
Tatizo mm naona lipo kwako, idadi ya "nyaya," c jambo la msingi sana kwa mwanamke ila namna ya kifikia hizo nyaya/mabao. Unachotakiwa ni kuhakikisha mwanamke anaridhika na kulifurahia tendo hata kwa nyaya moja tu, unaweza piga hata kumi halafu yy akaona hujafanya kitu umemchosha tu hapo unataka arudi tena,!!!.

....huwa nawapa maandalizi ''standard'' yote b4 sex mpaka kufikia sexluv yenyewe... nashindwa kuelewa tatizo langu hapa ni nini? Coz kabla hata cjapga hizo 'nyaya' tayari huwa anafikia orgasm kabla yangu.
 
Back
Top Bottom