Kila ninayelala naye hatudumu tena kimapenzi

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
1,311
Reaction score
289
Habari zenu wakuu, wadau & mabest wote hapa JF.

Mimi ni kijana wa kiume miaka ishirini na kadhaa hivi, nimekuwa nikibahatika kupata wasichana warembo waliokamilika kila idara ya mvuto haswa ule wa kimapenzi.

Tatizo ninalolipata ni kuwa endapo tutalala pamoja na kufanya mapenzi basi huwa ndiyo mwisho wangu wa mahusiano naye.

Mzigo huwa najitahidi kupiga mpaka ''nyaya 5'' kwa manjonjo yote ya kimahaba tena huwa wananiomba poo tuishie angalau 4.

Cha ajabu nikimuomba turudie basi nitazungushwa weee mpaka napewa makavu kuwa eti hana muda nami tena.

Niliwauliza wadau wangu wa karibu, kila mmoja anasema la kwake, mara ooh try to lick her cli..t hatakuacha.

Wengine ndo' kabisaa eti nowadays mpaka ufanye kinyume na maumbile ndo hawatakukimbia.

Kama pesa ninayo na si mbahiri kumpa atakacho.

Mpaka sasa bado naumia tu moyoni.

Naombeni msaada wenu nijue wapendacho warembo wa siku hizi.

Nawasilisha.
 
pesa unayo na game unapiga kisawasawa wanakimbizwa na nini sasa jaribu kujichunguza may be usafi zero
 
hata mandingo akiwapitia huwa hawarudi tena
 
Habari zenu wakuu, wadau & mabest wote hapa JF.

Mimi ni kijana wa kiume miaka ISHIRINI na KADHAA hivi, nimekuwa nikibahatika kupata WASICHANA warembo waliokamilika kila idara ya mvuto haswa ule wa KIMAPENZI.

Tatizo nalolipata ni kuwa endapo tutalala pamoja na KUFANYA mapenzi basi huwa ndiyo mwisho wangu wa mahusiano naye.

Mzigo huwa najitahidi kupiga mpaka ''nyaya 5'' kwa manjonjo yote ya kimahaba tena huwa wananiomba poo tuishie angalau 4...

Cha ajabu nikimuomba turudie basi nitazungushwa weee mpaka napewa makavu kuwa eti hana muda nami tena.

Niliwauliza wadau wangu wa karibu, kila mmoja anasema la kwake, mara ooh try to LICK her cli..t hatakuacha,.. Wengine ndo' kabisaa eti nowadays mpaka upige na 0713* ndo hawatakukimbia.

Kama PESA ninayo na si mbahiri kumpa atakacho.

Mpaka sasa bado naumia tu MOYONI. Naombeni msaada wenu nijue wapendacho warembo wa siku hizi.

NAWASILISHA.

una kikwapa mbaya, tumia deodorant roll on
 
pesa unayo na game unapiga kisawasawa wanakimbizwa na nini sasa jaribu kujichunguza may be usafi zero

chupi INA matobo soksi matobo mijivuzi hajanyoa imwsokotana kama msitu wa Mbambadu. Mikwapa nywele mpaka zimekuwa za njano yerewiiii bora nitafute dildo
 
Habari zenu wakuu, wadau & mabest wote hapa JF.

Mimi ni kijana wa kiume miaka ISHIRINI na KADHAA hivi, nimekuwa nikibahatika kupata WASICHANA warembo waliokamilika kila idara ya mvuto haswa ule wa KIMAPENZI.

Tatizo nalolipata ni kuwa endapo tutalala pamoja na KUFANYA mapenzi basi huwa ndiyo mwisho wangu wa mahusiano naye.

Mzigo huwa najitahidi kupiga mpaka ''nyaya 5'' kwa manjonjo yote ya kimahaba tena huwa wananiomba poo tuishie angalau 4...

Cha ajabu nikimuomba turudie basi nitazungushwa weee mpaka napewa makavu kuwa eti hana muda nami tena.

Niliwauliza wadau wangu wa karibu, kila mmoja anasema la kwake, mara ooh try to LICK her cli..t hatakuacha,.. Wengine ndo' kabisaa eti nowadays mpaka upige na 0713* ndo hawatakukimbia.

Kama PESA ninayo na si mbahiri kumpa atakacho.

Mpaka sasa bado naumia tu MOYONI. Naombeni msaada wenu nijue wapendacho warembo wa siku hizi.

NAWASILISHA.

Wewe mpuuzi una hela toka lini?una kula kwenu una lala nje kwatumbo unakuja kujamba jamba huku JF
 
chupi INA matobo soksi matobo mijivuzi hajanyoa imwsokotana kama msitu wa Mbambadu. Mikwapa nywele mpaka zimekuwa za njano yerewiiii bora nitafute dildo

hahahahhaha lazima ntu asepe mazima lol
 
chupi INA matobo soksi matobo mijivuzi hajanyoa imwsokotana kama msitu wa Mbambadu. Mikwapa nywele mpaka zimekuwa za njano yerewiiii bora nitafute dildo

utafute dildo kwa sababu ipi haswa?
 
Tatizo mm naona lipo kwako, idadi ya "nyaya," c jambo la msingi sana kwa mwanamke ila namna ya kifikia hizo nyaya/mabao. Unachotakiwa ni kuhakikisha mwanamke anaridhika na kulifurahia tendo hata kwa nyaya moja tu, unaweza piga hata kumi halafu yy akaona hujafanya kitu umemchosha tu hapo unataka arudi tena,!!!.
 
ni original au used? endapo used ulitakiwa ubadili oil filter na kununua vifaa (matunzo) ili kurudisha hadhi
 
Back
Top Bottom