spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
pesa unayo na game unapiga kisawasawa wanakimbizwa na nini sasa jaribu kujichunguza may be usafi zero
Misssssss! Hahahahaaaaaa! Utauaaaaaaa!
pesa unayo na game unapiga kisawasawa wanakimbizwa na nini sasa jaribu kujichunguza may be usafi zero
Yaleyale @ work
Usilale nao simama nao.
Labda una kono la sweta halafu haulipigi mausafi
nakushaur tulia, mrudie Mungu wako kwa iman yako utakumbana na magonjwa na mapepo (kwa wakristo) utampata wa kudumu naye. Pia punguza tension ya kusema huyu lazma nidumu naye ndo maana unajikuta unataka umduu sana ukijua unamfurahisha kumbe unamboa, unapokuwa naye kwa bed relax kwanza
😀Males need sex:thumbup: to stay in a relationship, while females😉 need love to stay in a relationship. I guess you're willing to keep the relationship going because you got what most males😛😕 want but are you really sure that you're giving those girls what females want?:what:
Jaribu kuacha kwa mwaka mmoja utaona matokeo. Kipindi hiko jipende jihakiki usafi wako ni wa kutosha, epuka kabisa mazoea na wadada, Piga mazoez, kuwa busy na kazi kuliko kawaida, usiangaike nao kabisa. Baada ya huo mwaka utajicheck na utagundua kitu gani kulikuwa sumu kwao.
Duuuh! Bora angeenda kupiga bao kwa mganga kuliko kukurupuka na kuja kutafuta mchawi wake jf
Kwa majibu hayo kama atakua bado hajatosheka basi apitie hospitali inawezekana na masikio yamejaa nta mpaka yanavuja na kunuka bila yeye kujua...
Yanhii...hadi nasikia harufu ya beberu iliyovunda kwy hii thread sababu ya uchafu wa huyu jamaa...kaoge aisee na uache kujipaka samli.
mkuu inaonekana gemu unaikamia sana.....ukiwa na demu geto wewe RELAX...tu...
....huwa ni hisia zao kwasababu mi' nikishakuwa naye huwa najaribu kutulia na huyo huyo mwishowe picha ya mapenzi huishia hivyo yaani..
may be wew ni mchafuu
Jaribu kutoa 0713... kwa wanaume pia, ukiona nao hawaludi kajilushe Daraja la Maanzese. Ukianzia kwangu c mbaya.
Hii bedtime story mtu wangu. Yaani kila hoja inayotolewa hapa una jibu lake tayari? Basi huwezi pata jibu hapa. Tafuta mahali ukasafishwe nyota!
...mbona manukato mazuri tu huwa natumia..., na suala zima la kujali afya yangu mpaka usafi wa mwili ndiyo nguzo yangu siku zote.
Duuuh! Bora angeenda kupiga bao kwa mganga kuliko kukurupuka na kuja kutafuta mchawi wake jf
Kwa majibu hayo kama atakua bado hajatosheka basi apitie hospitali inawezekana na masikio yamejaa nta mpaka yanavuja na kunuka bila yeye kujua...
Yanhii...hadi nasikia harufu ya beberu iliyovunda kwy hii thread sababu ya uchafu wa huyu jamaa...kaoge aisee na uache kujipaka samli.
basi wao ndo watakua na kasoro usihofu mkuu nitafute nikugee mmoja
Utakuwa una spirit of lust na rejection punguza hiyo tabia haitakusaidia kuoa ndo solution