Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,177
- 13,005
Kila ninayeshikamana nae kwa shida na raha ikifika zamu yangu naambulia kupotezewa au jeuri, au mie ndo nina shida guys?
Siwekagi matarajio kabisa, najitoa kwa kidogo nilicho nacho, kwa muda nilionao, kwa utu na ama kwa nguvu nilizonazo, lakini kama ujuavyo maisha kuna nyakati yananifika inakuwa my turn, nikiomba kwa watu wale naambulia jeuri, block ama ukimya. Sio kwamba hawajawahi, wamewahi lakini mara nyingi zaidi naambulia hivyo.
Nina wenzangu tumekulia maisha ya shida, tumehangaika kwenye nyumba za watu hatuna wazazi wala pa kwenda, lakini wao kutangulia kukipata wanageuka jeuri miungu watu sababu wapo juu.
Mfano mwingine akiwa katika shida anaumwa hajuia ale nini, analala njaa na mimba juu kaachwa, mie nikipata hela moyo wa upendo unanijaa naenda kumnunulia mazaga sokoni nampelekea ili apate lishe nzuri hata kwa week, likapita ikafika my turn bila kutarajia nikalazwa hospitali sijiwezi, kumwambia nna shida ya kitu kidogo niliambulia blue tick na Block, ila wengine nikiwauliza wanadai wanawasiliana nae😊
Kuna mwingine nae akizipata zake, akiwa na shida namsaidia kwa moyo, ila nikikwama hanijibu kabisa.
Nilitarajia upendo na mshikamano miongoni but hamna kitu. Hata wale ninaowajali katika dharura zao ikifika dharura yangu naambulia kiburi.
Most of the time mikwamo yangu nashikwa mkono na watu nisioshea nao ukaribu Wala nisiowadhania.
Imefika wakati Sasa nahesabu sina baba mzazi, sina mama mzazi(washaenda zao)
Na ndugu Sina😊
Au mimi ndio nakosea?