Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,304
- 13,438
- Thread starter
- #21
Ntaacha mkuuPole sana. Ukiweka imani yako kwa watu utapata presha na kisukari.
Vyovyote itavyoenda ndo hivyohivyo.nimekubali Hali halisi
Ntaacha mkuuPole sana. Ukiweka imani yako kwa watu utapata presha na kisukari.
Hao ndio Waja wa Bongoland. PoleeeeMie mtu ananiomba hela hajala na hajui ale Nini,natoa kiakiba changu nampa.kesho nasikia kauza Mali kapata millions hanikumbuki hata Kwa buku mbovu.
Mi nalala njaa sikumbukwi
Hongera kwa msaada unaonekana una roho ya huruma sana,Nilikuja kuyajua vizuri maisha ya Waja wa kibongo nikiwa chuo.
Mwanzoni nilijuaga baadhi ya kundi fulani la watu hilo ndilo hufanyiwa haya, kumbe ni silka ya wote.
Hili tukio sitawahi sahau,.
Nikiwa 2nd yr & 2nd semester, karibu na kufanya UE, kuna mkaka alikua na uhitaji wa kiasi cha pesa ili amalizie Ada na aweze kufanya UE, huko kwao ilikua vigumu kupata, ikabidi aombe msaada kwa wenzie pale chuo,
Kila anapojaribu anafeli, hadi wale washikaji na jamaa zake waliokuwa wana hang out na nn, wakashindwa kumsaidia. Mkaka wa watu alikua hoi hatariii, haelewi nn afanye,
Bas bhana, mie nikasikia tyuuu chini chini fulani ana shida ya hivi na msaada hana, yaan ndo kwanza ikawa wanamsimanga pembeni, mie kwa wakati huo nilikua na uwezo wa kumsaidia, nikawa nawaza naanzaje kumfata, ili hali sina ukaribu wala mazoea nae, na yeye hajanifata kunieleza tatizo, ila ukimuona unajua tyuh huyu kuna kitu kinamtatiza.
Siku hiyo tuko vimbwetani, bahati nzuri tulikaa kimbweta cha karibu karibu, sasa nikawa namuona kwa umakini, yaan nilihisi kabisa mkaka yuko kwenye wakati mgumu mno. Nilijawa na huruma na hofu, nilishindwa kuvumilia, nikamfata nikamuambia baadae nitafute, nikaondoka.
Kweli baadae akanifata, nikamuuliza kwa undani niliyoyasikia kumuhusu, akanifungukia kuwa ni kweli. Nkamuambia relax na usome sasa UE utafanya usijari, kesho yake nilimpa kiasi cha kulipia Ada alichohitaji, na nkampa nyongeza kidogo afanyie mambo yake.
Yule mkaka alishukuru mno na hakuamini km mie naweza kuwa msaada kwake, toka hapo tukawa na ukaribu tyuh kimtindo, ila mie sikutaka kabisa, nilifanya vile kumuokoa tyuuh kwenye tatizo.
Waja wa Kibongo ni wanafiki, wabinafsi, wanapendana kwenye raha, kwenye shida aaaah.
Ila WAJAAA!!
Mtu mpaka anauza Mali zake maana yake shida na matatizo yamemfika hapa.Mie mtu ananiomba hela hajala na hajui ale Nini,natoa kiakiba changu nampa.kesho nasikia kauza Mali kapata millions hanikumbuki hata Kwa buku mbovu.
Mi nalala njaa sikumbukwi
Sitegemeagi kitu kamwe.Ukimsaidia mtu fanya kama umesahau, usitegemee kulipwa !
Nadhani hujanielewa.Sister Abigail Inatakiwa uchange mindset yako haraka sana sio vizuri kuwa na Mawazo ya namna hiyo.
Tambua kwamba ulichokuwa unatoa au kusaidia sio deni balii ni msaada, ukiendelea kufanya misaada unayotoa kutaka kumfunga mtu sio jambo zuri ni bora usisaidie.
Kama kweli umeguswa na tatizo la mtu na unaweza kusaidia basi saidia na usitegemee return yoyote au favor yoyote kutoka kwa huyo mtu.
Watu kama wewe now mpo wengi kwenye society yaani unakuta mtu kila siku ni kulalamika mala wale watoto mimi ndio niliwasomesha lakini now hawanikumbuki. Nilimtafutia kazi lakini amegoma kumuunganisha mtoto wangu, Amepata kazi lakini hakumbuki kunitumia pesa etc etc
Please please please Usifanye wale uliowasaidia kuwa mateka wako, kwamba ukitaka chochote kutoka kwao na wewe wakusaidie saidia halafu upite kushoto.
Kuna jamaa yangu baada ya kuunganishwa kazi ya jeshi toka 2013 hadi leo amekuwa mtumwa wa aliemsaidia. Kuna Dada yangu wa kwanza alisomeshwa na ndugu yetu baada ya kupata kazi amekuwa mtumwa na maneno anakopwa hadi mi5 .kuna Mwingine alisomeshwa na Mjomba wake now amekuwa mtumwa.
Kuna lile kundi ambalo huwa unakuta mtu anasema mimi ndio nilikuwa bora nawasaidia hata kwenye masomo lakini wana wametoboa hawanikumbuki zinaanza lawama huo ni ujinga.
Tusipende kusaidia baadae tukaanza kusema na kusengenya watu dunia imebadilika watu wanapitia changamoto nyingi.
Kama umepata opportunity fulani ya kutoboa kwenye Maisha kamwe usije ukamuachia mtu hata kama ni ndugu wa tumbo moja, Baadae uje uanze kulalamika ile ilikuwa ni nafasi yangu nilimuachia Akatoboa ila sasa anisaidii.
Please please please narudia tena kama huna moyo wa kusaidia ukasahau Ni bora usisaidie kuepeusha lawama zisizo na msingi.
Achana na kusaidia watu.Sitegemeagi kitu kamwe.
Bali nawafuata kama wapendwa wangu pale nnapokwama.
Kama watu wa karibu sana
Nkiwa na Imani ntasaifika kwao
Nimekuelewa vizuri kabisa . Ndio maana nikasema Ondoa matarajio kabisa hata kama ni ndugu wa karibuNadhani hujanielewa.
Siweki matarajio
Na sijui kwako because nlikusaidia.bali nakuja kwako because we ni ndugu kwangu,kaka dada etc
Hiyo nlosema no kama reference tu why unamuonyesha mtu upendo lakini yeye anakuwa wa baridi kwako?
Tunahitajiana Kwa nionavyo.Achana na kusaidia watu.
Punguza wema binadamu hawana kumbukumbu.
Kila mtu auchukue mzigo wake mwenyewe.
Hii Dunia kila mtu alikuja mwenyewe na ataondoka mwenyewe.
Kila mtu ajitwike msalaba wake mwenyewe.
Akishindwa akafie mbele.
This world is not for the weak.
Sawa mkuuNimekuelewa vizuri kabisa . Ndio maana nikasema Ondoa matarajio kabisa hata kama ni ndugu wa karibu
Wewe huoni inafika mahala mtu pamoja na kulelewa na wazazi wake ila inafika muda wazazi wamezeeka bado wanak
Vipi kuhusu hao ndugunwengine
Wewe sema tunahitajiana, Halafu wakati unashida na uhitaji, Huoni mtu.Tunahitajiana Kwa nionavyo.
Ila sawa nimejifunza
Tanzania tunaendeshwa na mifumo ya kijamaa. Tunaishi kwa kusaidiana ,Ukikwama unaomba tu msaada lakini haina guarantee kwamba utapata kama wewe unavyotoa.Sawa mkuu
Ntapambana na Hali yangu😊
Sawa boss..nimeelewaTanzania tunaendeshwa na mifumo ya kijamaa. Tunaishi kwa kusaidiana ,Ukikwama unaomba tu msaada lakini haina guarantee kwamba utapata kama wewe unavyotoa.
Ndio maana hata wewe ukiwa unatoa msaada inatakiwa utoe kimkakati sana.
Mimi nilishachange mindset yangu kabisa sitegemei msaada wa mtu. Nilikuwa na marafiki kibao bata nyingi lakini nilivyoanguka .nilijikuta nimebaki mimi peke yangu geto, hata kodi nilikoswa. Baada ya hapo nilijifunza self reliance.
Na hata nikisaidia mtu tatizo kubwa yaani sitegemei fadhila zozote kutoka kwake . Msaada unaweza pata tu kwa stranger ambe hata huna mahusiano nae.
Yalikukuta yapi Hadi uwe hivo?Mimi kiukweli moyo wa kusaidia sina kila nikiwaza kusaidia moyo unaniuma siku nzima hivyo nimeamua kutokuumiza moyo wangu japokuwa vya kusaidia vyenyewe sina ila hata sijui buku ,sijui nimnunulie mtu pombe basi jua nitaumia moyo siku nzima hivyo mimi sisaidii wala siombi msaada nakufa na maisha yangu
Sawa mkuuWewe sema tunahitajiana, Halafu wakati unashida na uhitaji, Huoni mtu.
If you don't learn the soft way, you will learn the hard way.