Kila Nikiwatajia Kabila Wananikimbia

Kila Nikiwatajia Kabila Wananikimbia

Katavi unajua kweli nina hasira na watu wa kwenu iko hivi kaka yangu alikuwa anafanya kazi mamlaka ya kahawa pale kwenu. ..................................................................................... Kama utani akaanza kuishiwa damu wakampeleka kcmc akatibiwa akawa mzima. Ile amerudi kwenu damu ikaisha tena na pia wakakosea wakamwekea drip la maji ikawa ndo mwisho wa maisha yake R.I.P. Fred... .......................................... Ngoja nilie kwanza.
Labda umechanganya, tangu dunia iumbwe kahawa haijalimwa huku kwetu.........pole sana kwa kumpoteza kaka. Lakini Mamndenyi huenda kuna watu aliwachokoza. Sasa hao waliomfanyia hayo mambo kaka yako ndio wasababishe mimi nisipate mke?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa...mkuu nimecheka sana na huu uzi, unajua sababu inawezakua nanilii...najua umenisoma, ingekua ulaya ungeuza sana na hiyo..tafuta mzungu mkuu uone kama hakung'ang'anii

hahahaah!! Dogo acha utani bhana...........huu uzi wa muda mrefu kweli sijui nani kauibua huko ulikokuwa.....
 
Itabidi umtafute mzee wa upako akutakase.......
 
Attachments

  • 1387194544810.jpg
    1387194544810.jpg
    7.3 KB · Views: 145
mleta mada nakushauri uendelee kuwa mkweli ili michango yetu ya harusi isipotee bure kuwanufaisha ma MC, wapambaji, ukumbi, Keki, matarumbeta, etc.
kama hali ni mbaya sana basi ni bora utafute mfipa mwenzako wakati vijana wa kabila hilo mkijipanga kuunda umoja wa kupiga vita vitendo vya ushirikina vinavyoendelea huko kwenu Rukwa na kuwafanya watanzania wenzenu wawaogope kama UKOMA. nawasilisha.
 
Huku mbona hakuna vitendo vya kishirikina,,,,,,?
 
Heeeheeee Wakunyumba poyeeee.........ila unajua nin,i akitokea wa kukupenda kweli....utaoa tu!!
 
...kudanganya ndio unaharibu kabisaaaa... kwani huko 'Lyamba la Mfipa' hakuna mabinti wazuri uoe ili kudumisha mila na desturi?
Hhahahahahhahaahah Zimwi likujualo halikuli likakwisha.
 
Huku mbona hakuna vitendo vya kishirikina,,,,,,?

basi wenyeji tusaidieni kubadilisha mtazamo hasi. bado vijana wengi, hasa walimu wanakimbia vituko wanavyofanyiwa na wenyeji huko Rukwa. mafaili tunayo, kumbukumbu zinatunzwa na zinatumika kufanya maamuzi.
 
Hivi mtu huwezi kubadili kabila?? Nauliza tu bandugu....
 
Tatizo hapo sio kabila kaka, hayo ndo matokeo yakuonjana kabla ya ndoa!!
 
Heeeheeee Wakunyumba poyeeee.........ila unajua nin,i akitokea wa kukupenda kweli....utaoa tu!!

wakumwitu mbona nimeshapata, hii ilikuwa ya mwaka 2009 wakati nasumbuliwa ila sasa mambo safi.
 
basi wenyeji tusaidieni kubadilisha mtazamo hasi. bado vijana wengi, hasa walimu wanakimbia vituko wanavyofanyiwa na wenyeji huko Rukwa. mafaili tunayo, kumbukumbu zinatunzwa na zinatumika kufanya maamuzi.

Ulishaenda Bagamoyo au kanda ya ziwa? Ukienda na sehemu hizo basi huku Rukwa utaona ni wanafunzi....
 
Ni ngumu sana, ila kuna jamaa anaitwa Makamee yeye anasema hana kabila.

Itabidi tuangalie uwezekano wa katiba mpya iwe na kipengele cha mtu kujichagulia kabila..., najiuliza hawa watu wanaoomba uraia wa nchi kama ya kwetu, ukiwauliza wao watakwambia wao ni kabila gani?

bila wezekao wa kubadli kabila kuna hatari baadhi watu kukosa wenzi wa maisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom