Kila Nikiwatajia Kabila Wananikimbia

Kila Nikiwatajia Kabila Wananikimbia

mi naona kama wanazingua sio lazima uoe kama vp we endelea kuuza mechi tu au zidisha mechi za kirafiki
 
Pole Mkuu,
usisikitike wala usidanganye pengine hao wanao kukimbia hawana kheir na wewe,mwambie ukweli anaolewa na wewe sio kabila yako,kama akiwa muelewa na ni rizki yako basi yote hayo mungu atafanya yawe mepesi mpaka utashangaa....
 
Naombeni ushauri kutokana na
tatizo linalonikumba ktk haya mambo ya kimahusiano. Ni muda mrefu
nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi, na hii hutokea kila ninapowatajia
KABILA langu. Mpenzi wangu wa mwisho niliamua kumueleza nia yangu ya
kwenda kujitambulisha kwao, lakini alikataa kwa sababu kuwa hawezi
kuolewa na mimi, hata kwao watamshangaa kuolewa na mtu kutoka kabila
linalosifika kwa uchawi(sina uhakika na hili) na uhusiano uliishia hapo.
Kutokana na umri kuanza kunitupa mkono, nimekuja kwa staili ya kuoa na
nimepata binti mmoja ambae bado hajapata details zangu. Kutokana na
experience niliyopata kutoka kwa wapenzi wa zamani, nafikiria
kumdanganya kuhusu kabila langu ili naye asije akanibwaga.
Naombeni ushauri nikaoe kijijini mtu wa kabila langu au niendelee na
mpango wa kumdanganya huyu kuhusu kabila langu!

Mmmh, tangu 13 Nov, 2009 hujapata mchumba kaka Katavi?
 
Last edited by a moderator:
mhh...white girl panga foleni jamani.dah mbona unataka kutupindua na husninyo..au kisa sie ma black girls..noma sanaaaa....
 
Naombeni ushauri kutokana na tatizo linalonikumba ktk haya mambo ya kimahusiano. Ni muda mrefu nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi, na hii hutokea kila ninapowatajia KABILA langu. Mpenzi wangu wa mwisho niliamua kumueleza nia yangu ya kwenda kujitambulisha kwao, lakini alikataa kwa sababu kuwa hawezi kuolewa na mimi, hata kwao watamshangaa kuolewa na mtu kutoka kabila linalosifika kwa uchawi(sina uhakika na hili) na uhusiano uliishia hapo. Kutokana na umri kuanza kunitupa mkono, nimekuja kwa staili ya kuoa na nimepata binti mmoja ambae bado hajapata details zangu. Kutokana na experience niliyopata kutoka kwa wapenzi wa zamani, nafikiria kumdanganya kuhusu kabila langu ili naye asije akanibwaga.
Naombeni ushauri nikaoe kijijini mtu wa kabila langu au niendelee na mpango wa kumdanganya huyu kuhusu kabila langu!

Kila kabila wachawi wapo, na kila ukoo mchawi mmoja atakuwepo. Uchawi hata ulaya upo, so.
1) Unaweza kuwa mchawi bila wewe mwenyewe kujua, lakini wachawi wote wakajua kuwa wewe ni mchawi. Yaani kuna sign mwilini hiyo uonekana na wachawi tu, ambae sie mchawi hawezi kuiona.
2) Unaweza kurithishwa uchawi bila wewe mwenyewe kujua, ila wachawi wakikuona wanajua na kukuogopa
3) Sign inaweza kuonesha kwamba ukoo wako ni wafalme wa kichawi au la.

Mtoto wa mchawi arogeki, sababu wachawi uwalinda watoto wao wasirogwe na wachawi wengine, hivo hata mganga wa kienyegi hawezi kumroga mtoto wa mchawi, anavunja sheria.
Sheria zao za kiumoja wa mataisha, yaani dunia mzima, lugha yako ya kichawi ya kimizimu. Hivo mwanamke akienda kwa mganga wa kienyeji kutaka dawa ya mapenzi akuroge haipandi kwako sababu yule mganga hakurogi, sababu kasha piga darubini hivo hatowapa dawa zisizo kuaribu. Mwisho watawaambia wale wasichana kua wewe ni mchawi kila mganga watakae enda. Hivo hao watakukimbia.

Madhara ya kutokea ukoo wa kichawi, utakutana na mikosi mingi sana. Kipindi unakua na bahati sana na ghafla nuksi, na hata dini hauipendi, yaani unacontroliwa bila wewe mwenyewe kujua.
Na hata shule wanaweza kukufelisha, kama wamesha kuchagua uwe mfalme wa kichawi baadae, wachawi noma,

Wenyewe wachawi wanafikiri ni kitu kizuri na mamlaka kuua watu na kucontroll watu kama vile majambazi, hawajui kama wanajipeleka motoni.
Jaribu kufuatilia kama babu yako au bibi yako, shangazi yako, au mjomba wako, baba yako au mama yako, kama ni mganga wa kienyji. Au wanasifika kua ni wachawi. Pengine wao ndio wanawafukuza hao wanawake zako kichawi wasiwe na wewe, labda wanataka ukaoe mchawi mwenzao ili afit ktk ukoo. Haya kaka hapa duniani kuna mengi yamejificha,

Wengi wanakimbilia kuokoka kanisani na kukana majini na mashetani ya ukoo, ili wawe free.
Kama haukufanya hivo basi utaishia hivo hivo.

Angalia emmanuel tv, watu wanaangaika dunia mzima wanatoroka nk.
 
Siri ya majini, shetani na uchawi upo ktk biblia, na wanauwezo wa kumfundisha bin adam uchawi. soma biblia uimalize yote, ili ujue upo wapi. Ila kabila lako sema kwa kila bin dam.
 
katika ukoo wetu hakuna historia ya uchawi.
 
nafurahi uzi kama huu mtu anakuja na majibu akiulizwa! Hongera mkuu..kila la kheri. Sasa mkuu lakini ulimuoa yule yule ama nae alikataaga ndo ukapata mupyaa?? Katavi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom