Kila Nikiwatajia Kabila Wananikimbia

Kila Nikiwatajia Kabila Wananikimbia

Kwa hiyo unahisi labda ni tatizo gani nililonalo? Kumbe watakuwa wanakimbia tu kwa sababu nyingine na sio kabila?

mkuu Katavi, lazima utakuwa na private issues tu zinazokufanya wadada wakukimbie!

hebu mkuu jaribu kujifanyia assessment kwa ujumla, FUNGA MWAKA KWA KUJIKAGUA!

namna unavyoongea na hao warembo, malengo yako juu yao, ndoa unaitamka hasa baada ya muda gani wakati mkiwa kwenye mahusiano, and so on!

btw, kuna lesson moja tulilipata enzi hizo tukiwa form two...

before you pass to marriage, kuna hatua zinavukwa.. yaani 1. friendship, 2. courtship, 3. marriage, and 4. family..

tell us, katika stage ipi huwa unatamka ndoa?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu na wengine wote nashukuruni kwa ushauri wenu hatimaye nimefanikiwa kumpata na wikiendi iliyopita nimeingia rasmi kunako ndoa.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Naombeni ushauri kutokana na tatizo linalonikumba ktk haya mambo ya kimahusiano. Ni muda mrefu nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi, na hii hutokea kila ninapowatajia KABILA langu. Mpenzi wangu wa mwisho niliamua kumueleza nia yangu ya kwenda kujitambulisha kwao, lakini alikataa kwa sababu kuwa hawezi kuolewa na mimi, hata kwao watamshangaa kuolewa na mtu kutoka kabila linalosifika kwa uchawi(sina uhakika na hili) na uhusiano uliishia hapo. Kutokana na umri kuanza kunitupa mkono, nimekuja kwa staili ya kuoa na nimepata binti mmoja ambae bado hajapata details zangu. Kutokana na experience niliyopata kutoka kwa wapenzi wa zamani, nafikiria kumdanganya kuhusu kabila langu ili naye asije akanibwaga.
Naombeni ushauri nikaoe kijijini mtu wa kabila langu au niendelee na mpango wa kumdanganya huyu kuhusu kabila langu!

Yamposuta mkuu mwalalauli
 
Huwa wanahofu nini sasa... wewe unatoka Lyamba Lya Mfipa, mke wako si utamlinda?
 
Ila wafipa mnapenda sana kuficha kabila lenu,sina rafiki wala mtu yoyote ninaemjua ambaye ni mfipa.labda Mizengo akiwa rais mtaanza kujitokeza
 
kweli itakuweka huru, mwambie ukweli ukiona nae kakimbia basi mungu hajapanga awe yeye
 
Hongera sana mkuu Katavi , karibu kwenye chama.
 
Last edited by a moderator:
Naombeni ushauri kutokana na tatizo linalonikumba ktk haya mambo ya kimahusiano. Ni muda mrefu nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi, na hii hutokea kila ninapowatajia KABILA langu. Mpenzi wangu wa mwisho niliamua kumueleza nia yangu ya kwenda kujitambulisha kwao, lakini alikataa kwa sababu kuwa hawezi kuolewa na mimi, hata kwao watamshangaa kuolewa na mtu kutoka kabila linalosifika kwa uchawi(sina uhakika na hili) na uhusiano uliishia hapo. Kutokana na umri kuanza kunitupa mkono, nimekuja kwa staili ya kuoa na nimepata binti mmoja ambae bado hajapata details zangu. Kutokana na experience niliyopata kutoka kwa wapenzi wa zamani, nafikiria kumdanganya kuhusu kabila langu ili naye asije akanibwaga. Naombeni ushauri nikaoe kijijini mtu wa kabila langu au niendelee na mpango wa kumdanganya huyu kuhusu kabila langu!
maskini unaongea kwa uzuni kama nakuona polee. wew tafta fweza utaona majibu.
 
Ila wafipa mnapenda sana kuficha kabila lenu,sina rafiki wala mtu yoyote ninaemjua ambaye ni mfipa.labda Mizengo akiwa rais mtaanza kujitokeza
Ha ha haaah,,,,,,,,hamna mkuu mbona tupo wengi tu tunaotangaza kabila letu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom