hao wadada unaowapata jamani ni wa wapi ambao mpaka leo wana imani hizo?....
mkuu gp, dada mmoja wa kabila langu niliwahi kumuapproach akakataa eti akadai mimi ni kaka yake(eti watu wa kabila moja ni ndugu).
Mkuu na wengine wote nashukuruni kwa ushauri wenu hatimaye nimefanikiwa kumpata na wikiendi iliyopita nimeingia rasmi kunako ndoa.
Hata mimi nashangaa, tena wengine wameenda kidato!
Isije ikawa wanaangalia ATM kadi yako ni ya mbinde wanaishia kusingizia kabila? there must be something wrong with you kwa kweli,haiwezekani kuwa wakimbie kabila.Hebu jichunguze vizuri maisha yako na strategy zako za kuwaelezea unachohitaji.