Kila Nikiwatajia Kabila Wananikimbia

Utakua huna pesa mkuu ndio maana wamekimbia au una matatizo mengine??
Mbona kabila ni ishu ndogo sana tena imeshapitwa na wakati now days wanawake hawatazami kabila mkuu cash ndio imekua kila kitu so Ukiwa na pesa wala hawajali hayo ua kabila.

Tafuta pesa kwanza hao watakuja tu hakuna ujanja.

Mkuu hii ilikuwa mwaka 2009, hivi sasa nimepata na nimeshaoa asiye na complications.
 
dah....hiv sasa hiv bado wanaulizia kabila?hebu mwambie unataka umuoe mkiwa ndani ya rav 4 au verosa halaf umtajie na kabila lako uone kamma atasepa au atakukumbatia kwa furaha.
 
Naombeni ushauri kutokana na tatizo linalonikumba ktk haya mambo ya kimahusiano. Ni muda mrefu nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi, na hii hutokea kila ninapowatajia KABILA langu. Mpenzi wangu wa mwisho niliamua kumueleza nia yangu ya kwenda kujitambulisha kwao, lakini alikataa kwa sababu kuwa hawezi kuolewa na mimi, hata kwao watamshangaa kuolewa na mtu kutoka kabila linalosifika kwa uchawi(sina uhakika na hili) na uhusiano uliishia hapo. Kutokana na umri kuanza kunitupa mkono, nimekuja kwa staili ya kuoa na nimepata binti mmoja ambae bado hajapata details zangu. Kutokana na experience niliyopata kutoka kwa wapenzi wa zamani, nafikiria kumdanganya kuhusu kabila langu ili naye asije akanibwaga.
Naombeni ushauri nikaoe kijijini mtu wa kabila langu au niendelee na mpango wa kumdanganya huyu kuhusu kabila langu!
tatizo la wafipa ni washamba sana na huwa hawakati govi. inaonekana wewe una pesa na wanawake huwa wanataka kukuchuna tu ndio maana ikifika unataka kuwaoa wanakimbia kwasababu huwa huwaridhishi. mwanaume halisi unayeshughulika vizuri na kumdatisha mwanamke huwezi kuanza kutamka wewe kuwa unataka kumuoa, bali yeye mwanamke baada ya kudata ataanza kukuuliza kuwa utaenda lini kwetu kujitambulisha, na atakulazimisha mfunge ndoa haraka ili wenzake wasikukwapue. ukiona wee ndio uwa unaanza kuwataka uwaoe, basi wewe una mapungufu mengi unatakiwa kujichunguza. mimi enzi zangu mademu nilikuwa nafukuza tu, wengine walishajizalisha kwangu kwa kunitegeshea na mimba walau tu niwaoe lakini wapi wameishia kunizalia watoto na nikaja kuoa nimpendaye kwa dhati.
 
mbona kabila lenu poa sana limetoa viongozi wakuu wa nchi hii ikiwemo waziri mkuu na Kardinali Pwengo. Swali la Msingi UNA HELA? Maana hilo ndo kabila la Maana kuliko yote.
 
tatizo la wafipa ni washamba sana na huwa hawakati govi. inaonekana wewe una pesa na wanawake huwa wanataka kukuchuna tu ndio maana ikifika unataka kuwaoa wanakimbia kwasababu huwa huwaridhishi. mwanaume halisi unayeshughulika vizuri na kumdatisha mwanamke huwezi kuanza kutamka wewe kuwa unataka kumuoa, bali yeye mwanamke baada ya kudata ataanza kukuuliza kuwa utaenda lini kwetu kujitambulisha, na atakulazimisha mfunge ndoa haraka ili wenzake wasikukwapue. ukiona wee ndio uwa unaanza kuwataka uwaoe, basi wewe una mapungufu mengi unatakiwa kujichunguza. mimi enzi zangu mademu nilikuwa nafukuza tu, wengine walishajizalisha kwangu kwa kunitegeshea na mimba walau tu niwaoe lakini wapi wameishia kunizalia watoto na nikaja kuoa nimpendaye kwa dhati.
Hahahaaah,,,,,nimeishia kucheka tu.
 
We Katavi, mbona mwenzio mie wa Fyengerezya na nimeoa bila shida? Sema jingine sio kabila bwana.
 
tatizo la wafipa ni washamba sana na huwa hawakati govi. inaonekana wewe una pesa na wanawake huwa wanataka kukuchuna tu ndio maana ikifika unataka kuwaoa wanakimbia kwasababu huwa huwaridhishi. mwanaume halisi unayeshughulika vizuri na kumdatisha mwanamke huwezi kuanza kutamka wewe kuwa unataka kumuoa, bali yeye mwanamke baada ya kudata ataanza kukuuliza kuwa utaenda lini kwetu kujitambulisha, na atakulazimisha mfunge ndoa haraka ili wenzake wasikukwapue. ukiona wee ndio uwa unaanza kuwataka uwaoe, basi wewe una mapungufu mengi unatakiwa kujichunguza. mimi enzi zangu mademu nilikuwa nafukuza tu, wengine walishajizalisha kwangu kwa kunitegeshea na mimba walau tu niwaoe lakini wapi wameishia kunizalia watoto na nikaja kuoa nimpendaye kwa dhati.

nikwel mkuu wengi hawatairiw mm nilikua naxoma nao advance huko mbeya wengine walikutahiriwa pale xhulen xxa m2 mpaka anafika advanc hajatahiriwa huon hiyo ni noma
 
Back
Top Bottom