Kila Nikiwatajia Kabila Wananikimbia

Kila Nikiwatajia Kabila Wananikimbia

Kimsingi sidhani kama hilo linaweza kuwa tatizo, mana kwenye mambo ya mapenzi mambo mengine hukaa pembeni hususani kwenye penzi la kweli. Me naona ni vyema ukaiangalia vizuri kamati yako ya ufundi Je Iko sawa? Mwanaume unatakiwa uwe vizuri katika sekta hiyo so kabla hujaanza kumtafuta mchawi jiangalie! Inawezekana mchawi ukawa mwenyewe!
 
Kimsingi sidhani kama hilo linaweza kuwa tatizo, mana kwenye mambo ya mapenzi mambo mengine hukaa pembeni hususani kwenye penzi la kweli. Me naona ni vyema ukaiangalia vizuri Je kamati yako ya ufundi Iko sawa? Mwanaume unatakiwa uwe vizuri katika sekta hiyo so kabla hujaanza kumtafuta mchawi jiangalie! Inawezekana mchawi ukawa mwenyewe!
hahahaaah!! mwali wa giningi unanichekesha sana eti kamati ya ufundi.
 
Last edited by a moderator:
Itabidi tuangalie uwezekano wa katiba mpya iwe na kipengele cha mtu kujichagulia kabila..., najiuliza hawa watu wanaoomba uraia wa nchi kama ya kwetu, ukiwauliza wao watakwambia wao ni kabila gani?

bila wezekao wa kubadli kabila kuna hatari baadhi watu kukosa wenzi wa maisha

kaka ishu ni pesa tu, nasikia siku hizi haya mambo mengine ni mbwembwe tu.
 
wewe jitafutie pesa halafu tafuta demu wa kichaga, yaani akinusa tu pesa atajileta mwenyewe
 
Siamini kama tatizo ni kabila!

Tatizo ni wewe mwenyewe nahisi kizungumkuti!

Sidhani kama umeanzisha deep and serious relationship which is touchable and tangible,

eti mwishowe liharibiwe na factor ya kabila?

Nop! Binafsi, napinga!
 
Siamini kama tatizo ni kabila!

Tatizo ni wewe mwenyewe nahisi kizungumkuti!

Sidhani kama umeanzisha deep and serious relationship which is touchable and tangible,

eti mwishowe liharibiwe na factor ya kabila?

Nop! Binafsi, napinga!

Kwa hiyo unahisi labda ni tatizo gani nililonalo? Kumbe watakuwa wanakimbia tu kwa sababu nyingine na sio kabila?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom