Kila Nikiwatajia Kabila Wananikimbia

Kila Nikiwatajia Kabila Wananikimbia

nafurahi uzi kama huu mtu anakuja na majibu akiulizwa! Hongera mkuu..kila la kheri. Sasa mkuu lakini ulimuoa yule yule ama nae alikataaga ndo ukapata mupyaa?? Katavi

Yule nilimsahau kabisa maana na kwao ndio walichochea kabisa. Hivi sasa nipo na mwingine kabisa.
 
mabint walivyo wengi hivi kweli umekosa kabisa jiran?wanunulie vitzz huone kama watakimbia tena,dawa yao hao hela tu
 
Naombeni ushauri kutokana na tatizo linalonikumba ktk haya mambo ya kimahusiano. Ni muda mrefu nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi, na hii hutokea kila ninapowatajia KABILA langu. Mpenzi wangu wa mwisho niliamua kumueleza nia yangu ya kwenda kujitambulisha kwao, lakini alikataa kwa sababu kuwa hawezi kuolewa na mimi, hata kwao watamshangaa kuolewa na mtu kutoka kabila linalosifika kwa uchawi(sina uhakika na hili) na uhusiano uliishia hapo. Kutokana na umri kuanza kunitupa mkono, nimekuja kwa staili ya kuoa na nimepata binti mmoja ambae bado hajapata details zangu. Kutokana na experience niliyopata kutoka kwa wapenzi wa zamani, nafikiria kumdanganya kuhusu kabila langu ili naye asije akanibwaga.
Naombeni ushauri nikaoe kijijini mtu wa kabila langu au niendelee na mpango wa kumdanganya huyu kuhusu kabila langu!

Hakuna kabila linalokataliwa Tanzania hata ukisema wewe ni mkimbizi lazima upate tu mchumba
 
Naombeni ushauri kutokana na tatizo linalonikumba ktk haya mambo ya kimahusiano. Ni muda mrefu nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi, na hii hutokea kila ninapowatajia KABILA langu. Mpenzi wangu wa mwisho niliamua kumueleza nia yangu ya kwenda kujitambulisha kwao, lakini alikataa kwa sababu kuwa hawezi kuolewa na mimi, hata kwao watamshangaa kuolewa na mtu kutoka kabila linalosifika kwa uchawi(sina uhakika na hili) na uhusiano uliishia hapo. Kutokana na umri kuanza kunitupa mkono, nimekuja kwa staili ya kuoa na nimepata binti mmoja ambae bado hajapata details zangu. Kutokana na experience niliyopata kutoka kwa wapenzi wa zamani, nafikiria kumdanganya kuhusu kabila langu ili naye asije akanibwaga.
Naombeni ushauri nikaoe kijijini mtu wa kabila langu au niendelee na mpango wa kumdanganya huyu kuhusu kabila langu!

hao piga mafuta tu then achana nao
 
Umefikiria kkwamba inawezekana huwa wanatafuta sababu ya kupiga kubwa na kukuacha wewe unafikiri ni kabila!!! jaribu kujiuliza nini kiwasikitishacho??
 
Isije ikawa wanaangalia ATM kadi yako ni ya mbinde wanaishia kusingizia kabila? there must be something wrong with you kwa kweli,haiwezekani kuwa wakimbie kabila.Hebu jichunguze vizuri maisha yako na strategy zako za kuwaelezea unachohitaji.
Inawezekana anawakopa kwa sana
 
Patrickn njoo unipe maujanja dogo,,,,,,
 
Last edited by a moderator:
Shida si kabila lako,swali la msingi "WEWE NDIO MFIPA WA KWNZA KUOA?KWA NN WENZAKO WANOA TENA MAKABILA TOFAUTI WEWE UKATALIWE??"
Nenda kanisani ufanyiwe maombi,Una roho ya kukataliwa..
 
Patrickn njoo unipe maujanja dogo,,,,,,
Hahahaa...mkuu nimecheka sana na huu uzi, unajua sababu inawezakua nanilii...najua umenisoma, ingekua ulaya ungeuza sana na hiyo..tafuta mzungu mkuu uone kama hakung'ang'anii
 
Katavi unajua kweli nina hasira na watu wa kwenu iko hivi kaka yangu alikuwa anafanya kazi mamlaka ya kahawa pale kwenu. ..................................................................................... Kama utani akaanza kuishiwa damu wakampeleka kcmc akatibiwa akawa mzima. Ile amerudi kwenu damu ikaisha tena na pia wakakosea wakamwekea drip la maji ikawa ndo mwisho wa maisha yake R.I.P. Fred... .......................................... Ngoja nilie kwanza.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom