ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,773
- 35,992
Sisi watu wa rohoni tunaona mengi mno, nadhani wataalam wenzangu wa ulimwengu wa roho mshagundua kuwa hii siyo ishara ya kawaida
Baada ya kuapishwa bunge baada ya uchaguzi kila mwezi laZima mbunge mmoja afariki kutokana na sababu mbalimbali
Mwezi December, Jenestha Mhagama RIP alipoteza maisha
Leo kabla ya arobaini yake mbunge Halima Idd Nasoro RIP nae amepoteza maisha
Kumbuka kumpaka mbunge ni gharama kubwa kuendesha uchaguzi na kumpata kiongozi huyu
Hili siyo jambo la kawaida kiroho, kama mbunge yupo bungeni Kwa uchaguzi wa oktoba 29,2025 ajitafakari na aangalie yupo kihalali au la