Kila mwanamke...

Pitia huku uchokozwe zaidi na mie ndo nimeivaa nipo nje napunga upepo

haa,mum unapunga upepo? ngoja mkweo atoke kifungon akukute na hlo dela! btw naomba ruksa ya kutafta mume mwngne ama untaftie! make nshachoka na upweke. . . . . .
 
kumbe small hausi mlijazana? Mie mbona alikuwa anawahi rudi home kama kawaida?

Na nitahakikisha hadi wote wanakimbia, sasa hivi nafanya 'office delivery' cha mchana.

Haha ha!
Muwazi na muoga. LOL
Ila kwa Boss nakupa pole, niliacha kuwa SH long time baada ya kukosa hewa kwa jinsi tulivyojazana! LOL
 
kumbe small hausi mlijazana? Mie mbona alikuwa anawahi rudi home kama kawaida?

Na nitahakikisha hadi wote wanakimbia, sasa hivi nafanya 'office delivery' cha mchana.

Lilikuwa Joga kweli, saa kumi na moja tu anaanza kutafuta boxer! LOL
Halafu nyingi zilikuwa za ofisini, ukianza peleka lunch surely utawakomesha wale waliokuwa wanaitwa ufisini.

Tip nyingine, check ulaji wake wa Korosho na Karanga, ni njia ya kureplace ..............!
 
haa,mum unapunga upepo? ngoja mkweo atoke kifungon akukute na hlo dela! btw naomba ruksa ya kutafta mume mwngne ama untaftie! make nshachoka na upweke. . . . . .

Mwanangu babako hana neno nkivaa hivi, nimetoka shamba kupalilia maharage yanaendelea kukua vizuri. Mwanangu kuwa mvumilivu, mtembelee mumeo kifungoni, mtakuwa pamoja akirejea. Vuta subira my dear daughter!
 
siku hizi namlisha mapapai na uji wa ulezi tu.

Hao wengine huwa anawaonja tu kama karanga, tena labda anakuwa ananifikiria ili . .

Sasa hivi naanza kumfuata ofisini, turudi wote home lol

Lilikuwa Joga kweli, saa kumi na moja tu anaanza kutafuta boxer! LOL
Halafu nyingi zilikuwa za ofisini, ukianza peleka lunch surely utawakomesha wale waliokuwa wanaitwa ufisini.

Tip nyingine, check ulaji wake wa Korosho na Karanga, ni njia ya kureplace ..............!
 
Hiyo nguo kama ni latest , inakuwaje wengine wanazivaa wakiwa korokoroni ?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom