instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,602
- 19,782
Kama huwezi kuamini hata yale usioyaona basi imani yako nindogo sana.
Acha kuchanganya dini na ujinga WA watu humuKama huwezi kuamini hata yale usioyaona basi imani yako nindogo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usilazimishe tufanane mkuuAcha kuchanganya dini na ujinga WA watu humu View attachment 1000420
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasasa Niko nao vizuri nashukuru kwahiloWazalishe tu ila wakianza mambò ya ustawi wa jamii ujipange.
Kumbe! Bac Diamond atakuwa anaukimwi maana sjamfikia bado!Ukiona hivyo ujue "UNA NYOTA YA UKIMWI" kwa kupenda kupiga NYAMA KWA NYAMA
Umemzidi kamanda maanda yeye hajatumia kondom mara tatu tu ndo maana ana watoto watatu...ila wewe mara watoto wa kiume mara mapacha hivyo ukute wewe ni baba uncountable